Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mbona kikwete unajitia aibu jamani...hivi huyu beno amechaguliwa kama mshauri wa e maige waziri wa maliasili tangu lini jamani..yaani kukaa na vikao vyenu vya pombe mnaamka asbh ama wake zanu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watu 51 wamefukuzwa na vibanda vya o kwa oda ya masaburi dk didas..habari zaidi zinasema watu wamekutwa zaidi ya 51 wakiulizwa wamewekwa na nani wandai wao watu wa bodi...akihojiwa na waandishi wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MAITI YA MWANAUME YAOKOTWA MBEZI, DAR Mwili wa marehemu huyo ukiwa umefunikwa kwa kanga. Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wakiuangalia mwili huo ili kuutambua.Mtu mmoja ambaye jina lake...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Askari polisi wa usalama barabarani huko Mbeya leo asubuhi amempiga na kumjeruhi raia kwa spana baada ya mabishano ambapo askari alimsimamaisha jamaa na kudai leseni. Jamaa alidai hana leseni na...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Jamani naomba kuwaajua shareholders wa kampuni hii ya kibaradhuli.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu kama kuna member yupo Bali-Indonesia anitonye kwa PM...nahitaji some details in preparation for a bussiness trip over there soon. Please assist.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau niko kwenye hiace nasafiri kutoka kigoma kuelekea kibondo. Tumejazwa kama dagaa kwenye maboksi, gari imepakia mizigo na linakimbia sijawahi kuona, Kinachonishangaza hapa ni kwamba...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu nimepita maeneo ya ubungo external hapa kuna sheli ya BP nimeshangaa nikiona wanauza mafuta kwny magari kama kawaida..nikajiuliza kuwa ile adhabu yao ya kutouza mafuta kwa miezi mitatu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
ANYAMBILILE KASOTE [60] ameuawa kwa kuchomwa moto ndani ya nyumba yake kwa kile kilichodaiwa wananchi wamechoshwa na tabia zake za ushirikina. Kasote aliuawa jana huko wilayani Mbalali mkoani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
DAR ES ES SALAAM, TANZANIA - The Bank of Tanzania (BoT) will allow old bank notes to circulate alongside the new ones that were released in January this year, until June 2012 when they will cease...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Kwa hili la kutopata umeme kwa muda wa miezi 4 nonstop,UMEGUSA PABAYA hivi ni kutudharau walipa kodi au bado mnachukulia kwamba watanzania wote ni wajinga?hivi mnazijua SHIDA tunazopata watu wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana JF, Jana Mdau mmoja alinipasha kuwa alikuta na mchezaji maarufu duniani wa mpira wa kikabu a.k.a NBA BASKETBALL DWIGHT HOWARD (Orlando Magic) Arusha AirPort. Akiwa ametokea Monduli kwenda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuana sababu ya kupiga kura of no confidence kwa serikal sasa,sababu tunazo za kutosha: Giza nene,ufisadi wa kutisha, inasemekana tunaongoza barani Africa ,wanyama pori kuporwa,arth nzuri kugawana...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
wakuu mimi sio mwanasiasa na kamwe sipendi kuwa mwanasiasa, lakini kuna kitu kinanishangaza kuhusu wabunge wetu kuvaa kaunda suti na kuacha vifua wazi,jamani sioni kama ni jambo la busara kuvaa...
1 Reactions
18 Replies
7K Views
Maisha yamekuwa magumu. Bei ya mafuta imepanda Gesi bei ipo juu Maji ya mgao Umeme ndio usiseme, kila kitu kimepanda bei kwa ajili ya uzalishaji kuwa mdogo. Nikisema ninunue jenereta bado...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni jambo la kawaida kwa askari jeshi kupewa kazi zingine kama u-DC,RC,balozi na nafasi nyinginezo mara wanapostaafu.Ni kwa nini askari polisi huwa hawapewi nafasi hizi?Huwa najiuliza sana.
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Jamani nini mtego wa nyani wezi Kila nikipanda mihogo shambani kwangu wanachimba yote hata kabla haijakomaa Na wananiotea inapoanza kukomaa tu hao wanavuna bila huruma
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Taarifa kutoka kwa waumin wa kkt igunga zinasema mtu 1 aliyetangaza nia ya kugombea ubunge kwa tiketi ya ccm, akiwa na kitambaa cha kijani shingon amekaribishwa na viongozi wa kanisa madhabauni na...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuna tetesi eti polisi wameongezewa posho n kweli??mwenye taarifa zaid atujuze plz!!!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni miaka 50 sasa tangu tupate uhuru wa bendera ila tulidhani tumeponyoka kwa wakoloni ila tukaingia kwenye makucha ya ccm. Ingawa kwa sasa watu wameamka wanaanza kudai haki zao bado...
0 Reactions
1 Replies
949 Views
Back
Top Bottom