Jana kwenye kituo cha Runinga cha Chanel 10 walirusha habari ikionyesha uchafuzi wa mazingira wa hali ya juu ambapo kuna kiwanda kimoja kimeruhusu sumu kutiririka kwenye bonde la Mto Msimbazi na...
While other telecom companies are busy reducing costs and tarrifs TTCL seems busy to burden its customers with unnecessary cost elements.
Case in point is that despite bidding and joining...
Wakati nchi ilipata dhoruba ya ukame, tuliagiza majenereta, makampuni mengi yanatumia jenereta wakati umeme unakatika
Pale DSM mjini kelele kila mtaaa; huu si ni uharibifu wa mazingira kwa maana...
Nilimsikia Naibu Waziri wa Elimu Mh Mwantumu Mahiza akiongea na wanafunzi wa ualimu kule Songea (source TBC Taifa jana jioni).
Aliulizwa kuhusu mishahara midogo wanayolipwa walimu. Alijibu kuwa...
Kero na karaha za nyumba za kupanga zimejidhirisha huko maeneo ya Mikocheni B baada ya mama mwenye nyumba kuvitoa vitu vyote vya mpangaji wake ambaye alikuwa safarini na kisha kuigeuza nyumba...
Hivi mtu unapochangia mada hapa jamii forum ama mahara pengine popote , ama mtu unapoamua kujiunga na chama fulani cha siasa ama, unapongombea nafasi ya uongozi katika chama chochote , unafanya...
Saturday, August 22, 2009 8:33 AM
Baba mmoja wa nchini Marekani ambaye alikuwa akimfundisha mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 13 kuendesha gari, amefariki baada...
Tume iliyoundwa na CCM kuchunguza mwenendo wa bunge sina imani nayo kabisa.
Mjumbe Msekwa alibwagwa na kutolewa uspika na Samweli sitta hivyo kisasi chake atalipiza kwenye ripoti ya hiyo...
Wajamani kutokana na hali ya mivutano katika mambo ya muungano ,kunaonekana kuna mivutano iliyowazi ambayo imefikia hadi viongozi wa juu wa serikali mbili zilizopo kurushiana maneno ya ubabe na...
Wakuu ninaleta jukwaani habari ambayo kama hujaisikia kutoka eneo la tukio ni lazima uwe na mashaka na uwezekano wa tukio husika.
Leo kulikuwepo mkutano wa hadhara huko jimboni Busanda ambako...
MWANAMKE mmoja wa Kijiji cha Mambegwa Msowelo Kilosa ,Morogoro anashikliwa na polisi Mkoani Morogoro, kwa tuhuma za kumuua mume wake kwa kumvuta sehemu za siri...
We all know that very few African countries are in the business of manufacturing arms of any kind save for South Africa. We are all net importers of military armaments we deploy in our conflicts...
Mimi ni mvuta Sigara maarufu wa aina ya Sportsman inayotengenezwa na Tanzania Cigarette Company (TCC), kama miezi miwili iloyopita nimekuwa na uzito kwenye kifua, pumzi kubana na kukohoa mara kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.