Mkutano wa kujadili matatizo ya umeme
napenda kukujulisha kwamba kutakuwa na mkutano wa kujadili matatizo ya umeme katika mji wa arusha siku ya jumapili tarehe 23 mwezi wa 8 mahali ni aicc...
Kabla ya kuwa na kompyuta, nilikuwa nasikiliza redio kuhusu muandamo wa Mwezi. Mara nyingi nilikuwa nazipata habari za mwezi kwenye saa 8 za usiku. Kwa hiyo yoyote atakaepata habari za kuandama...
Hakika zimesalia siku chache sana kabla waumin wa Kiislamu hawajaanza kufunga mwezi katika mwezi mtukufu wa ramadhwani. kama ilivyobainisha katika Qur'An
((Enyi mlioamini! Mmefaradhishiwa...
Na Suleiman Abeid, Shinyanga
HALMASHAURI ya Manispaa ya Shinyanga imekumbwa na kashfa ya ufisadi baada ya kudaiwa kutoa mkopo wa sh. milioni saba benki kwa kughushi nyaraka na kumlipa mshahara...
MAAMUZI yaliyopitishwa wiki hii na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kuwadhibiti wanachama, hususani Wabunge wake ambao wamekuwa msitari wa mbele katika kukipaka...
Kule Dodoma leo walimu wa shule za msingi wamegoma na hivi sasa wapo viwanja vya Nyerere Square wakitoa malalamiko yao kwa afisa elimu mkoa juu ya kauli ya kifedhuli ya Mwantumu,yaani shule leo...
Kama WaPemba wangenyamaza kimya kauli hii isingewahi kusikika miongoni mwa WaTanzania wenye dhamana ,haya ni maendeleo ambayo ni ya kuigwa katika kuilinda haki,tusikubali kuonewa wala kunyanyaswa...
Askari mmoja huko mbagala alimpiga mwenzake risasi ya sehemu za nyuma huku ikimuumiza na yeye mkononi.
sasa tuseme huyo askari hakufundishwa jinsi ya kutumia hii silaha au ndio mara yake ya...
Wana JF mpigieni kura Illuminata Wize, Mtoto wa Kisuma anayetuwakilisha TZ na pia East Africa kwenye mashindano ya miss world 2009
Kong'oli hapa: http://www.missuniverse.com/members/contestants...
Polisi kwa sasa wameweka uzito mkubwa wa kusimamia foleni na magari barabarani (Nawapongeza kwa jitahada zao) nadhani Bw Mwema kama sikosei idadi ya askari barabarani itakuwa imeongezeka maradufu...
A husband is allowed to starve his wife if she refuses to have sex with him under a new law passed in Afghanistan. A woman must also have her husband's permission to work. The bill applies to...
Nimeshangazwa sana na kiasi kikubwa cha rushwa visiwani hapa....
mimi ni mtumishi wa kutoka private sector...nipo huku kwa kazi maalumu ya siku 14....nimepewe gari T XXX YYY,basi polisi...
Darfur Peacekeepers Probe Crimes Against Women
African-UN Mission Sets Up Unit to Investigate Gender-Based Crimes
18 August 2009
The police component of the joint African Union-United Nations...
My lecturer of philosophy used to tell plagiarists that what they were doing was intellectual masturbation.
From that, I have coined this definition: any conscious abuse of intellect or...
Natumaini kuwa kila mmoja wenu ni mzima kwa mapenzi yake mola. Tunamshukuru kwa hilo.
Leo naomba niwashirikishe mada moja muhimu ambayo ni sisi tu wadau na wenye uchungu na nchi hii tunaweza...
I don't know if this is on point for everyone, but it is for me (PISCES). Anyway enjoy!
Read what it says about your sign.
VIRGO (The One that Waits)
Dominant in relationships.
Someone...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.