Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ndugu zanguni wapendwa, Niko na kaka yangu mmoja mchungaji ametoka Sudan yeye alienda zaidi ya miezi mitatu kwa ajili ya kuiombea Sudan...amepita katika mapito mengi sana lakini Mungu wa kweli...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii ni aibu kweli kweli nasoma gazeti la mtanzania hapa watu wenye akili zao wamekaa na akufikiria jinsi ya kutafuna hela wameamua kutengeneza tume yao ya kuchunguza bodi ya pius msekwa..hivi kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau Hivi Hii Case No EC 4/2011 MAHAKAMA YA MOSHI inatosha kweli Kutumbumbaza why Not invoke Article 30 of Constitution? LHRC mtikila wapo? Jamani Wale wanyama wapo huko United states Arabs kuna...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
GreatThinkers, Maneno yangu mi machache lakini naomba myazingatie, Giza la makusudi linalosukwa na mafisadi ni mbinu ya kuingia Mkataba mwingine wa mabilioni. Ni mbinu inayojenga mazingira na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanawake wa kijiji fulani nchini kenya wameandamana kwenda nyumbani kwa muuza chang'aa mmoja na kumpa kipigo pamoja na kuharibu makazi na mitambo yake ya kutengenezea hiyo pombe. Wanawake hao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf karibuni kwenye mjadala huu!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu nimekutana na hii tetesi ya kusikitisha juu ya shirika letu la ndege. Kwanza, kuwa KLM iliwahi kuiomba TZ iikodishie kwa mkopo nafuu ndege zake ili ATC iwe mhsirika wake...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa msimamizi wa Mradi wa ujenzi wa Maghorofa 30 ya Kambi ya Polisi, Dkt. Huba Nguluma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
...unapofikiria kufanya kitu chochote na Mkenya/Wakenya (especially Wakikuyu) fanya uamuzi ukitegemea huyo unaefanya nae hilo jambo si mtu wa kuaminika hata 10%. Then anza kumsoma uone kama ana...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Warwanda nao wanaiga kuandamana jinsi watanzania wanamvyomsubiria Jk Washington DC. Wanarwanda kwa Upande wao wanamsubiria Kagame Ufaransa. Hii ni East African Fall Source: allAfrica.com...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika mambo yanayoendelea kuwashtua wasudani ni kuongezeka kwa vyeti vya vyuo feki kwa waganda ambao wameingia sudan kwa ajili ya kazi...wakiongea kwa huzuni wanasema ni kweli wengi mnajua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani namsikia mama kiilango aka mama king's analia kweli kwenye clouds anasema kuna kikundi cha mahoteli kikiongozwa na serena hotel kimekaa na kupinga kodi ya tuzo ya doller 60 badala ya kumi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa wale walioangalia habari kwa kina ya star tv wameona jinsi walivyoipa coverage kubwa habari inayoonesha adha kubwa ya umeme na maji wanayoipata wakazi wa mwanza pamoja na adha ya umeme...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Tunaofikiri vizuri na kuona mbali tulishalisema hili mapema, kwamba mvuta bangi si mtu wa kuaminiwa kwa mambo kama haya. Jose Chameleone Returns To Catholic Religion For The Good Of His Family...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
  • Closed
Unaweza fikria nguruwe ni mnyama mbaya kuliko wote sababu anavyokula na labda wakati ule mapepo yakimbilie kwa nguruwe lakini wenzako uganda nguruwe ambadilisha dini jose chameleon kutoka uislamu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ugomvi wa mke na mume ambao ni wapangaji katika nyumba hii umesababisha hasara kubwa na upotevu wa mali nyingi. Mke na mume walianza ugomvi asubuhi; mke akidai Mwanaume hanunui Nyama. Mke...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sasa hivi huyu babu anaitingisha serikali ya India kwa kuongoza mgomo wa Kufunga Swaumu ya kutokula katika style ya Mahatma Ghandi. He is in his 70's lakini amekuwa inspiration kwa watu wote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana mkuu wa wilaya Manispaa ya Tabora alionja joto ya jiwe baada ya kuwakusanya walimu katika ukumbi wa chuo cha utumishi wa umma na kuwataka wachangie sh. 5000/= kila mmoja kwa ajili ya mchango...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani,mimi kwa kweli nashangaa sana,pilipili usioila inakuwashia nini?,hivi hao watu wanajilia bata huko mjini unguja kwa gharama zao,wamewakosea nini?,mimi nawaza na sipati jibu,Mungu wangu na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Redio TBC FM na TBC Taifa zinakata matangazo kila mara umeme ukikata kwa SINGIDA hivi niwaulize wana SINGIDA hao TBC WENU hawana majenereta mubadala? chakushangaza ni radio ya serikari, hivi kodi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom