Habari JF!.
Jamaa mmoja wamemkata polisi kwa tuhuma za kawaida..si za kihaini.
Akafikishwa kituoni kwa maelezo na upelelezi.
Polisi kama mnavyojua ni wachafu makambini kwao hata vyoo vyao ni...
Nijuavyo mimi nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa sheria. Je ni sababu zipi zinazoifanya serikali isiwafikishe watuhumiwa wa ufisadi mahakamani? kwani kwenye sheria kuna madaraja?
Mara kadhaa...
LEO jioni kwenye mida ya saa 12 pale segerea kituo cha sanene majambazi mawili yakiwa na pikipiki yamevamia duka la kuuza vocha la jumla na kumpiga risasi kichwani muuzaji na kumuua papohapo...
Gazeti la Uhuru la leo ambalo ni gazeti la serikali limeandika,,"Mtuhumiwa wa ufisadi aenda Nigeria kujisafisha".
Hapa ni patamu,,kama hata chombo cha serikali ya ccm kinatamka waziwazi kwa...
Swala la posho mnaweza kulitumia kwenye chaguzi ndogo zitakazoibuka kabla ya mwaka 2015 kwa kuakikisha mjadala wa swala la posho ukianza ni muhimu kuhakikisha mnapata video za wabunge wote...
Mchwa wanashambulia fremu za milango, milango yenyewe, makabati ya ukutani.
Ajabu hata mchwa wenyewe siwaoni. Mwenye kujua dawa ama namna ya kukabiliana na hili tatizo anisaidie
Nikiwa naendesha kariakoo kaja mwanaume wa makamo hivi namuona makusudi anajigongesha kwenye kioo cha gari cha pembeni.
Mie nikasimama mara anadai nimpeleke hospital kaumia nikamwambia umeumia...
Hatujasahau walivyojidhalilisha kwa kutoa amri kumkamata mh.mbowe.leo wanataka askofu mkuu akamatwe.ni vichaa mahakimu hawa? Wanataka mahakama ziruhusiwe kuingilia uhuru wa kuabudu?
jamii sio kwamba nimeanza tabia mbaya lakini
mimi nina hakika katabia ka wizi kila mtu anako
mimi katika pitapita nimekutana na hii sasa bora kujua
mbinu kuliko kujifanya ujali kisha ukakamatwa na...
Jamani kuna nini! Mbona wamarekani wanaonekana kuinyemelea Tanzania kwa kasi sana? Wiki iliyopita tulisikia mwakilishi wao akiwa Ikulu na JK - leo tunasikia Mrs. Clinton anakuja....Kuna siri...
Institute of African Studies One Day Conference at Carleton University: "The Legacies of Nyerere: Economies, Politics, and Solidarities in Tanzania and Beyond" (March 4, 2011)
WAKURUGENZI Watendaji (DED) wa Halmashauri mbalimbali nchini 73 wamefukuzwa kazi, 78 wanakabiliwa na kesi mahakamani, 33 wamesimamishwa na mmoja amestaafishwa kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha...
Hii imetokea leo tarehe 12/6/2011 saa 9.00 Katika Ibada ya mazishi iliyokuwa ikiongozwa na askofu Laizer, Msaidizi wa askofu na wakuu wa majimbo katika Usharika wa KKKT Kijenge mbele ya mbunge wa...
naweza nikubali au nikatae shutuma nyingi zilizotolewa kwa jina hili, lakini kwa namna moja au nyingine sitolisahau jina hili "BENJAMINI WILLIAM MKAPA" he was the president real
Hello Great Thinkers,
Naomba kama kuna mtu anafahamu contact za askali police yeyote kituo kikuu cha police Kahama anipatie, kuna issue inayowahusu nahitaji kuwasiliana nao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.