Kuna usemi unasema mtegemea cha ndugue hufa masikini, hiki ninachosema siyo utegemezi, ni kujiwekea mizizi ya baadaye, nina mifano dhabiti ya wachaga, na wahaya kadhaa wamekuwa wakisaidiana ndugu...
Katika jitihada za kuongeza ajira kwa kundi kubwa la vijana wanao hitimu elimu ya vyuo vikuu, tunaishauri Serikali kupitia wizara husika kurekebisha umri wa kustaafu watumishi wa umma uwe miaka 50...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Wizara yake imeanzisha mifumo ya kielektroniki ya kusimamia sekta ya Ardhi ikiwemo e-Ardhi ili kutoa huduma bora kwa...
Salaam Wanajukwaa,
Naomba kero yangu ifike kwa waziri Jumaa Aweso kilio chetu Wananchi wa Singida, SUWASA inatuua.
SUWASA inatukandamiza, inatuonea, bili za maji za huku kwetu ni mitaji ya Watu...
Juzikati Oktoba 23, 2024 nilipofika eneo la Mti Mmoja - Monduli (Arusha) nikiwa njiani kuelekea Dodoma nikitokea Arusha, niliona jambo la kushangaza sana, nilishuhudia Wanafunzi wa shule wakinywa...
Je, ungependa kusafisha na kuliwaza akili au ufahamu wako? Kama jibu ni ndiyo basi fanya yafuatayo
Piga magoti chini (sio lazima) au pia unaweza kusimama, kisha vuta pumzi na uzuie isitokee (yani...
Licha ya baadhi Viongozi wa ngazi za juu Serikalini kuwaelekeza Watendaji wenye mamlaka katika ngazi mbalimbali kuwaondoa Wafanyabiashara wadogowadogo (Machinga) kwenye maeneo yasiyo rafiki na...
I was raised to move on, I was raised to wake up every morning and try again even when my heart is broken.
I was elevated to keep walking even when all I want to do is to hide away, I was taught...
Mara kadhaa napita barabara hii ya kutoka Tegeta kwenda Ubungo-Kimara, sasa ukifika hapo Mwenge mida ya saa moja jioni huwa sielewi utaratibu uko vipi, bahati nzuri huwa siwi wa kwanza kwenye...
Napendekeza kanuni mpya!
Kanuni mpya ni kwamba, NIDA moja hairuhusiwi kusajili zaidi ya namba moja kwa mwezi.
Sasa mtu NIDA yake ikitumika kufsnys utapeli kwa laini iliyosajiliwa baada ya kuanza...
Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Albert Msovera amewataka Wafanyakazi walio katika vituo vya mizani kuhakikisha wanasimamia sheria ya uthibiti ubora wa barabara ya mwaka 2016 ya Afrika mashariki...
Hivi hili tatizo la umeme mkoani Tabora litaisha lini? Hawatoi taarifa kwa wananchi nini kinachoendelea, wanaukata wanavyotaka na wanaurudisha wanavyotaka, mbaya zaidi ukipiga simu makao makuu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Kwanza la Kiswahili la Kimataifa litakalofanyika jijini Havana, nchini Cuba...
Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira nchini zimeelekezwa kutoa taarifa sahihi kuhusu uendeshaji na utoaji wa huduma kwa kuwa taarifa hizo hutumika katika utekelezaji wa mipango ya Serikali...
Habari Wana Jamiiforums wenzangu, ndugu yenu Mwanongwa katika pilika zangu nikakutana na Stori za kwamba kuna Wafanyabiashara wa Ndizi pamoja na Maparachichi ndani ya Mkoa wa Mbeya wamekuwa siyo...
Kwa Kiswahili kinajulikana kama CHOMBO CHA KUSIMAMIA UBORA TANZANIA (TBS)
Jina zuri lakini la kizungu.. Sio tatizo sana
Jengo zuri la viwango
Mazingira mazuri ya Kazi
Vitendea Kazi bora
Maslahi...
Kuna baadhi ya Walimu katika Shule ya Msingi Majengo na Shule ya Msingi Songea katika Manispaa ya Songea, Kata ya Majengo
Mkoani Ruvuma wamekuwa na tabia ambayo naona sio sawa kwa Wanafunzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.