Kampuni mama ya tiGO Tanzania 'HONORA TANZANIA MOBILE SOLUTIONS LTD' wamefikishwa mahakama ya mwanzo Ilala wakidaiwa fidia ya shilingi milioni 26,880,000/=
Shauri hili namba 270/2024 litaanza...
Kwanza nianze kwa kuwapongeza wale wabakaji waliobaka kwa kunufaika na hukumu ya kifungo Cha Maisha baada ya kumbaka kwa kumpiga Mtungo yule Binti wa Yombo mbele na nyuma.
Wamevuna walichopanda...
Kuna dhana imejengeka kwa watu wengi na sasa inaelekea kuwa ndo ilivyo
Utakutana na mtu akishakuuliza jina tu basi na jibu la imani yako anakua nalo!
Sasa kuna hawa wengine wanao amini kama...
Hamjambo,
Usiku wa kuamkia leo nimeota nipo kwenye mji mwingine, ni kama "lost city" ambapo hakuna mtu lakini majengo yake ni makasri, kama yale kwenye filamu za katuni, mfano jengo la...
Naam, kama ilivyo katika maisha ya kawaida, kila kitu huwa na pande mbili zinazokinzana, kama vile mrefu na mfupi, mweupe na mweusi, na kadhalika. Vivyo hivyo, imani ina pande mbili: kuamini au...
'You won't find faith and hope down a telescope,
You won't find heart and soul in the stars'
'Science and faith' ni albamu ya pili kutoka katika kundi la wanamuziki wa rock kutoka Ireland...
Wakati nyakati za Uchaguzi zinapokaribia ukiwemo wa Serikali za Mitaa 2024, ni rahisi kwa Mwananchi asiye na Taarifa Sahihi kufanya maamuzi yasiyo sahihi wakati akijiandaa na Michakato hiyo hadi...
Kumekuwa na tabia za watu kujiona wanategemewa sana. Watu hawa hawafanyi maendeleo yeyote wala kujijali wao kila siku ni kutunza wenzao na kubaiki meza kwa kujaza bia, wanapaswa kujua, hata wakifa...
Kujistiri kwa mwanamke wa Kiislamu ni mojawapo ya maamrisho ya msingi ambayo yamewekwa na Mwenyezi Mungu ili kumlinda, kumheshimu, na kumtunza mwanamke dhidi ya maovu na machafu ya dunia. Hii ni...
Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarni Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na wakala wa Barabara (Tanroads) Mkoa wa Arusha katika kuhakikisha wanadhibiti ajali za barabarani wameendelea na...
Habari zenu wana JF,
Ningependa kujua zaidi na kuwekwa sawa kwenye hii dhana ya kutembelea na kwenda kusafisha makaburi ya ndugu, jamaa na marafiki.
Je, kwa kitendo cha kwenda tu kutembelea na...
Kazi ya mapambano na wezi huko Mbeya Bado ni ngumu na inaendelea kupmaba moto.
Pia soma > Mbeya : Viongozi 58 wa Vyama Vya Ushirika Watiwa Mbaroni Kwa Kutapeli Wakulima wa Kakao Shilingi Milioni...
"TUWAAMBIE KABLA HAWAJAHARIBIWA"
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Benjamin Kuzaga Agosti 28, 2024 akiwa ameambatana na Watendaji wa Dawati la Jinsia...
Kwanza nawasalimu.
Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu yenye swali mwishoni.
Mimi nilishaondokwa Na baba yangu mzazi tangu mwaka 2004 Na akazikwa nyumbani kwao mkoa flan hapa hapa Tanzania...
Moshi. Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanafunzi wa kidato cha pili (miaka 17) kwa tuhuma za kumuua rafiki yake, John Lema (18) chanzo kikielezwa kuwa, mabishano ya umri...
Kwanza matokeo ya utafiti yaliandikwa kwenye magazeti ya jambo na mwananchi.
Kwa akili ya kawaida vita iko ukraine, urusi, israel, gaza, Iran wewe mtanzania inakuhusu nini ? Ndio unaona hata...
Wadau..mi kusema cha ukweli sijawahi kupanda ndege toka nimezaliwa. Nataman sana siku moja kuipanda. Umri wangu ni miaka 35. Naomba tuelimishane....siku ya kwanza inakuagaje?..Nikifika pale airpot...
Huwa napenda kuandika humu kama diary yangu maana
Basi nilliwahi andika nikiwa na umri wa miaka 22 nilikuwa nishashika hela nyingi kama million 100 na zaidi kutoka biashara nilikuwa...
Habari JF,
Mimi nimepata ajali ya Bajaj, Bajaj hii inabima kuwa comprehensive ya 640000/=
Bajaj hii ni ya mkopo bima ni alliance insurance limited, Bado nafatilia report kituo Cha polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.