Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wataalamu wa uchumi mkuje mutuelezee Kwa sababu gani Bank kuu wameacha Kutoa sarafu mpya Yani 50, 100 na 200 na kufanya ziadimike katika mzunguko wa biashara Ni kwamba Kuna ishu yoyote ya...
2 Reactions
3 Replies
226 Views
Anonymous (5ad4)
Barabara ya ‘Mnara wa Vodacom’ inayochepuka kutoka barabara mpya iendayo Butiama-Nyamuswa-Ukerewe imekuwa kero kwa wakazi wa Ligamba mtaa wa Ligamba ‘A’—Wilaya ya Bunda, Mara. Barabara hii, licha...
0 Reactions
1 Replies
274 Views
Anonymous (9c4c)
Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini. Masikini ya Mungu Huyu...
36 Reactions
885 Replies
98K Views
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Komredi Debora Joseph Tluway Tarehe 28/12/2024 alikutana na madereva bajaji walioko Wilaya ya Mpanda ili kutekeleza dhima ya Program ya "SAMIA MTAANI...
0 Reactions
0 Replies
129 Views
Wakuu heri ya Christmas, japo kkwangu ilikuwa mbaya. Huwa Sina tabia ya kutoka usiku sikukuu yoyote ila saa 3 usiku nikapata mwaliko wa pilau mahali Fulani, nkaenda nkala safi, vikaanza vinywaji...
33 Reactions
102 Replies
4K Views
Pablo Escobar aliwahi kushauri kwamba, si vyema sana kuwaambia watu matatizo yako. Alipoulizwa kwanini alisema ivi, "Asilimia 80 ya watu unaowaambia matatizo yako, hawajali na wala hawazingatii...
3 Reactions
8 Replies
389 Views
Watu watano wa Familia moja Wakazi wa Kitongoji cha Nkangi kilichopo Kijiji cha Isangawana, Kata ya Matwiga, Tarafa ya Kipembawe, Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya wamefariki dunia kwa kupigwa na radi...
1 Reactions
1 Replies
293 Views
Nikiwa nafanya manunuzi madukani, niliingia duka moja nikaulizia bidhaa niliyoitaka nikaambiwa ipo. Kijana niliyemkuta nje ana rangi kama yangu, akanitajia bei na akanitolea bidhaa niliyohitaji...
0 Reactions
0 Replies
115 Views
Nimeangalia Churchill Show iliyoandaliwa na mkuu wa mkoa wa Arusha, itoshe kusema comedy ya Tanzania ni mbovu sana, maudhui ni duni mno, unaona wazi watu wanatumia nguvu kubwa sana kucheka na...
0 Reactions
0 Replies
179 Views
Baba bora ni nani? Baba bora ni yule anae wapenda, watunza na kuwajali watoto wake. Mume bora ni nani? Mume bora ni yule anae mpenda na kumjali mke wake na familia yake kwa ujumla. Je dunia...
58 Reactions
320 Replies
19K Views
MKURUGENZI hapo Kitaa ambaye unapambana sana kuhakikisha huyo Mwanamke anakupenda, fikiria muda unaopoteza wenzako wanafanya nini kwa ajili ya kesho yao! Amua sasa wakati unahangaika kumjazia...
9 Reactions
13 Replies
528 Views
Msaada wenu tafadhali! 1. Basi gani linaenda Kampala saa tatu Asubuhi kutokea Bukoba? 2. Nauli yake ni shilingi ngapi? Mara ya mwisho nilitoka Kampala hadi Mutukula kwa Ush 30,000 ambayo ni kama...
3 Reactions
31 Replies
915 Views
Jana Nilikuwa nikisafiri kutoka Dar to Mwanza for sherehe za Christmas & New year 2025 kwakweli safari ilikuwa nzuri sana tena nikakunjia njia ya Tabora baada ya kufika Manyoni; Shida ilianza...
3 Reactions
27 Replies
730 Views
MAELEZO KUHUSIANA NA HUDUMA YA MAJISAFI KWA KATA ZA MTAMAA NA UNYIANGA NA MANISPAA YA SINGIDA KWA UJUMLA Kata za Unyianga na Mtamaa ni mojawapo ya maeneo ambayo yana uhitaji wa kusogezewa huduma...
0 Reactions
2 Replies
328 Views
Kennesaw,Georgia ni mji mdogo wa kusini Marekani. Harufu ya mikate inayonukia kutoka kwenye tanuri mikate ya Honey suckle Biscuits &bakery,huku kwa mbali sauti ya treni ikisikika Ni sheria...
1 Reactions
0 Replies
192 Views
Hii mitandao ya simu Tanzania imekuwa kero sasa, unajikuta una laini ya kila mtandao na kila laini unasajili kwa kazi yake kwasababu hakuna mtandao unaotoa huduma zake kwa 100%. Nina laini za...
4 Reactions
9 Replies
432 Views
Nilikuwa Nina shida Fulani, itabidi nikamuone shekhe ndio anaweza kunisaidia, ila baada ya kunisomea Dua , akanipa hili karatasi kama niweke kwenye wallet Naomba tasfiri yake wakuu, isije ikawa...
5 Reactions
75 Replies
2K Views
Watanzania kuna nyakati tuambizane ukweli, mji kama Kahama ukitoa ule mgodi wa Buzwagi nini kinabaki pale Kahama? Kuna raia humu watataja car wash, guest house, bajaji, frame, saloon, maduka ya...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
▪️Washiriki Bonanza la Michezo na Askari Magereza ▪️Watoa misaada mbalimbali kwa wafungwa ▪️Wafanya ukarabati wa Jiko lq chakula kwa Wafungwa wanawake ▪️Jeshi la Magereza lapongezwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
143 Views
Back
Top Bottom