Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu kwa mwenye uelewa naomba nijuzwe namna ninavyoweza kujijengea uwezo wa kusoma vitabu kwa lengo la kupata maarifa tofauti tofauti. Kama inavyofahamika wengi katika watu ni wavivu wa kusoma...
1 Reactions
4 Replies
193 Views
Kilogramu 614.12 za Dawa za Kulevya Zateketezwa Dar es Salaam Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya leo imeteketeza kilogramu 614.12 za dawa za kulevya katika kiwanda cha saruji...
1 Reactions
31 Replies
740 Views
Kwenu walezi wote wa watoto nawaombeni tushirikiane kuwafanya watoto wetu wa kiume wakue kiume na wawe wanaume halisi wa kesho 1. Nianze kwenu wazazi akina mama Toeni nafasi kwa watoto wenu wa...
12 Reactions
81 Replies
5K Views
Tunaomba Kampuni ya Mawasilano ya TTCL iangalie huduma za mawasiliano katika mnara uliopo katika Kata za Kikio na Misughaa Mkoa wa Singida. Kuna muda Mtandao unakuwa haupo inakuwa kero sana...
0 Reactions
7 Replies
440 Views
Government Procurement Service Agency (GPSA) tatizo ni management kama yule DBSS hafai kabisa kuwa ofisini ni fisadi halafu mbinafsi na mbaya Zaidi anawahonga wakaguzi wanapokuja kumkagua na mambo...
11 Reactions
293 Replies
53K Views
Nguvu waliyo nayo CHADEMA imewatisha sana Ari waliyo nayo CHADEMA imewaogopesha sana Uchaguzi wa kwanza serikali za mitaa uliosababisha mauaji ya wapinzani wengi kwa wakati mmoja kuna kivuli...
10 Reactions
27 Replies
847 Views
Yaani Toka zamani kila ninapoenda lazima nione Tandu na saa zingine kila room ninayokaa haipiti mwezi lazima nione Tandu na nilishawahi ng'antwa na Tandu why?
2 Reactions
18 Replies
566 Views
Kuna watu wapo na karama kubwa Ila hawajitangazi wala kujipigia Promo radion wala kwenye TV . Na hawa ndo watumishi wa kweli . Nitatoa ushuhuda ufuatao . Pale katika kanisa lake 90% ya...
18 Reactions
82 Replies
2K Views
Chama kinatengenezwa kwa mambo 3 ili kuweza kuendelea kuwepo. Kwanza System,structure na Itikadi/kanuni/sheria. System/Mfumo unaangalia namna gani utasimamia itikadi isiweze kiharibiwa kwa...
3 Reactions
0 Replies
66 Views
Hadithi ya YACUB ni simulizi linalotokana na mafundisho ya Nation of Islam (NOI), harakati ya kidini na kisiasa iliyoanzishwa nchini Marekani katika miaka ya 1930. Hadithi hii inachukuliwa kama...
1 Reactions
3 Replies
316 Views
Ikiwa Mitume wote walitumwa na Mungu, kwa nini kuna tofauti kubwa kati ya mafundisho ya Yesu (ambaye anatambuliwa katika Uislamu) na Nabii Muhammad? Yesu katika Uislamu anatambuliwa kama mtume wa...
5 Reactions
78 Replies
2K Views
Anonymous (aec5)
Benki ya NMB Tabora wamekuwa na huduma mbovu. Huduma inayotakiwa kutolewa na watu watano ila inatolewa na mtu mmoja. Wateja wanapoteza muda mrefu bila kupata huduma. Mfano mtu nataka kujua...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Tunaomba wizara ya mawasiliano itusaidie kutatua changamoto ya mawasiliano.tunateseka,
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Mbona kama tunaendelea kupangwa sana tofauti na uhalisia. Ukiangalia umeme bado katika baadhi ya maeneo mengi sana umeme umekuwa wakukatika sana. Mfano mimi ninapokaa umeme siku mbili mfululizo...
0 Reactions
3 Replies
230 Views
Kitabu cha Enoki (The Book of Enoch) ni maandiko ya kale ya kidini ya Kiyahudi yanayohusishwa na Enoki, ambaye alikuwa babu wa Noa. Ingawa si sehemu ya maandiko rasmi kwa dini nyingi za Kiyahudi...
1 Reactions
5 Replies
671 Views
Kuna nini nyuma ya pazia kwanini kesi za ulawiti na unyanyasaji kwa watoto zimeshamiri lakini hatuoni wahalifu wakipewa adhabu kali? Inawezekanaje mtoto wa miaka 4-15 kulawitiwa au kuingiliwa na...
0 Reactions
1 Replies
247 Views
Hayati Magufuli alipokuwa Rais wa awamu ya tano alikuwa ni mtu asiyetabirika. Mwaka fulani katika utawala wake, alilipa mshahara tarehe kama ya leo. Imagine upo zako lindo unapokea sms ya salary...
8 Reactions
30 Replies
944 Views
Najaribu kujiuliza juu ya upatikanaji wa miamba inasosemakana kuwa na dhahabu au madini mengine yenye thamani kubwa. Je nchi kama zanzibar ina maana tokea enzi za ukoloni kulikuwa hakuna mwana...
0 Reactions
6 Replies
311 Views
Hivi wakuu hili limekaaje, sikuhizi TRC hawapost kabisa habari ya treni kwamba itakua na safari za Moshi au kutangaza habari za kuwepo kwa treni za kati. Wanapost tu habari za SGR na safari zake...
0 Reactions
3 Replies
167 Views
1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 12 jioni baada ya kutoka shamba, acheni shobo. 2. Mje na dada wa kazi huku...
18 Reactions
26 Replies
1K Views
Back
Top Bottom