Wajameni, ni lini Tanzania tutakuwa na umeme wa nuclear, kwasababu tunazo resources zake yaani uranium ya kumwaga huko Ruvuma na Mtwara, mbona tungepata umeme mwingi sana tuwauzie hata hawa...
Leo nilikuwa sombetini wazee wa arusha sasa wamegundua kuwa chadema ni chama cha udikteta,vijana na baadhi ya kina mama ambao bado wanawaunga mkono madiwani waliotimuliwa wameapa kuwafata katika...
Jamani mvua hizi, mbona za kushangaza? Au ni kwa ajili ya kujaza maji Mtera kama na huko zanyesha? Au za kutufanya tuumwe tu tushindwe kutafuta ridhiki? Mvua gani za Agosti? Nawakilisha.
Nani wakulaumiwa kuwa wahindi wanaimaliza nchi na wazalendo kukosa kitu??
Sisi ngozi nyeusi ndo tunajimaliza wenyewe, Mhindi anaongoza kwa kutoa cha juu. Tubadili tabia sote watz hasa ngozi...
8 Agosti 2011 11:28
?
BBC Panorama imegundua kwamba, kambi ya mateso inayosimamiwa na majeshi ya usalama ya Zimbabwe inafanya shughuli zake katika eneo lenye utajiri wa almasi, Marange...
Wale wote walio ambao wanasapoti nato kuipiga libya ndio...uhaba wa mafuta.libya ni nchi ya nchi ya nne arica kwa uzalishaji wa mafuta, inagawaje mafuta ya libya yalikuwa hayaji Tanzania lakini...
Neno JWTZ kama hujawahi liona, ukiliona kwa mara ya kwanza hakika utajisifu na kujitukuza utanzania wako!
Laki tafsiri yake kivitendo imekuwa ni ya kutisha kama si kuhatarisha amani ya nchi hii...
Hakika kama kuna asieamini mungu basi mungu yupo kuna waraka waliouona wana freemassons
wamepanga tar 30 july 2011 kufanya kikao cha kuyaangamiza makanisa ya kiroho yanayosumbua
uliomweengu wa...
Nimejifunza kitu kimoja:
Kila uamuzi una matokeo yake, maamuzi hasi huzalisha tokeo hasi na maamuzi chanya huzalisha tokeo chanya. Baba wa Taifa alilizungumzia suala la Azimio la Arusha kwamba...
When I look by at my life, sitasahau enzi za Mwinyi (naongelea hali ya maisha ya watu binafsi, furaha, amani na upendo life standard & peace of mind).
Nilikuwa niko sekondari, sina bili sina...
ukisikiliza wabunge unaweza kucheka kwa kweli
wote wanajisahau kuwa wanawakilisha majimbo yao huko makwao
kutwa wanazungumzia daresaalam
yaani hawana aibu tena kuwa wote wanaishi daresalaam...
Maajabu ya manyanyaso ya wawekezaji yazidi kushika kas baada ya walinzi wa mgodi wa Geita gold mining kuwapiga na kuwaba wananchi wanaoishi jirani na mgodi huo!
Chanzo ITV
Kwanza nitoe ufafanuzi wa neno "Dola ya Kiusalama", ambalo ni tafsiri yangu isiyo rasmi ya security state.Kwa kifupi,dola ya kiusalama inaruhusu bughudha na unyanyasaji kwa wananchi wasio na hatia...
Last week it was 'crazy' at the national parks under TANAPA administration!
Hundreds of tourists delayedTanapa's latest: insanity or a case of tourism murder-suicide Image via...
Zaidi ya wanajeshi 30 wanasadikiwa kuuwawa baada ya helcopter waliokuwa wakisafifia kutunguliwa na wanamgambo wa TALIBAN,kwa hakika ni habar mbaya kwa wana NATO,inasadikia wanajesh wa kimarekan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.