Hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa sana la vibaka! Tukianzia wanaokwapua laptops maeneo ambao tulishaonywa hapa Jf mpaka wale wanakwapua Simu Maeneo ya Tandale kwa mtogole.
Hivi hamna tiba ya...
Nilianzisha jana thread titled "mke wa mtume" kwenye jukwaa maalumu la dini! hii thread kwa sababu nisizozijua ilifutwa, kwanza nilidanganywa kwani "mark" ilikuwa inaonyeshwa -moved, ukweli ni...
Mpendwa mmoja ameonyeshwa jioni ya leo kuna mtu analipwa mshaara wa sh mil 1.5
shetan anataka kumwondoa kazini kwake.....
soln
kuna secretary wa bosi umezoeana nae kuwa na makini achana nae kabsa...
Kama unamwamini Mungu usiku waleo
amka ombea sana wajawazito walioko mahospitalini wakisubiri kujifungua'shetan
ameanzisha vita na wajawazito akitaka kuondoka na watoto na mama zao hasa katika...
tanzania na ma profesa, ma Dr. na wasomi wake
wote ni jahazi lipotealo, hasa kutokana na ukweli kuwa
hawajiamini na taaluma walizonazo....ni mtazamo tu wala
si ugonvi
Ndugu wananchi, inashangaza kuona eti wilaya, vijiji na hata mkoa kwa ujumla ambapo migodi ya dhahabu ipo bado hakuna shule nzuri, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna hospitali, hakuna barabara za...
Wakuu wana JF naomba kupatiwa taarifa kama kuna anayejua kama barabara niliyo itaja imekamilika au la kwani ni muda mrefu tangu nipite njia hiyo miaka ya 1998.
Nakumbuka kuna ile ya kupitia...
Sakata la unyanyasaji wa kijinisia uliotokea kwa mapdre kuhusu watoto wetu limezua mambo mengine Leo hii uko Berlin WANAHARAKATI waanafanya mkutano mkubwa kujadili unyanyasaji wa kijinsia kuhusu...
Millionairess Leaves Daughters 90p Each
A millionaire socialite has left her daughters less than a pound each because she believed they conspired in her mother's death.
Australian Valmai...
The Pope has been under pressure to refer directly to the crisis
Pope Benedict XVI has promised that the Roman Catholic Church will take "action" over child abuse by priests. The comments are the...
Wadau naombaushauri wenu,
Tunataka kujenga nyumba,
But tunataka atleast kwa kiasi kidogo kupunguza gharama za ujenzi.
Vipi kuhusu matofali ya hydraform?
Kwa yeyote anayefahamu, tafadhali naomba...
Baada ya wakenya kuwekewa hatua ngumu za kuingia nchini U.A.E
sasa Tanzania kitengo cha uhamiaji kiwe makini na raia hawa jirani
kulichafua Taifa letu kwa kufoji passport zetu na kuingilia nchini...
British family sparks race case after telling U.S. hotel: 'We don't want to be served by a black person'
By Mail Foreign Service
Last updated at 8:09 AM on 23rd April 2010
A British...
Pope 'has no UK arrest immunity'
Sunday, April 11 05:59 pm
Plans to have the Pope arrested when he visits the UK will succeed because he is not a head of state, a solicitor has...
Aslimia kubwa ya wanandoa wanaishi maisha ya upweke katika maisha yao
haya yameandikwa na taasisi moja inayoshugulikia matatizo ya ndoa na
familia kwa jumla...katika waraka wao wameainisha baadhi...
Wapo wanaoamini kutokana na shida wanazopata kwenye ndoa basi soln ni kukaa chumba tofauti..wapo wanaoamini kukaa vyumba tofauti huku ni kumkaribisha pepo.shetani kwenye nyumba yao...na pia wapo...
I have a QUESTION that has been bothering me for our Tanzanian Neo-Evangelists - especially for those who have made it their major preoccupation to post and discuss only Biblical Tracts and...
Mapdre wakikatoliki wameombwa kupewa kibali cha kuoa baad ya matatizo yaliotokea
huko nyumba kuhusu watoto.wakiongea kwa nyakati ttofauti wameomba uongozi wa kania katoliki kushirikiana na papa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.