Nimeona tangazo la UTUMISHI kuhusu suala la uhamisho kwa wenza! Kiukweli inashangaza kuona tunaletewa drama na maisha yetu.
Wapo watumishi wengi ambao maombi yao yako UTUMISHI AU TAMISEMI...
Wanajamvii Bwana yesu asifiwe!
Leo ni jumapili siku ya ibada sisi KKKT ni siku ya watoto wetuu (ni sikukuu yao) moja vitu vinanikereketa moyo wanguu ni hawa viongozi wa serikali hii inayojiita...
Kituo kikuu cha Mabasi Dar es Salaam 'Magufuli Bus Terminal' ni miongoni mwa maeneo ambayo Serikali imekuwa ikikusanya mapato, kutokana na hilo inatarajiwa Miundombinu na huduma za kituo hicho...
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hasan, Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama (Mb), Mkurugenzi Mkuu Dkt. Irene Isaka pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa...
Wadau hamja mboo?
Niende moja kwa moja kwenye maada, kuna huyu ndege anaitwa dudumizi kwa menye kuujua ukweli wake atiririke hapa huyu ni ndege ana rangi ya kahawia na rangi nyeupe kifuani,
Huyu...
Kwa kusali Jumamosi tofauti na Madhehebu mengine na wanawake wao kutovaa hereni na kutengeneza nywele wanajifanya ni watakatifu sana. Kumbe hawana lolote. Ona wizi wa mamilioni hapa
Ni utamaduni unaonishangaza sana, kila ikifika december wiki 2 za mwisho Wachaga wa nje ya mikoa na nje ya nchi hukusanyika pamoja kwenye sehemu za asili zao huko Kilimanjaro.
Kwa miaka kadhaa...
Arusha Mjini - wazawa asili Kuna Wameru na Waarusha, niliwahi kuishi hapo miaka mitano, cha ajabu kilichonishangaza ni kwamba Mji huu kwenye mambo ya fursa upo kwa majirani zao Wachaga wa Moshi...
Hawa ni watu wa wapi?
Nilijaribu kufatilia wameru ni kweli wanasikilizana na wamachame wapo tofaauti na wachaga, nadhani ni ni wamasai walioamua kuhamia Machame, hupenda kubeba visu na pia...
Huwa ninawashangaa watu wanaojisifia makabila yao katika msingi wa damu. Naamini, kama vipimo vya DNA vingefanyika, kuna watu wangejishangaa kufahamu kuwa hawana uhusiano wa damu na kabila...
Kila mwaka tarehe 30/9 dunia inaadhimisha siku ya Tafsiri duniani.
Siku hii ilianzishwa ili kumuenzi Mtakatifu Jerome aliyefariki tarehe 30/9/420. Huyu alifanya kazi kubwa ya kufasiri biblia na...
Napensa sana mahubiri sema tukiwa tuko OK
Hii kuwasha redio wote tunakoroma dk 30 unaanza kuweweseka kama jini mahaba amekupi1tia
Mnatutisha wapendwa.....
Embu tuwe serious n1a Mungu
Hello guys mambo vipi poleni na majukumu. Kwa majina Naitwa Omary naishi Nairobi ila elimu yangu ya Msingi mpaka Chuo nimepata Tanzania. Naamini hii ni platform kubwa sanaa ambayo imejaa watu wa...
Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.
Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa.
Mda unavyozidi kwenda naanza kuamini Waarabu na waajemi ni moja ya jamii za vurugu ambazo zikeshika Dola ya Dunia pasingekalika na naamini waarabu ni jamii za watu ambao hawatumii akili kutatua...
Katika harakati za mtu mweusi, nikaenda Ifakara, Morogoro.
Sasa kufika hapo mchongo ukanitaka asubuhi niende Mlimba Morogoro pale Kihansi Hydropower. Nauliza wenyeji wanasema kwa “bus” ni kama...
Kuota unarudi kijijini ulipozaliwa, ulipoishi zamani.
Umelala au kuingia kwenye nyumba ya zamani ya kijijini kwenu ambapo pengine hiyo nyumba haipo tena.
Kuota upo kijijini kwenu na kuona...
Swali: Ukitoa principles zote za kisayansi unazozijua na usizojijua na Ukitoa imani zote za Dini zote unazozijua na usizozijua Je, Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini?
NB; Uzi huu...
Inaonekana trend mpya mjini ni kugalagala kwani baada ya Jenista Mhagama kugalagala juzi mkoani Ruvuma, mtangazaji na mwanamitandao maarufu Mwijaku nae ameunga tela!
Kuna video inasambaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.