Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
EWURA kupitia msemaji wake leo katika radio moja wamejigamba kuwa wamewakamata wauza mafuta wengi sana wanaochakachua mafuta: Kama hii ni Kweli? Mmewahi kusikia wakiwataja wamiliki hao na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wamejaza pikipiki zao katikati ya makutano ya barabara za Mandela na Morogoro. Trafiki amechanganyikiwa hajui cha kufanya, foleni ni ndefu sana.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jana waziri mkuu ametumia nguvu nyingi na muda mwingi sana kutetea mpango wake wa kuibinafsisha ardhi ya Rukwa na Kigoma,kwa kigezo cha kusema kuwa anataka kuiendeleza KIGOMA na RUKWA,Mh.Pinda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna mambo mengi sana yanaendelea Tanzania na kuna viashirio vingi sana kuonyesha dalili kuna mafisadi wananguvu sana Tanzania. Kuna mifano mingi sana, kwa mfano Viongozi wa sicm waliokatika F ...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa masikitiko wana jf leo majira ya saa sita kamili mchana basi namba T 264 ATH likitokea kyela kwenda dar lapata ajari maeno ya tanangozi Iringa baada ya tairi ya mbele kupasuka na kuacha njia...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari wanajf, Ndo nimeingia toka kijijini kwa bibi na kule access not richabo, sasa leo naingia jf nakutana na hii stetimend inamentioniwa sana, "Kufikiri kwa masaburi" Jamani nini maana ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Bwana Masaburi aka mzee wa makalio ametoa wito kuwa wale wanaomiliki vizimba pale machinga complex na hawavitumii WAPOKONYWE,masaburi anaendelea na ziara zake za dharura,ameshapita DDC na keo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gold Rush: Hunting for gold in Tanzania LONDON (Commodity Online): Hunt for Gold deposits has heightened around the world as countries led by global central banks and investors fascinated by the...
0 Reactions
2 Replies
958 Views
Geita kumelipuka, jana saa moja usiku wananchi wamecoma nyumba sita za mganga wa jadi anayetuhumiwa kujenga kwenye eneo la soko. Diwani wa kata ya Kasamo kakamatwa na polisi kwa tuhuma za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Bunge limeelezwa kwamba, ni jambo la kushangaza sana kuona mlima Kilimanjaro umetapakaa vinyesi vya wazungu na wale wapambe wao ( pouters). Akichangia katika hotuma ya Wizara ya MALIASILI na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Finally! Scammer caught red handed in Kenya. Kenyan vocal human rights advocate Omar Hassan was playing the role of a whistle blower and would-be-victim rolled into one as he helped KACC...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa wana JF, rangi mbili ni jina linatotumika sehemu nyingi hasa vijijini kuita dawa aina ya tetracycline na jamii yake. Lakini rangi mbili nayotaka kuzungumzia hapa si vidonge bali ni...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Jamani umeme umekuwa umeme, Mwanza hatuna umeme siku ya tatu leo, nashangaa sijui tanesco wote wameenda likizo au ni nini? Sasa haya maendeleo si hadi Yesu arudi!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Wana JF,Naomba mnijuze kama kuna tatizo lolote la vinga'muzi vya star Times,Napata channel mbili tu:TBC1 & KBC,Kuna Tatizo lolote la kimfumo wa urushaji matangazo? Aksante.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ADAIWA KUPATA MGAWO WA SH 4 MILIONI KILA MMOJA FEDHA ZILIZOKUSANYWA NA JAIRO Mwandishi Wetu TUHUMA zilizosababisha kupelekwa likizo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Kada Makamba alinukuliwa na gazeti la Msema Kweli Toleo Na. 040, hivi: "Makamba atoa zawadi ya nguruwe kwa shule". Licha ya Mwandishi wa gazeti hilo kushangaa kwa kitendo hicho cha kada huyu...
0 Reactions
109 Replies
15K Views
Jamani hivi wale wa kile chama wana twitter account? Maana huu ni mwaka 2011 na si ajabu CCM bado wapo 1961 wakati wa uhuru. Je, na JK na yeye ana Twitter account?
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Nyota wa mchezo wa kikapu nchini Marekani anayechezea timu ya Orlando Magic,Dwight Howard ambaye pia ni mkurugenzi wa taasisi ya D12 Foundation akiwa na mbunge wa jimbo la Monduli mkoani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
RIP Prof.Karashani http://2.bp.blogspot.com/-oUmXWaxWaMk/TkuQJ9F4bpI/AAAAAAABszs/SsqR2LzGCsk/s1600/PROF.jpg
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Licha ya matatizo yanayojulikana ambayo yataendelea kuwa mwiba katika nyonga ya Tanzania hapo mustakbali, matatizo kama- umaskini, uduni wa elimu,kupanuka kwa tofauti za kitabaka nk, matatizo haya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom