Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
SIGIL YA MAMMON; FUNGUA NJIA YA MAFANIKIO NA UTAJIRI KWA KUTUMIA SIGIL YA MARMON. Najua wengi wetu tunapenda Pesa na mafanikio, Tunapenda kumiliki mali (Material gain) basi katika pita pita...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Imekuwa too much sasa, Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui...
5 Reactions
27 Replies
535 Views
Katika hali ya kawaida watu wengi hujikuta wamefanya makosa mbali mbali ikiwamo ya Usaliti. Makosa hayo yanaweza kufanyika kwa kukusudia au kwa kutokukusudia. Wakati mwingine inakubidi ufanye...
7 Reactions
86 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa quruan ni kwamba mwanaume wa akislamu akifa mwema anapewa wanawake bicra 72 hukoo peponi sada jee mwanamke akiwa mwema yeye atapewa wanaume 72? .
1 Reactions
13 Replies
219 Views
UHALISIA : REALITY (uhalisia) tunautengeneza ndani ya fikra zetu,Tunaweza Kuubadili uhalisia kwa kuanza kubadili mfumo wa FIKRA zetu.😎 : Usikubali kukosewa HESHIMA kabisa hata kutoka kwako wewe...
1 Reactions
1 Replies
88 Views
Hivi muda huo utakapowadia hao mabikra 72 tulioahidiwa nitakuwa nao kwa utashi wangu au kwa lazima? Kama ni kwa utashi wangu ikitokea mimi sihitaji bikra yoyote au nahitaji mmoja tu miongoni mwa...
8 Reactions
43 Replies
1K Views
Habari wakuu. Jana kampuni za magari ya Honda na Nissan zilifanya mazungumzo ya kibiashara na kuungana ili kukabiliana na ushindani uliopo kwenye soko la magari. Muungano huu unalenga kutoa...
6 Reactions
67 Replies
1K Views
watoto wa mjini wanahitaji malezi serious sana vinginevyo ni hasara tupu mbeleni nakua disappointed sana kuona blunders za uswahililini hasa kwa dar kwa hawa watoto wakike ni ama wasome waje kua...
2 Reactions
7 Replies
402 Views
Kila Mwanajeshi ninayekutana naye wa Uganda (hasa Maafisa) na wengi wao walioko katika Kikosi cha Ulinzi cha Rais Museveni na wakubwa wao walikoko Makao Makuu yao ya Mbuya na wale walioko katika...
10 Reactions
26 Replies
1K Views
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakaatuh. Habari ya majukumu hapo ofisini kwako, bila shaka umzima wa afya na waendelea vyema na majukumu waliyokupatia waislamu katika kukitumikia kiti hicho...
2 Reactions
0 Replies
182 Views
Nchi nyingi zenye Waislamu wengi zinakabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi, hali inayochangiwa na sababu za kihistoria, kitamaduni, na taasisi. Nchi kama Morocco na Yemen, licha ya historia...
3 Reactions
107 Replies
2K Views
UKIZUBAA UJANANI UTAJIKUTA UZEENI UNALAZIMISHA KUWA KIJANA TENA😔 Ujana ni hatua pendwa zaidi kuliko hatua zote za makuzi ukiachilia hatua ya utoto ambayo nayi ni pendwa. Ujana ni hatua yenye...
11 Reactions
40 Replies
1K Views
Mapenzi - Ndoa chungu, Usaliti, nguvu za kiume, n.k. Uchumi - Kufilisika, gharama kubwa za maisha, n.k. Kesi mahakamani Marejesho ya Mkopo Magonjwa (Kisukari, Presha, Uti Sugu, n.k.) kukosa ajira...
8 Reactions
29 Replies
561 Views
Huo mdaharo uitwe Muhammad vs mwamposa YESU KRISTO na Muhammad wapi na wapi jamani Yaan KRISTO akae meza moja na mbakaji Muhammad aliyebaka kitoto cha miaka 6 kiaisha Kweli jaman? Hii si...
1 Reactions
2 Replies
36 Views
Alfajiri ya leo tarehe 20.10.2018 imepokelewa na watu wengi kwa furaha kubwa baada ya kuenea taarifa za kupatikana salama mfanyabiashara kijana bilionea Mohammed Dewji... Ni furaha kwa familia...
226 Reactions
471 Replies
75K Views
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mpenda kufatilia makala riwaya na majalida mbalimbali ya kijasusi sijawai hata kupitia mafunzo ya mgambo ila elimu ya ujasusi niliyo nayo huwezi...
3 Reactions
1 Replies
238 Views
Je kunawezekana kuwepo kwa tomorrow kwenye kitu kinaitwa habari au later today? ? Wajuvi wa mambo mniambie
2 Reactions
8 Replies
172 Views
👉🏾Katika ulimwengu wa leo, ambapo familia nyingi zinapitia majaribu makubwa ya kijamii na kiuchumi, ni vigumu kuzipata familia zinazoonyesha umoja, upendo, na utakatifu wa kweli. Hata hivyo...
2 Reactions
7 Replies
268 Views
Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri makini kwa wenye ilimu Usiku mwema
12 Reactions
81 Replies
2K Views
Pale Kivukoni sehemu ya kukatia tiketi katika Kituo cha Mwendokasi pa hovyo sana. Kwanza abiria ni wengi wanasongamana mno wanagombea tiketi. Mtu unakomaa kwenye foleni hadi unafanikiwa kufika...
2 Reactions
8 Replies
536 Views
Back
Top Bottom