Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
KWAKO MH MSAJILI NIMEONA CLIP MOJA YA KIJANA MMOJA MPENDA MTANDAO KAMA NDUGUYETU YULE KIBOKO YA WACHAWI HUYU BWANA ANASEMA HANA MPANGO WA KUFUNGUA KANISA ANAFUNGUA SEHEMU YA KUABUDIA MWENYE...
1 Reactions
1 Replies
284 Views
Natumia jukwaa hili kama jukwaa linalo fikiwa na wengi kuwakumbusha wale wanao amini katika hili. Kwamba ni mwezi wa Maria tuapaswa, au tunatakikana kusali haswa rosari kwa madhumuni ya kuomba...
13 Reactions
30 Replies
1K Views
Umewahi kukutana janga la simu yako kufuatiliwa au kuingiliwa mawasiliano yako bila wewe kujua? Basi sasa unaweza kufuta ufuatiliaji wowote uliofanywa kwenye simu yako kwa kujua au kutojua. Pia...
23 Reactions
62 Replies
11K Views
Habari za asubuhi wapendwa. Yaani nimeamka na mawazo sana nikaona nije huku kutaka msaada wenu yawezekana mm ni mshamba eneo hili. Juzi nilinunua nguo duka fulan maeneo ya Sinza kulikua na sale...
2 Reactions
16 Replies
795 Views
Ndani ya Taifa letu ni wazi sasa Tunu ya Vijana imekuwa ni Uchawa. Ili utoboe maisha lazima uwe chawa wa kisiasa au wa namna nyingine pia. Waliofungwa miaka ya maisha Jela ni chawa ambao awali...
2 Reactions
3 Replies
403 Views
Kuna kada kataka kuniharibia siku leo. Asabuhi asubuhi kwenye maofisi ya watu eti anataka mchango 30,000 wa mbio za mwenge utakaopita wilayani kwetu Nimemtimua kama mwizi Siwezi kushiriki...
6 Reactions
4 Replies
281 Views
Mungu ni mwema nyote. Wakuu mtakubaliana na mimi kuwa misaada ni mizuri pale inapohitajika hasa unapokuwa na shida bila shaka ukipata utatuzi wa shida yako utafurahi sana na kumshukuru Mungu...
0 Reactions
21 Replies
548 Views
Watu wengi hawajui kwamba Ruvuma ni Moja kati ya Mikoa 10 inahochangia zaidi pato Taifa. Aidha Ruvuma na Iringa ni Kati ya Mikoa 10 yenye watu wenye kipato kikubwa zaidi. On top of that,hii ni...
2 Reactions
14 Replies
591 Views
Mwezi huu Naibu Waziri Mkuu amepata msiba kwake, amefiwa na shemeji yake kijijini kwake Bulangwa, Jimbo la Bukombe ndio msiba umetokea wa Naibu Waziri Mkuu. Kama kawaida, bwana kiongozi akija...
25 Reactions
49 Replies
3K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma imetupilia mbali kwa mara nyingine shauri la mapitio ya mwenendo wa kesi ya jinai inayowakabili washitakiwa wanne wanaodaiwa kumbaka kwa kundi na...
4 Reactions
117 Replies
5K Views
Redio naskiliza kwaajili ya kupata au kukusanya habari mpya ili niifatilie kwa umakini hyo habari maana redio zetu wamejaa mbumbumbu wengi mno hawajui lolote wao wanaropoka tu hawafanyi analysis...
1 Reactions
3 Replies
198 Views
Nashangaa kuona watu wanakesha kutwa usiku kucha kupiga kelele eti wanaomba na kusifu, ni upumbavu wa hali ya juu kushobokea watu waliowatesa ndugu zetu. Vilevile, nashangaa watu wanashinda...
2 Reactions
43 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wapendwa Natumai mnaendelea vizuri. Hakuna binadamu asiye na changamoto ni kwamba tunazidiana tu,tupeane pole maisha yaendelee. Naamini JF kuna watu wenye upeo tofauti wa...
3 Reactions
19 Replies
458 Views
Kuna hili suala la kila nyumba za ibada za kishetani zinapewa jina la kanisa na sio msikiti? Kitu gani kinawavuta kuita kanisa badala ya msikiti ili hali kanisa ni nyumba za ibada za wakristo...
0 Reactions
7 Replies
292 Views
Si watu wengi au familia nyingi ufuga hawa ndege jamii ya "njiwa". Mimi binafsi nakuwaga na mawazo tofauti sidhani kama ni mimi peke yangu au na wengine?
2 Reactions
12 Replies
465 Views
Kwa wewe umeoa au kuolewa, hapa ujiombee na kuomba toba na rehema kwa ajili yako na nguo ulizovaa. Hujaoa? Nikujulishe tu kwamba baadhi ya mavazi mnayovaa yana maagano ya vifo, kutengana...
7 Reactions
17 Replies
628 Views
Hivi nyie polisi aliyewaambia muweke kibao kinachosema kuwa Central maana yake ni kituo cha kati ni nani? Central ni kituo kukuu na sio kati! Ndio maana unasikia Central Bank of Kenya - Benki...
12 Reactions
53 Replies
939 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imepanga Septemba 5, 2024 kutoa hati ya ukamatwaji kwa mtu anayetambulika kama Afande, Fatmah Kigondo anayedaiwa kuratibu tukio la ubakwaji na ulawiti wa Binti wa...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Mimi kipindi mdogo bado kula kulala maskani mwaka 2007,nilikuwa naendesha baiskeli napiga misele mtaani.akatokea jamaa mmoja akajifanya ananijua eti ni baba yangu.aliniwamba makofi ya kutosha,huku...
3 Reactions
2 Replies
218 Views
Manispaa ya Ubungo imeona taarifa kuhusu kuvuja maji kwenye mabomba katika kituo cha Mabasi cha Magufuli Ni kweli changamoto hiyo ipo lakini tumeanza kuchukua hatua. "Tatizo la miundombinu ya...
0 Reactions
3 Replies
423 Views
Back
Top Bottom