Wakuu,
====
TAARIFA KWA UMMA
Septemba 28, 2024Mpendwa Mteja, Tunaomba radhi kwa changamoto za mtandao kwa sasa inayosababisha wateja wengi kushindwa kupata huduma. Timu yetu ya wahandisi...
Wiki iliyopita si ni li kopa pesa x ikawa natakiwa nirejeshe pesa nusu mara mbili ndani ya siku 14 yani kila baada ya siku Saba nirejeshe.
Sasa rejesho la kwanza lilikuwa jana ila cha moto...
Baada ya kukaa kwenye ualimu miaka miwili uko kigoma vijijini, hatimaye naanza kuona Mwanga kidogo kwenye maisha yangu, nilikua na idea nyingi sana za kuwekeza lakini mazingira niliyopo na aina ya...
Utashanga kwa nini nakwambia haya ila tambua ni kweli na wazi kabisa
Huu ni uzi mfupi tu.
Je unajua nchi zote duniani zinadaiwa?, kama ndio ni nani anaewadai. Nilipokaa nakujiuliza hili swali...
Kijiji Cha lorokare Kata ya Oljoro no.5 Wilaya ya Simanjiro Manyara wazazi wamejenga darasa kwa udongo ili kuwasaidia watoto kujipatia elimu lakini pia kuokoa maisha yao kutokana na korongo la...
Chama kimetulia, chama kina kubalika, chama kinaaminika, chama kimeimarika mno.
Ruvuma na Songea wamedhihirisha kwamba wewe Dr Emmanuel Nchimbi katibu mkuu CCM Taifa, ni agenda ya Taifa na karata...
stream of fire issued and came forth from before him; a thousand thousands served him, and ten thousand times ten thousand stood before him; the court sat in judgment, and the books were opened...
Sio kila unachokiomba, Sio kila kanisa linachokiomba Mungu ndio huwa anajibu. Mengine yanayokiuka kanuni za maombi hujibiwa na mashetani.
Mfano: Ile tabia ya kuombea watu wafe, wapigwe...
Nimepita daraja la Wami Dakawa, nikapita daraja la Ferry Dumila, nikapita madaraja ya Kitete, Msowero, Mvumi na Rudewa barabara ya Dumila Kilosa nikajifunza kuwa madaraja ya njia hiyo yaliinuliwa...
Wana jamii forum naomba kuuliza ni ofisi gani inatoa ajira yenyewe bila kupitia utumishi yani wana kibali cha ajira na wana mshahara mkubwa kwa BBA ya accounting kabla ya kupata CPA
Pia ni...
MRADI WA MAJI YA BOMBA WA KATA YA TEGERUKA: MKANDARASI KUONGEZA KASI YA KUKAMILISHA MRADI HUU
Kata ya Tegeruka yenye vijiji vitatu vya Kataryo, Mayani na Tegeruka itatumia maji ya bomba kutoka...
Kuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating.
Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu.
Lina fukuza watu wasio wa...
Wakaazi wa kitongoji Cha Songambele Kijiji Cha lorokare Kata ya Oljoro no.5 Bado wanapitia adha kubwa ya maji kwani wanatumia korongo la msimu Kupata maji ya kutumia kwa kufukua mchanga.
Maeneo...
MKATABA WA TAIKON NA MCHUNGAJI JONATHAN KANJUNJU KUHUSU USHIRIKA WANGU KATIKA KANISA LAKE
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Baada ya kukutana na Mchungaji Jonathan Kanjunju wa Kanisa la Cherubim...
Habarini nyote. Nawiwa kuja kwenu, kuuliza kuhusiana na undani wa hii cult, au hili kanisa linaloitwa Shincheonji Tanzania.
Nimekutana na watu na nimefanyiwa uinjilishaji, mpaka muda huu nasoma...
Mzee wa mafuta ya upako P.Diddy katika kesi yake inayoendelea. Je kuna uwezekano wa watu hawa kuitwa either kumtetea au kumkandamiza?
1. Diamond anasema walifanya yao ambayo hawezi yaweka in...
Habari Wana jamii forums.
Kama nilivyotangulia hapo juu basi nipo hapa kuelezea magumu ninayoyapitia kwa Sasa maishani mwangu na sioni dalili ya kutoka katika Hali hii niliyonayo Sasa zaidi naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.