Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
  • Closed
Najua uko busy lakini sitoacha kukuhimiza wewe mwenye nafasi kwenda kanisani siku ya kesho kumshukuru mungu kwa ukarimu wake wote aliokupa mpaka leo ukiwa unahema na auko icu..je mimi na wewe ni...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau ule mdahalo uliofanyika last Saturday kati ya Tundu Lissu na Job Ndugai utarudiwa leo jumamosi tarehe 6 August, 2011, saa 12 jioni Star Tv. Naomba kutoa hoja Source: Star Tv
0 Reactions
28 Replies
3K Views
" KIKWETE KIGEUGEU" Mwandishi Saed Kubenea Sheria ya nchi iko wazi kwa mtu yeyote kumtusi Rais ,Mtikila alifunguliwa mashitaka kwa kumtusi Rais Kwa maneno haya Mwandishi Saed kubenea anapeleka...
2 Reactions
132 Replies
9K Views
Halmashauri ya jiji la Dsm imekithiri kwa Ufisadi kiasi ambacho wamemmilikisha Yusufu Manji Ufukwe wa Coco Beach kuanzia Police mess mpaka karibu na American Club. Document iliyopo ya mkata feki...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajf najua nchi yetu kwa sehemu kubwa bado inapata machungu ya mgao wa umeme kutoka gridi ya taifa, hapa kigoma generator mpya zilizozinduliwa kwa mbwembwe na Raisi Kikwete mwezi wa tano 2010...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa yanayoendelea kujiri nchini kwa sasa hakuna ubishi kuwa nina serikali legelege,,,,,yapo mengi sana yanayonifanya niamin hivyo,lakin mojawapo ni hili la MKURUGENZI WA KAMPUN YA ENGEN aliyeipa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
By KEVIN KELLEY Posted Sunday, August 7 2011 at 12:09 A newly published State Department history volume includes a record of a 1976 meeting at which then Tanzanian leader Julius Nyerere and US...
0 Reactions
1 Replies
923 Views
Mazoea hujenga tabia,imekuwa kawaida kwa haya mashirika yetu leo nizungumzie haya ya NSSF na PPF,nianze kwa kuhoji kazi yao ni nini?,maana unakuta mfanyakazi unakatwa pesa zako kila mwisho wa...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
hadi dk.45 kipindi cha kwanza man city wanaongoza kwa 2-0! Dhidi ya man utd! Magoli yote ni uzembe wa kipa,na mimi toka wakati anasajiliwa nilitia shaka sana.wapenzi wenzangu wa man utd kazi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
baada ya kufichua uozo wa UDA,Meya wa jiji dar masaburi ameomba apewe muda kidogo ili afichue zaidi ufisadi mwingine ktk mashirika ya jiji kama DDC,KIBUKU etc!source ch10
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kweli nimeamini mtoto yake nepi,manchester utd,yaifunga man city 3-2.katika mazingira magumu sana.smulling bao moja.nani(mtaalaam) 2.hongera sana.
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Kikwete awaalika watoto yatima kutoka vituo mbalimbali katika futari ya leo. Kasema anawajali na anawakumbuka. Source: ITV habari saa 2
0 Reactions
12 Replies
2K Views
MANUNG'UNIKO YA SARAKIKYA: TAIFA LISILO NA SHUKRANI[/h] Na Lula Wa Ndali Mwana Nzela MWEZI mmoja uliopita, mkuu wa kwanza wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) tunavyolijua sasa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
burudika na nyimbo za dini sasa hivi... Tone Internet Radio
0 Reactions
0 Replies
987 Views
Ridhwani Kikwete anbaye ni motto wa rais Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni wa heshima katika siku ya kusherekea kwaya ya Mbiu ya Kanisa la Wasabato Usharika wa Tandala, Manzese...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Sababu kubwa inayosemekana kupelekea mgomo huo ni kitendo cha serikali kumtimua meneja wa uwanja huo kwa tuhuma za kuvujisha siri kwa baadhi ya wabunge! Leo hakuna ndege itakayotua wala kuanza...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Askari wa jeshi la wananchi JWTZ wilayani Ngara wanadaiwa kuwanyanyasa wananchi wa wilaya hiyo. Inadaiwa wanajeshi hao wamekuwa wakiwanyanyasa wananchi hao kwa kigezo cha kuwaita wanyarwanda...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kweli uswahilini noumaa wamenikombea ka blackberry kangu usiku! Wamechana nyavu ya dirisha wakabeba simu na kuniachia chaji tu.Yan sijui niende kwa bibi nikamwambie, maana wameniharibia siku...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Maelfu ya watu nchini Israel wameandamana kupinga ughali wa maisha nchini humo. Imekadiriwa kuwa kati ya watu 250,000 hadi 350,000 walikusanyika katika maandamano makubwa kabisa kufanywa mjini Tel...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Limekua ni jambo la kawaida kuona vyombo vya habari vikiongezeka nchini. Hii ni kutokana na kupanuka kwa sekta ya uwekezaji kwa wawezekaji wazawa au wa kigeni. Chombo cha habari ninachotilia mkazo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom