Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ndugu zangu wana JF nafikiri wengi tulipata kusikia Msemo wa nyota njema huanza kuonekana mapema. Siku za nyuma kidogo nilileta uzi nilivyokutana na mwalimu wangu m- polish alikuwa akinifundisha...
15 Reactions
49 Replies
3K Views
Dar es Salaam, 29 Septemba 2024 – Tamasha la chakula la Coca-Cola Tanzania maarafu kama ‘Coca-Cola Food Fest’ limezidi kunoga huku muuzaji mmoja, maarufu "Baba Lishe," akiibuka kuwa kivutio cha...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Fahamu Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi ili kuepuka taarifa zako binafsi kuvuja 1. Ondoa laini ya Simu: Hakikisha umeondoa laini yako ya simu ili kulinda taarifa zako...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Anonymous (44a4)
Hapa Halmashauri ya Wilaya Karagwe, Mkoa wa Kagera kuna changamoto kubwa ya kukosekana kwa uadilifu na uwajibikaji unaofanywa hasa na Walimu Wakuu wa Shule pamoja na Ma-Afisa Elimu katika ngazi ya...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Sitaki hizi mashine za et 20k,25k,35k,sijui 50k hapana nimeona bora nichukue Mashine moja kali ambazo haipati moto kirahis. Nimeona fursa hapa mtaa ya saloon. Asanteni. Nielekeze kampuni bora ya...
2 Reactions
5 Replies
327 Views
Kuna ndugu mmoja yupo Marekani California amepark mzigo wenye device mbali mbali wenye thamani dola 26000. Kwa wazoefu naomba kujua namna ya kuupata huu mzigo Asante. Your package contains...
4 Reactions
80 Replies
1K Views
  • Closed
binafsi nimefanya tafiti katika makanisa na misikiti, haswa katika utoaji sadaka unakuta ukienda makanisani wakati wa sadaka,wanakuwa na bonge la kapu hilo kapu hela zitakozajaa mule haujahesabu...
2 Reactions
48 Replies
1K Views
Kwa waliowahi kuishi au wenyeji wa Mtwara ni maeneno gani ambayo ukienda unaona kweli hapa ni ushuani kuna mijengo mikali mikali au sehemu ambazo kuna vyumba vizuri vya kupanga? Maana daah kuna...
2 Reactions
14 Replies
771 Views
Nilichojifunza hapa kuna muda ni shida sana kumuelekeza mtu na ku control hasira. Waalimu wapewe maua yao.
0 Reactions
2 Replies
172 Views
Hawa wawili waligundua. Kuwa pamoja na kuwa Dini zao ni tofauti wanategemeana. Mmoja ana macho ya kuona kule waendako. Mwingine hajui ila aendako ila ana miguu ya kuweza mpeleka akioneshwa. So...
0 Reactions
7 Replies
266 Views
Habari zenu, Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia: "Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali...
31 Reactions
708 Replies
23K Views
Dodoma ni Jiji linalokuwa kwa kasi sana na ni Mji wa Kiserikali kama ilivyo kwa Lagos, Nigeria na Pretoria, Afrika Kusini. Kero mojawapo kubwa ambayo inakera kweli kweli ni kutopatikana kwa maji...
0 Reactions
14 Replies
702 Views
Mshana Jr Rakim msaada wenu hapo naomba kujua hayo mawe yanafanya vipi kazi katika ulimwengu ule usioonekana pia naomba kujua kuhusu mafuta ya essential kama lavenda au ylang-ylang
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Salaam wakuu. Kwenye mada moja kwa moja. Kwanini anga ni la BLUE kukiwa hakuna mawingu nyakati za Mchana na JEUSI nyakati usiku. Wanasayansi njooni. NB; Najua kuna wengine watasema ni...
1 Reactions
3 Replies
185 Views
Habari wadau na ma Hustlers wote , mwaka huu wa 2024 ndio upo ukingoni tumebakiwa na miezi michache tuufunge mwaka. Mwaka huu ulivyoanza watu walikuwa na slogan ya mwaka wa Ku force, swali la...
2 Reactions
22 Replies
505 Views
UNA MIAKA 30? HII INAKUHUSU Kwanza jua una miongo mitatu ( mafungu matatu ya miaka kumi kumi). MUONGO WA KWANZA ( 0-10) 1. Hapa ulikuwa mtoto 2. Mwanzo wa shule ( kwa walioenda shule) 3. Hapa...
4 Reactions
14 Replies
508 Views
Iran ni ndugu zetu na Wana ubalozi hapa Tanzania nasi tulio wengi ni Mashia kama wao Basi na tuwaombee wamsihi Ayatollah Ali Khamenei asiendelee kuwachokoza Wayahudi kwani ni hatari sana kwa...
7 Reactions
20 Replies
721 Views
Habari wakuu, Nina miaka kadhaa katika jiji hili la Dar es salaam, na wengine wote wanaoishi katika jiji hili ni mashahidi, Kila nyumba ina vifaa vingi vya kutunzia maji, iwe ndoo, jaba au tank...
2 Reactions
0 Replies
208 Views
Bajeti ya TARURA yafikia Trilioni 1.3 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Serikali imetoa fedha takribani Sh. Trilioni sita tangu...
0 Reactions
0 Replies
121 Views
Wakuu, Huduma za mtandao Vodacom zimerejea. ==== Huduma zote sasa zimerejea kama kawaida. Tunaomba radhi kwa usumbufu na tunatanguliza shukrani kwa uvumilivu wenu.
0 Reactions
10 Replies
636 Views
Back
Top Bottom