Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari kutoka mto Wami zinasema kuwa Barabara ya kwenda Arusha imefungwa kwa muda kutokana na Gari la mafuta kupinduka maeneo ya Mto Wami Source : Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Pwani
0 Reactions
10 Replies
3K Views
licha ya ajali nyingi kutokea hapa nchini hatujawahi kuona mmiliki wa kampuni anafuatiliwa kama ilivyo sasa kwa hii ya mohamed trans au ndio yupo katika hatua za mwisho kufilisiwa, jana jeshi la...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Leo hii madereva wa mabasi ya kwenda mikoani wamegoma, mpaka sasa hivi hamna basi lolote lililoondoka katika stendi kuu ya Ubungo. Hii ni kutokana na adhabu iliyotolewa kwa dereva aliyekuwa...
0 Reactions
110 Replies
12K Views
Hii ni barabara mpya inayojengwa kutokea mivinjeni mpaka mbagara rangi tatu iliwa ni main road kuelekea Kilwa kupitia kwetu Rufiji. Barabara hii ilifunguliwa na mbwembwe na Rais JK ikijengwa na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu yetu na rafiki yetu Dominic alifariki kwa ajali ya gari na taratibu zote za maziko zinaratibiwa nyumbani kwao maeneo ya Mbezi Beach. Hivyo basi ukiwa kama ndugu au rafiki pamoja na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hatimaye Mama wa ufisadi nchini amejipambanua na kujiweka wazi kwa kila mwananchi. Katika vikao vya CC na NEC vya CCM vilivyomalizika Jumatatu 17/08/09 hakika imedhihirika mapambano dhidi ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ebu pitia mistari hii then utoe maoni yako!! THIS WAS ESTABLISHED BY MRS MARTHA DE PURENEZ, WHO DIED AT THE AGE OF 104, AND SHE SPENT 82 YEARS IN MARRIAGE, AND SHE SAID THIS. “I know that young...
0 Reactions
2 Replies
966 Views
By Shifa Mwesigye The holy month of Ramadhan starts this Friday, August 21. That means you will want to do everything right to make your fasting holy and accepted by God. Fasting, saying...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Monday, August 17, 2009 3:12 PM Inakuwaje pale rubani na msaidizi wake wanapopitiwa na usingizi na ndege kupita juu ya uwanja wa ndege ambao ilitakiwa kutua? abiria...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
New York recipient says he was near death when Israeli man answered ad By Carla K. Johnson and Adam Goldman updated 3:17 p.m. ET Aug. 18, 2009 NEW YORK - In 2005, a rebellious and...
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Subject: FW: RE: MY NIGHTMARE IN TANZANIA Date: Tue, 4 Aug 2009 15:04:53 -0400 From: Ray Bergen To: Lisana Koliskowski Hello Lisa I am glad to be back in America after such a disastrous trip to...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sikuamini kwamba nilichokuwa nakiona na kukisikia ni kweli.Sheikh kukubali matumizi ya kondomu kwa waumini wake na Maaskofu nao kuzikaribisha makanisani huku wakijua wazi kwamba ni kinyume kabisa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimesikiliza na kupokea kwa mshangao hukumu dhidi ya Zombe.Inashangaza na kutia kinyaa.Sikuwa na wasiwasi wowote kwamba Zombe angefungwa kwa vile ushahidi hata kama ni wa kimazingira, ulikuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A WIFE is pregnant with TWELVE babies, it was claimed last night. The unnamed mum-to-be - a teacher - is said to be defying medical advice by vowing to give birth to ALL six girls and six boys...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Najaribu kupata picha kwamba sasa barabara zimefungwa. Askari wa sare na wale wasionazo wako bize kuzunguka mahakama yote pale Kisutu. Huku watu wakiwa na shauku ya kujua kulikoni, mara kwenye JF...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
So, who killed them? By Guardian team 18th August 2009 The acquittal by the High Court yesterday of the former Dar es Salaam Regional Crimes Officer...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gazeti la Uhuru linaendelea hivi Wanaotumia fedha za umma kulipia pongo. "licha ya kwamba za Dar es salaam na kwengineko nchini hazina hadhi ya kulinda haki ya mtu kuishi katika mazingira safi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau katoka kubrowse kwangu nimekutana na hii link waziri wetu wa miundombinu yupo!!!! http://www.communication.go.ke/nbp/default.asp
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Taarifa za hivi punde ni kuwa wakili maarufu wa kujitegemea katika mikoa ya kanda ya ziwa Bw Aaron Kabunga amekamtwa na Takukuru akiwa katika harakatib za kuwahonga mashahidi katika kesi ya...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom