Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamzuilia Kulwa Bosco, anayejulikana kwa jina maarufu la Rasta, ambaye ni mfugaji mkazi wa Kijiji cha Sinyaulime, Tarafa ya Ngerengere, wilayani Morogoro, kwa...
Ni mpaka tu uwe na Akili Kubwa kujua kuwa Kitendo cha Tundu Lissu kumtaja hadharani Paul Makonda (Mkuu wa Mkoa wa Arusha) katika Sakata lake la Kupigwa risasi na kutaka Kuuwawa ulikuwa ni Mkakati...
Katika hii nchi ukitoa Rais, watu wanaofuata kupigiwa magoti ni askari na hawa jamaa huwa wanafanya walitakalo na hii imethibitika katika vitu vingi sana.
Yaani kiufupi hao jamaa waliotuhumiwa...
Habari wadau.
Binafsi naishi karibu na imamu wa msikiti mmoja mkubwa tu Temeke. hali yake ya maisha inasikitisha .
Nyumba anayoishi na hali yake kiuchumi haiendani na huduma yake anayoitoa...
Telegram ni jukwaa maarufu la ujumbe linalotumiwa na zaidi ya watumiaji milioni 950 duniani kote. Ni maarufu kwa sababu ya uwezo wake wa kutoa ulinzi wa faragha kupitia mazungumzo yaliyosimbwa kwa...
Naishauri serekali ya Tanzania ifungue balozi za Israeli na Ukraine nchini tena kuwe naushirikiano haswa. Wa Israel, kutokana na Israel kuwa na teknolojia ya Hali ya juu, tupeleke na wanafunzi...
Licha ya umasikini wetu wa taifa hapakosekani kundi la watu wenye nafuu, hata kwenye ukoo masikini wale wenye magari hutokea koo maskini ila wao kama wao wapo mbali kuzidi wenzao, Tukigusia...
Wakati wanatangaza kuhusu ujenzi wa hii barabara niliwambia watu kitu. Anyway na ndicho kinachoendeleaaaa
Ile barabara walivunja frame za watu zaidi ya 100 na nyumba za watu kadhaa wakishauriwa...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Sakata hili limerahisisha Sana kujua kuwa hata mashoga waliopo Duniani hawapendi kuwa vile walivyo isipokuwa kûna Ñguvu ya ziada zinawalazimisha kufanya Yale...
Samaleko..
Binafsi nampongeza P Diddy Kwa alichowafanyia Hawa Vijana Wapenda Kitonga akiwemo Mjomba Nchumali na Wenzake, Kongole sana kwake.
Nilienda Vacation Zanzibar ila nilichoona kinafanyika...
Hali ya Barabara Kwa Fundi Baiskeli (Kigamboni) ni mbaya, huu ni mwezi wa 6 tangu Bango la Mkandarasi liwekwe na hakuna kinachoendelea
JF tunaomba mtusaidie kupaza sauti kwa Serikali ya Kigamboni...
Aisee huyu myahudi anatembeza kichapo mpaka Raha nimetoka kufuatilia hapa BBC News aisee magaidi yanaondolewa sio mchezo
Mungu ibariki San Israel iendelee kutoa kichapo kwa haya magaidi na uzao...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema Jeshi la Magereza lazima likubaliane na maboresho ya kimfumo, kimuundo na kitaasisi ambayo yatakwenda kuongeza uwezo wa uzalishaji...
Tamasha la Tatu la Kimataifa la Utamaduni litakalofanyika mkoani Ruvuma kutoka Septemba 20 hadi 23, 2024, linaonyesha umuhimu wa kuenzi tamaduni za Tanzania na kuwavutia watu kutoka ndani na nje...
Leo nataka niwachane mawinga. Hasa mawinga wa steshenari zilizopo eneo la phamasi ya Msua karibu na maeneo la Makoroboi.
Ukifika pale unakuta vijana kibao wako nje kwenye vibaraza. Ukikaribia...
Mwenyeskiti Kijiji cha nyamkonge kata Nyahongo wilaya rorya kwa kushirikiana na diwani pamoja na mbunge , walihamua kupindisha ramani nakupitisha barabara kwenye makazi ya wananchi kwakutumia...
Kwema Wakuu!
Kwa wasioelewa haya mambo wanaweza Kuona ni mapya lakini hakuna jipya hata Moja. Mengi ni marudio.
Tangu Ibrahim akanyage Hapo Kanaani Muarabu na jamii za Mashariki ya Kati...
📖Mhadhara wa 25:
Mwanaume unaanzaje kukimbia majukumu ya kulea mtoto au watoto wako. Mwanaume rijali aliyekamilika hakimbii majukumu ya kulea damu yake, anaweza kumkimbia mwanamke aliyezaa nae...
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Ireland (DPC) imeipiga faini ya takriban Tsh. Bilioni 273 kampuni ya META baada ya kubainika 'Passwords' za Watumiaji wa Facebook milioni 600 wa Facebook...
Mussa Azzan Zungu
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu ametoa wito kwa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya kuendelea kushirikiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.