Nilikuwa na mwanamke nilizaa nae watoto wawili
Nilijaribu kumfungulia biashara akaiua
Nilikuwa nauliza kwa wenzangu wenye uzoefu ikiwa kama mwanaume nalipa vitu vifuatavyo:
Kodi, bima za afya...
Nimejaribu kutafuta huduma kutoka kwa credit info Tanzania hii ni wiki ya pili sasa, nilijaza form kwenye website yao ili kuomba kupatiwa loan report mpaka sasa sijapata majibu, namba ya simu...
Nipo njiani naelekea Kampala. Ninatamani niweze kuwa na uwezo wa kutumia Internet hata nikiwa huko, lakini kwa kutumia line yangu ya simu.
Nimejaribu kutafuta huduma ya ROAMING (ZURU KIMATIAFA)...
MY STORY; NILIMFUKUZISHA MUME WANGU KAZI SASA KANITELEKEZEA WATOTO!
Sikua na shida yoyote na mume wangu, alikua ni Baba wa familia anayejali kwa kila kitu. Lakini nilikua si ridhiki, kila...
Nipo Kampala, lakini huenda nikahitaji kufika Rwanda na Burundi.
Naomba taarifa za hivi karibuni juu ya:
1. Hali ya hizo nchi kiusalama (Rwanda na Burundi)
2. Gesti za bei nafuu lakini salama...
Majadiliano ya kidini baina ya wafuasi wa dini mbalimbali yamekuwa yakijadiliwa sana katika miaka ya hivi karibuni. Wengine wanaamini kuwa haya majadiliano ni muhimu kwa kukuza uelewa, uvumilivu...
Kuna kero Tanzania zipo tu na zinaonekana hakuna ufumbuzi , yaani hata uwe na billion mia Bado hizi shida utakuta nazo.
1. Barabara mbovu hizi zipo tu nunua gari Yako ya bei Kali Kuna...
Ubaya Ubwela
Gusa achia Twende
kwao
Sicheki na Wowote
Ninge comment ila Mwanasheria
wangu yupo likizo
We huogopi..!
Yanga hii unaifungaje?
Mtoto Kautaka
Naijua hiyo
Kipengele uje nacho wewe tajiri...
Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imemkamata Bw. Steven K. Julius kwa tuhuma za wizi wa mali za wa wagonjwa ikiwemo simu za wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo kwa kujifanya ni mwajiriwa wa...
Miaka imesonga sana, maisha yamebadilika Kwa kiasi kikubwa.Tofauti na sasa ambapo ukiwa na simu janja au tarakirishi unapata taarifa zote zilizotokea na zilizovunjika 'breaking news', Zamani redio...
Mwaka 2021 alipo kufa kiongozi wa nchi afande sele Alimtukana mungu akina kishki sure kipozeoo wanaojiita mashekhe walimsomeaa dua jee afande alikufaa? Au Allah hana uwezoo
Ndio imeshatokea
Mzee Assey kakataa zawadi ya spacio aliyopewa na mkwe wake akidai hayo ni magari ya wendawazimu,
Kuna wazee hawana adabu kabisa ,
Kwani spacio ina tatizo gani kwa kutumika kama...
Siku hizi watu wengi sana wanakomaa na Gym kwamba wananaenda kuweka mwili sawa, wanaenda kutengeneza mwili ikae sawa kiafya, wengine ni johing kila asubuhi wengine weekend.
Kitu wasichokijua ni...
Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda, ameweka wazi kuwa kipindi alichopitia kimekuwa kigumu sana maishani mwake, lakini imani yake kwa Mungu imemsaidia kuvuka changamoto hizo...
Members wa Jm F Niwaletee kisa cha Jamaa yetu mmoja ukiwa na ushauri mzuri nitampelekea. Ujumbe huo.
Kijana mwenzetu kutoka moshi Ana hisi kukata Tamaa maana amefanya biashara ya duka Nikaenda...
Habarini jamani,
Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivu😬
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.