Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari wana JF Mimi ni jobless wa muda mrefu na nimeona nitafute njia za kupata mtaji nifanye project niliyonayo kichwani. Kuna mtandao unaitwa UFANDAO kwaajili ya ufadhili kutoka kwa watu...
1 Reactions
6 Replies
316 Views
Habari wana jf. Nimejiuliza labda nimechelewa kupata ufahamu wa hili jambo. Je, inawezekana kwa Mtanzania (Mtanganyika). Kuomba uraia wa Zanzibar na kuwa Mzanzibar katika taifa la Tanzania...
1 Reactions
2 Replies
239 Views
Kumeibuka kwa Wimbi la watu wenye kiburi cha uzima wanajiita "atheist" na kujizolea umaarufu! Ukweli ni kwamba kama hujui kuwa kuna Mungu na hujawahi kumuona maishani mwako wewe ni mpumbavu na...
7 Reactions
13 Replies
477 Views
Taarifa ya TRC imesema kwasasa treni ya mwendokasi inabeba wastani wa abiria 4000 kwa siku, hizi ni sawa na trip 70 za mabasi yenye uwezo wa kubeba abiria 57 kwa wakati mmoja. Kituo kinachofata...
23 Reactions
140 Replies
6K Views
Ujenzi wa kiwanda cha kuzalisha bangi katika Mji wa Musanze uliopo Kaskazini mwa Rwanda unatarajiwa kukamilika katika wiki ya kwanza ya mwezi Septemba, mwaka huu . Kituo hicho kinajengwa na...
12 Reactions
48 Replies
1K Views
Basi leo mchana saa nane nikasema niende nikapate msosi kwenye hoteli moja kubwa na mpya hapa jiji la masamaki. Naingia tu nakutana na wahudumu wanne wamekaa, mteja alikuwa mmoja. Mahojiano...
9 Reactions
26 Replies
785 Views
Kulikoni? Swala Solution, Barrick Gold Corporation na Rostam Aziz huko Kwenye Migodi Yetu? Kwa nini Kuna asili ya watu Fulani wenye asili Fulani ndo wanapewa Nguvu na Barrick Gold Kwenye...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Nchi za Kusini mwa Africa zimeendelea kukumbwa na Ukame mkali unaotishia kutokea Kwa janga kubwa la kibinadamu la njaa hususani kwenye Nchi maskini kama Lesotho na Malawi. Nchi zingine walau...
0 Reactions
1 Replies
244 Views
Kuna hela kidogo nimezipata mtandaoni Sasa Kuna hizi njia za ku withdraw kama Kuna anayejua inayosupport apa bongo anipe details 👇
3 Reactions
25 Replies
714 Views
Mkurugenzi wa TRC Kadogosa amesema nauli ya Treni ya Mchongoko( Mjusi) itakuwa Kati ya tsh 100,000 - 120,000 Source: Swahili Times Mlale Unono 😃😃 ========= Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli...
20 Reactions
212 Replies
16K Views
Naandika haya Ili kuonesha utofauti uliopo baina ya mwenzetu na Tanzania. Maana nakumbuka mtu aliibuka from no where na kutamka ooh kuanzia Leo Dodoma ni Jiji. Akaja tena Ili kufurahisha...
1 Reactions
3 Replies
415 Views
uwajibikaji ni kitendo cha kutekeleza sera,sheria na utaratibu kwa uadilifu na uwazi,kuna faida kadhaa za kuwepo uwajibikaji naelezea kama zifuatavyo kujenga misingi imara ya...
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu. Miongoni mwa...
87 Reactions
270 Replies
13K Views
Serikali imesema Rasimu ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 na mabadiliko ya Mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari na Ualimu itakapopitishwa itakutana na Wadau wote wa...
0 Reactions
1 Replies
892 Views
Naunga mkono findings za Huu utafiti. -Mtanzania anatumia Miaka 18 kukamilisha ujenzi wa nyumba yake ya kuishi. -Asilimia 70% ya Watanzania wote wanaishi kwenye nyumba za kupanga -Vipato vya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Ayoub Mohammed Mahamoud amekasirishwa na kukemea tabia zilizokithiri kwenye fukwe za Bahari za Zanzibar kwa baadhi ya Ma- Beach Boys kuwalaghai Wake wa Watalii...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
My Take Kwa Vigezo hivyo vya Kenya basi Tanzania tungekuwa na Majiji mengi zaidi. Yaani Morogoro,Kahama,Tabora na Geita ingekuwa ni Jiji ...
1 Reactions
14 Replies
453 Views
Dar es Salaam. Hakuna ajuaye siku wala saa. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya meneja mawasiliano wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS), Glory Mziray kufariki dunia leo mchana Jumanne Februari 19...
2 Reactions
41 Replies
22K Views
Its all about the grants, misaada na finances kutoka wa wafadhili and other fees kutoka kwa ndugu wa muathirika ndio hamasa ya hawa jamaa. Hizi nyumba zimeishia tu kuwa sehemu ya kutunza watu...
3 Reactions
4 Replies
927 Views
Ukistaajabu ya Musa, Katika hali ya kushangaza sana kuna kituo kipya cha mafuta kinajengwa kando ya barabara maeneo ya Stop over Kimara. Hii imekuja baada ya vituo vingine vyote kufungwa kwa...
15 Reactions
104 Replies
11K Views
Back
Top Bottom