Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wacha nikwambie ukweli na ninakuomba usome even if it pains Imagine upo kwenye jiji kwa miaka 7 bila kwenda kijijini kwenu unachomiliki ni simu refurbished imejaa memes za Kasongo Sehemu...
10 Reactions
27 Replies
720 Views
Prof. Minzi na wengine! Sijui kama Waafrika kuna siku tuta endelea na kufanikiwa kama wenzetu wazungu, wahindi, wachina, waarabu, nk. We seem to be at the lowest thinking, intellectual and moral...
65 Reactions
127 Replies
5K Views
Huwa inatokea mmiliki wa biasahara hasa baba anapotangulia mbele ya haki haya hutokea, Mke hujimilikisha mali zote na pengine yeye kahusika kwenye kifo kwa tamaa ya mali kuna mtoto hasa wa kwanza...
13 Reactions
13 Replies
775 Views
Pole kwa kila gumu lililokusumbua mwaka huu; kama uliumwa, uliumia, uliumizwa, uliteseka, au ulitikiswa kivyovyote hisia zako na ukadhani usingetoboa kuiona leo...POLE MNO. Hongera kwa...
1 Reactions
2 Replies
122 Views
Kumekuwa na uhaba mkubwa wa Sarafu za sh 500, 200, 100 na 50 pasipo kupatikana mwafaka wa usumbufu huu Ukweli ni kuwa sarafu hizi zinaibiwa na Wachina kupitia Mashine za kamari zilizotapakaa kila...
0 Reactions
5 Replies
485 Views
Leo ijumaa kuna kipindi cha dini ya kiislamu, watu wanaopiga simu wanauliza maswali :- Kuna mama kapiga simu kauliza eti watu huko peponi watakua na Rangi gani, DINI gani na watakua wanaongea...
44 Reactions
72 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? "Muislamu aweke usalama na amani kwa wasio Waislamu katika kutaamuli nao kwa kutokuwatendea maovu, kutimiza ahadi nao, kutaamuli nao vizuri katika biashara na kadhalika...
6 Reactions
29 Replies
471 Views
Wizara ya miundo mbinu , kupitia TARURA , Tunaomba msaada Barabara hii muiangalie , kwanza hatarishi na madimbwi yamekua makubwa ,mazalia ya mbu na kila uchafu. Mkandarasi alianza kazi, mwisho wa...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Habari njema Matajiri Wawekezaji, Hongereni wote kwa kuendelea kukaa kwenye mchakato wetu wa programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo, kwa muda...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
MFANYABIASHARA KIJANA DAUDI KANYAU AMEJENGA MSIKITI NA KITUO CHA WATOTO YATIMA-MKOA WA PWANI !!! HUU NI MFANO WA KUIGWA KWA VIJANA TUNAPOPATA MAFANIKIO KUJARIBU KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTOA SADAKA...
11 Reactions
242 Replies
101K Views
Matunda ya uwekezaji wa wachimbaji wadogo yanazidi kuwatajirisha ambapo bwana Aidan Amefanikiwa Kuuza Madini ya thamani ya zaidi ya Bilioni 20.👇👇...
22 Reactions
164 Replies
8K Views
Wakuu, kwa kuwa katika muda huu, sisi wenye mamlaka ya kusimamia na kuandaa wataalamu wa baadae (walimu) tupo likizo. Ninaitumia likizo hii kwa kwenda shambani ili kuzalisha chakula. Wakuu, jana...
29 Reactions
163 Replies
3K Views
Mara kadhaa nimewambia kuwa chadema ni genge la wahuni wapiga dili, wanatumia chama kama kitegauchumi. Mungu sio asumani leo hii leo hii tunawaona jinsi wanavyo tuhumiana wao kwa wao kula...
3 Reactions
17 Replies
606 Views
Wadau hamjamboni nyote? Hii ni tafakuri ya kina imefanyiwa utafiti hivyo inakuhitaji uwe makini kabla ya kuchangia Usiku
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Zamani tulishuhudia Afrika ikiwa kwenye Makwapa ya mataifa ya Ulaya na Amerika Leo China imeongeza kwapa lake . Tanzania na Afrika imejisalimisha Rasmi na imekubali nguvu zake za uchumi ikabidhi...
2 Reactions
2 Replies
180 Views
Hivi ni choo gani bora kati ya vile vya kukaa na kuchuchumaa? Binafsi naona vya kuchuchumaa ni bora na kiasi fulani ni hygenic hasa kwa mazingira ya sehemu za jamii kama mashule,vyuo,ofisi na...
2 Reactions
325 Replies
93K Views
Hivi leo hii ukisikia mtu kaokota shilingi milioni kumi [10,000,000] halafu kaipeleka polisi au karudisha kwa mwenyewe,je utamwonaje? Bilashaka wengi wetu tutamwona ni mpumbavu Ukweli ni kwamba...
22 Reactions
68 Replies
2K Views
Back
Top Bottom