Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
10 things you don’t owe anyone an explanation for By Lachlan Brown Published September 11, 2024 Updated September 12, 2024 There’s a big difference between explaining yourself and being...
2 Reactions
1 Replies
426 Views
Salaam, Shalom!! Takwimu za sensa iliyofanyika mwaka 2022 inasema Tanzania yetu wanaume na wanawake idadi Yao ni sawa Kwa asilimia, ingawa katika namba, inaonyesha wanawake wamewazidi wanaume Kwa...
2 Reactions
6 Replies
609 Views
Ili utawale unahitaji vitu vitatu simple; PESA - Uwe na utajiri wa Dhahabu, au pesa ambayo utaweza nunua asset mbali mbali katika nchi hasa ardhi. JESHI - Jeshi litakuwezesha kulinda mipaka ya...
3 Reactions
7 Replies
243 Views
Eti nitume laki na 95 elf, dereva aanze safari kuuleta nilipo hahah..nikichelewa mzigo utawekwa store kwa kila siku 20k inaongezeka.. Namwambia namtumia ndugu yangu aje abebe eti hapana tuma ela...
1 Reactions
10 Replies
331 Views
Tangu saa 5 usiku mpaka sasa ni mvua! Taarifa toka tanga wa mwandishi wangu Ukipanda , jua hilo. Wataalamu wa kilimo mnasemaje/mnatushauri nini
3 Reactions
9 Replies
339 Views
Habari njema ni kwamba unao UHAI basi jipe shukrani na shukuru viumbe wengine. Nitajikita kwenye jambo moja tu ambalo binafsi naliona kama ni tatizo la msingi kabisa (Mashindano Katika mambo...
1 Reactions
1 Replies
156 Views
Habari wana jamii forum Nina kitu kinaniumiza sana kichwa kila mwaka. -Mimi ni kijana wa miaka 25 mwenye biashara ndogo ambayo inanisaidia kukidhi mahitaji yangu ya kila siku pamoja na mambo mbali...
6 Reactions
31 Replies
641 Views
Tafadhali anaejua bei za speaker za kuchonga saizi ya kati inauzwaje aniambie bei au kama anajua wapi naweza pata, Kuna posho ya maji ya kunywa Asanteni.
2 Reactions
12 Replies
352 Views
kwanza nianze kwa kuipongeza taasisi ya JamiiForums kwa kua moja ya njia ya utoaji na ufikishaji wa taarifa mbalimbali kwa jamii na taifa kwa ujumla. Lakini pia napenda kutoa shukrani zangu za...
8 Reactions
17 Replies
456 Views
Anonymous (a511)
Hizi leseni mbona zinatolewa kwa upendeleo na maombi yetu yanaambiwa hayasikilizwi kwa kuwa hakuna board, wote wamestaafu huku wachimbaji wengine wakipewa leseni Waziri Mavunde hebu tusaidie na...
0 Reactions
2 Replies
294 Views
WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amefanya ziara kukagua shughuli za uchimbaji madini na kusikiliza changamoto za wachimbaji wadogo katika eneo la Lemishuku,Wilayani Simanjiro eneo ambalo ni...
0 Reactions
1 Replies
230 Views
Wizara ya Madini kupitia Tume ya Madini kwa kushirikiana na Kampuni ya Kidee Mining Ltd wanaendelea kutoa elimu kwa wachimbaji wadogo na wa kati wa madini wanaotembelea Banda la Tume ya Madini...
1 Reactions
2 Replies
267 Views
Serikali kupitia Wizara ya Madini, Tume ya Madini imepata mwarobaini wa kupunguza majanga kwenye migodi kwa kuwaelimisha wachimbaji wadogo kutumia zege kwenye kingo za miamba badala ya magogo...
1 Reactions
7 Replies
367 Views
Kati ya migodi hiyo, migodi mikubwa ni nane, migodi ya kati 56 na migodi midogo 21,622. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Msafiri Mbibo akimwakilisha Waziri wa Madini...
1 Reactions
1 Replies
232 Views
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Kazi iendelee. Mama Samia, wakazi na wapiga kura wako wa Goba njia ya Tegeta A kwenda kutokea Madawa na njia Tegeta A kuelekea Kulangwa kupitia makanisa ya...
0 Reactions
58 Replies
4K Views
Ameripoti katika ukurasa wake fb " Habari njema kwangu na kwa Watanzania, Kitabu changu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi kimeingia rasmi kwenye maktaba ya dunia iitwayo Library of Congress...
19 Reactions
224 Replies
33K Views
Tusipozinduka sasa, tutakuja kuamka na kukuta majirani wako dunia nyingine, Pamoja na hali ya siasa za ndani Uganda kuwa ni za kidikteta, Lakini taifa hilo linazidi kupiga hatua kubwa, Kupitia...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Huku kwetu ikifika saa 12 jioni ni shida tupu, usifanye miamala mida hiyo utakoma!!!!!! TCRA mkoa wapi kuwatetea walaji? Pia soma: Vodacom yaomba radhi kutokana na changamoto ya mtandao...
2 Reactions
15 Replies
803 Views
  • Poll Poll
Wadau, sheria ya Tanzania hairuhusu uvutaji wa bhangi (sigara Kubwa) Lakini maduka mengi ya mtaani kuna bidhaa inaitwa Rizzla (zigi, paper, kamba) na majina mengineyo kama ambavyo wasela huita kwa...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
#HABARI Mkazi wa Kisiwa cha Maisome wilayani Sengerema mkoani Mwanza, Maisala Ramadhani (25) ameangua kilio mahakamani baada ya kuhukumiwa jela miaka 20 baada kukiri kosa la kukutwa na dawa za...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom