Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
I)Mzazi anazaa ili aje kusaidiwa uzeeni na mtoto ii)"Amejiteka mwenyewe". iii)ujanja ni kuwa na simu ya gharama Kama Iphone. Ongezea
12 Reactions
126 Replies
2K Views
Wadau, mambo vipi je ni kwema, Natumaini nyote wazima, natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu, Mimi kijana wenu/mdogowenu/ naomba mnisaidie angalau Nyumba ya kuangalizia wakati mmiliki...
0 Reactions
1 Replies
234 Views
NAHII SIO KWENYE NDOA TU HATA WEWE UNAETESEKA NA MAGONJWA MAISHA MAGUMU NENDA KAANGALIE CHUNGUZA WAZAZI WAKO BABU ZAKO WALIISHI MAISHA GANI WAPI WALIWAHI KUKOSEA TUBU KWA AJILI YAOOOO KUNA...
2 Reactions
3 Replies
348 Views
Shirika la Mafuta la Uganda (UNOC) limetangaza kuanza kutumia Bandari ya Dar es Salaam katika kupakia bidhaa hiyo kwa ajili ya kupeleka nchini kwao. Awali UNOC ilikuwa ikitumia bandari ya Mombasa...
2 Reactions
9 Replies
610 Views
Majuzi mdada aliequest bajaji, bajaji kafika Mlimani City wakamwambia bajaji tuingize ndani bajaji akakataa wakamwambia tutalipia getini. Bajaji akakataa akageuza bajaji, mdada anavyoelezea...
13 Reactions
184 Replies
6K Views
Sasa siwezi hata ongea nikisema neno nalia.
34 Reactions
373 Replies
12K Views
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba ametembelea ofisi za Mwananchi Communications Limited (MCL) zilizopo Relini Jijini Dar es Salaam, leo Agosti 16...
1 Reactions
3 Replies
225 Views
Kama unajijua kuwa huwa unapandwa na pressure unapoona Sandakalawe basi huu uzi unakuhusu kwa asilimia 100. FACT - Ewe Matonya! Usipende vya bure tambua kuwa wenzako hizo vocha wamezitafuta kwa...
1 Reactions
6 Replies
226 Views
Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini 📍 Matema beach, Kyela, Mbeya, Tanzania 🇹🇿 Kusini International Trade Fair & Festival 2024 Ni maonyesho ya kimataifa yaliyoundwa ili kukuza...
2 Reactions
3 Replies
330 Views
Sababu ni ini hasa? Ambapo ulipuuzwa awali kwa kutoonekana umuhimu wala mchango wake, kwa mkoloni, na tawala za Uhuru wa Bendera zilizofuata baada yake, Nyerere aliua uchifu wa makabila yote...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Hoja. Hiyo sio hoja ya msingi bwana RC yaani huyo Mke wa mtalii ni mpumbavu kiasi gani Hadi aone beach Boys ni WA Maana kuliko mumewe? Mambo Private Serikali haitakiwi kuingilia ,yaachwe kama...
0 Reactions
9 Replies
544 Views
USIRUHUSU mtu yeyote ambaye hajawahi kuvivaa viatu vyako akufundishe namna ya kufunga kamba! 👟 #NEVER
4 Reactions
5 Replies
266 Views
Nyakati zimebadilika sana, wanawake single mothers , talaka kwa Wakristo na ndoa kwa watu wa makabila tofauti sio mwiko(taboo) tena, katika mazingira haya je kuna haja ya kuwasikiliza na kuwatilia...
5 Reactions
21 Replies
548 Views
Katika shule za secondary nilizosoma nyama na wali vilikuwa vyakula adimu sana hivyo siku vikipikwa ilikuwa ni harakati kubwa mithili ya "survival for the fittest". Nyama ilikuwa inapikwa mara...
1 Reactions
3 Replies
275 Views
Sijawahi kuona mantiki ya hizi harakati za kinachoitwa rushwa ya ngono, huu ni kama ubabaishaji, ujanja wa kujipatia kipato kwa harakati uchwara na kuipoteza muda tu jamii.
1 Reactions
1 Replies
194 Views
Hii nchi hatuwezi ku focus kwenye masuala ya msingi kabisa. Tunayumbishwa na vitu vya hovyo sana ndio maana tunatakiwa kuitwa 'Gen Hovyo' Watu wanapotea bila taarifa, wanatekwa hovyo hovyo...
48 Reactions
167 Replies
3K Views
Foleni ya Mbagala Rangi 3 ni kero kubwa sana kwa watumiaji wa barabara ya Kilwa Road. Sababu za kuleta foleni zinajulikana kuwa ni daladala. Tafadhali uongozi wa Mkoa tafuteni suluhisho la tatizo...
1 Reactions
4 Replies
442 Views
VERSION 1 Nikiangalia maamuzi ya viongozi wetu yanavyotughalimu, yanavyoighalimu nchi; matumizi mabaya ya hela za walipa kodi ambazo zingepelekwa kenye kuboresha maisha yao, mikataba mibaya...
6 Reactions
12 Replies
438 Views
TANZANIA IPO TAYARI KUTUMIA FURSA YA SOKO LA PAMOJA KUUZIANA UMEME - DKT. BITEKO 📌Ni kufuatia uwepo wa fursa hiyo kwa nchi 13 wanachama wa EAPP 📌Mawaziri waridhia uwepo wa kitengo huru cha...
0 Reactions
1 Replies
217 Views
Habarini wadau. Katika jambo ambalo huwa naliona ni changamoto kwangu ni kutumia Ving'amuzi vya startimes, Azam, ting, sijui na vinginevyo ambavyo sijui majina yake vema. Hivi vingamuzi vinanipa...
16 Reactions
46 Replies
9K Views
Back
Top Bottom