Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
MAALIM SEIF: Uchaguzi wa Zanzibar ulikua safi hauna GHILBA Ndio huu ndio ukweli usionashaka kwa Watanzania kuambiwa ukweli na kuacha zile zama za Kina Chadema kukataa Ukweli hali ya kuwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Taarifa za hivi karibuni zilizochapishwa na mtandao wa Wikileaks, zinamnukuu mwendesha mashataka mmoja kutoka Uhispania akisema kuwa serikali ya Urusi inaendeshwa na genge la mafia. Jaji Jose...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Na Athman Hamza, jijini. WAKATI fukuto la tishio la mgomo wa daladala jijini Dar es salaam likiwa bado halijapoa, Chama cha Madereva na Makondakta wa Daladala jijini (UWAMADAR) kimewageukia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MWALIMU Mkuu wa Shule ya Sekondari St Thamos More Muchrine, Costantine Kirwanda (35) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kwa tuhuma za kumdhalilisha mwanafunzi wake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
*Wauaji mbaroni Na Waandishi Wetu, jijini UMATI wa watu jana ulishuhudia mwili wa Mohamed Ramadhani (30), aliyeuawa kinyama kisha kutupwa ****** kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
DEREVA teksi aliyefahamika kwa jina la Nicolaus Mwaikambo(25) mkazi wa Kinyanambo mjini Mafinga ameuawa na watu wasio julikana usiku wa kuamkia jana kwa kupigwa kwa kitu kinachodaiwa kuwa ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu watatu waliowahi kuwa wanajeshi wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa tuhuma za ujambazi wa kutumia silaha sambamba na watuhumiwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SHULE ya kimataifa ya Soutthern Highland Mufindi na Brokebond zafanya vizuri mtihani wa taifa wa darasa la saba mwaka 2010 katika mkoa wa Iringa na kuzipita kwa mbali shule za msingi...
0 Reactions
0 Replies
55K Views
NUSU ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwezi Septemba, mwaka huu, wamefeli. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilimsindikiza shemeji yangu kwenda kumsalimia ndugu yake aliyelazwa pale. Nilipokuwa eneo la hospitali nikapata tashwishwi ya haja ndogo ambapo nikaelekezwa vyoo vya wodini. wodi ya kwanza mpaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo mbunge wa arusha mjini (Godbless Lema) alipata nafasi ya kuwa shukru wa kazi wa Arusha mjini na kutoa vipaumbele kuwa ni (1) kujenga hospitali kubwa ambao mchakato umeshanza ndani ya wiki moja...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Karibu katika kila mkoa au wilaya katika makao makuu ya serikali ya mkoloni (kwa RC or DC) hata huko Zambia na Malawi huwa kuna BOMA na huitwa Bomani kumbe ni British Overseas Management...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Matokeo ya wanafunzi waliomaliza drs la saba mwaka huu yametoka. Kama yupo memba yeyote ambae yuko kwenye nafasi ya kuyaweka humu, ili kuwasaidia wote wale wenye interest waweze kuya access kwa...
1 Reactions
0 Replies
21K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Makumbusho ya Taifa, Dr Norbert Kayombo amefariki dunia hapo jana jioni jijini Dar. Taarifa zinasema mazishi yake yatafanyika kesho 02/12/2010 jijini Dar. Dr.Kayombo...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Matokeo darasa la saba yatanagzwa,kiwango cha kufaulu chapanda Chanzo TBC habari ya saa 2 usiku
0 Reactions
3 Replies
17K Views
Inna Lilah Waina Ilaihi Rajiun, aliyekuwa Rais wa Zanzibar na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania, Mzee Alhaj Aboud Jumbe Mwinyi, amefiwa na mwana wa kwanza kipenzi Dk. Suleiman Aboud Jumbe...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
e bana eeh hii tabia mi inanikera sana....''ujue sio wote lakini some members huwa tuna-access JF kwa kutumia mobile na si computer as many does!! so kwa sisi mobile users huwa tunapata shida sana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
leo tena mtangazaji wa kipindi cha magazeti tbc 1 anajifanya hajui kusoma aliposhika mwananchi.anasoma utadhani porn star kabugia mpododo.unajua mwananchi habari kuu ni prof.shivji aponda baraza...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Kuna habari kuwa Clouds fm inaweza kufungiwa au wafanyakazi wake kufungiwa kutangaza Radioni maana wananchi wametoa malalamiko yao kwa TCRA kuwa watangazaji wake wanaporomosha matusi na...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Wana JF nipo hapa kwa kuomba ushauri ninataka kujenga nyumba katika Mkoa wa Morogoro Mjini na baadhi ya marafiki zangu wananishauri nijenge nyumba ya Tofali za Kuchoma kwani wanasema ni Imara...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom