Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
makontena 6 yamekamatwa yakiwa na bidhaa feki za majenereta;balbu;pen za bic;na wire za umeme akizungumza na mwandishi wa tbc mkurugenzi wa asasi inayofwtilia wanaoingiza vifaa feki amesema...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NAIROBI,Kenya SERIKALI ya hapa imemuhamishia nchini Gambia muhubiri wa Kiislamu raia wa Jamaica anayelaumiwa kwa kuhubiri chuki baada ya kuingia nchini kinyemela. Abdulllah al-Faisal...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nampongeza mmiliki wa Zizzou fashion kwa kutoa ajira kwa vijana hapa Dar na pia nampogeza kutuletea vitu quality kwa kweli sijui huyu ndiye yule kijana wa Kinywaranda aliyekuwa na duka na salon...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KUNA uwezako mkubwa wa abiria nchini kesho kukosa kusafiri kutokana na madereva wa mabasi yaendayo mikoani kutangaza mgomo kwa kile walichodai kulipwa mshahara ambao haulingani na kazi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Serikali ya uganda imepanga kuondoa maaskari wote wenye vitambi;akiongea kwa huzuni mkuu wa mapolisi wa uganda amesema ni kweli serikali iko kwenye mchakato;unajua wale tunawaweka sehemu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
*Jambazi lilitaka kuwarushia likajilipua lenyewe MAJAMBAZI watatu wameuawa kwa kupigwa risasi katika wilaya ya Ngara na Muleba baada ya kupambana na polisi kwa dakika kadhaa huku mmoja...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
SERIKALI imewataka familia tatu zenye wakazi zaidi ya 30 wanoishi katika shule ya msingi Kipawa 'Maisha Plus'kuondoka katika kipindi cha siku sita zilizobaki kabla ya bomoa bomoa kuanza. Taarifa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimesikia gari la Mombasa Raha limetekwa jana usiku likitokea morogoro kwenda tabora....any news?? my young brother was there...but for now hapatikani tena hewani.... msaada tafadhali, kama...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau JF nimeipata hii kutoka Michuziblogspot tunaweza kushea. mitaa nyeti jijini dar: Kijitonyama, Sinza na Mikocheni: Mitaa ya Sayansi, Makumbusho na Maeneo ya Mikocheni Rose Garden ni hatari...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapendwa WanaJF, kuna tangazo moja la TBC1 halinifurahishi sana, hasa linapodai kuwa Serikali "imesharidhia" kwamba mwaka 2010 wanawake na wanaume ni nusu kwa nusu kwenye nafasi ya uongozi! Swali...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwalimu yupo, badala ya kusubiri maelekezo ya mwalimu wee unaleta blingz zako.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za siku nyingi ndugu zangu maana ni siku nyingui sana tangu nimeshiriki katika uwanja huu ambao matu na ama wasomi kwa ujmla huwa tunasoma au ktoa hoja zetu.Binafsi nilishindwa kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MKAZI wa Kijiji cha Ndulungu Kata ya Kaselya Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Sadiki Selemani (40) ameikimbia familia yake baada ya watoto 2 kati ya 4 waliozaliwa na mke wake Mwanaharusi Juma (32)...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Waswahili huwa tunatema mate kwenye mabasi, tunapenga na kukojoa hovyo barabarani, tukiwa tunahama tunang'oa hadi silingi bodi licha ya kuwa tumelikuta, na pia huwa tunaharibu vitasa vya milango...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
This is the kind of no bullsh!t, zero tolerance attitude i would like to see from Kikwete. Actually from all our ministers. Threats won`t scare me, says minister Magufuli Livestock...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi ni kwa nini watu wanaoziacha dini zao za awali na kuingia kwenye dini mpya wanakuwa ni wakereketwa sana kuliko wenye dini haswa. Mfano mtu akitoka kwenye uislamu akiingia ukristo anakuwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Indian President Pratibha Patil will tomorrow confer an award on Regency Medical Centre chairman Dr Rajni Kanabar at the eighth Indian Diaspora Conference, which kicked off in the Indian capital...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Older Women An older lady gets pulled over for speeding... Older Woman: Is there a problem, Officer? Officer: Ma'am, you were speeding. Older Woman: Oh, I see. Officer: Can I see your...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
POLISI jijini Dar es Salaam wamewaua majambazi watatu katika mapambano ya kurushiana risasi yaliyodumu takribani dakika 45. Tukio hilo lilitokea juzi saa 3.30 usiku katika makutano ya barabara...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanawake hapa ndani si wengi sana, nadhani kuna haja ya kuanzisha umoja wao ambao utasababisha changamoto ndani ya forum. Wanawake ni ma organizer wazuri sana, pia wanashiriki kikamilifu shughuli...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom