Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
KAA TAYARI: Ni zoezi la Maboresho ya Mfumo wa LUKU kwa wateja wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Sasa ni zamu yenu, tunawafikia hivi karibuni..! USIBAKI...
1 Reactions
3 Replies
458 Views
Aghalabu kwa watu ambao wamebahatika kupata taaluma fulani chuoni, darasani au mtaani, huwa wanapendelea kufanyia kazi na kufanikiwa kupitia taaluma hizo walizopata. Hii huwapa watu hao amani ya...
5 Reactions
7 Replies
472 Views
Maisha hayako sawa hilo lazima tukubali na usipolikubali basi utashindwa kupambana kulingana na mwanzo wako ulivyo , Kwa mfano kuna kuna ambao wanarithishwa mali waendeleze na kuna wanaorithishwa...
6 Reactions
13 Replies
433 Views
Juzi usiku ulifanyika uteuzi wa viongozi mbalimbali wa taasisi na tawala zingine. Upande wa shirika la mawasiliano TTCL ameteuliwa bwana MOREMO CHACHA kutoka shirika la uzalishaji mali. Je, huyu...
0 Reactions
8 Replies
530 Views
Mtoto wa miaka 4 avunja kioo cha Shabiby kwa manati Basi la Shabiby Line lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Dodoma lilichelewa kwa takriban saa moja na nusu Agosti 14, 2024, baada ya mtoto wa...
24 Reactions
156 Replies
5K Views
DART wajiulize kwa ninini abiria Wako tayari kutumia daladala za kawaida wakati bus zao zinapita pale. Mfano 1. Kwa nini kuna Bajaji toka Manzeshe kwenda Mbezi? 2. Kwa nini abiria shekilango...
5 Reactions
15 Replies
466 Views
Huu ugonjwa wa home ya nyani ni kama vile unakuja na vibe la Corona, taarifa za kusambaa wagonjwa zinaongezeka kidogo kidogo kila siku, mamlaka zote duniani inabidi zichukue hatua za haraka na kwa...
1 Reactions
3 Replies
348 Views
Leo nimekumbuka kipindi nipo mdogo nilikua na ndoto ya kuja kua Miss Tanzania. Akili yangu yote ilikua inajua Miss Tanzania ni kazi kama daktari, mwanasheria, mwalimu au kazi zingine...
15 Reactions
192 Replies
6K Views
Leo Mjanja M1 nimechukizwa sana, tena sana. Hivi nyie wasimamizi vya vyombo vya habari kazi yenu kubwa ni nini? Mnaacha watu wanalishwa matango pori na watu wenye media kubwa na hamchukui hatua...
3 Reactions
9 Replies
375 Views
Imagine in late 90s au early 2000s unamwambia mama yako kuwa unataka kuwa msanii wa muziki au filamu. Ungekaliwa kikao cha ukoo mzima. Ila siku hizi unaruhusiwa kama kawaida na vijana...
7 Reactions
56 Replies
851 Views
Tendo la Kutoa sadaka limefungamanishwa katika Kila selihai ya mwanadamu bila kujali anamuamini au haamini Mungu. Watu wote hutoa sadaka. Tofauti ni mahali wanapotoa na Nia nyuma ya utoaji huo...
3 Reactions
26 Replies
765 Views
Habari n-propanol , tafadhali ingia dm Yako. Nina ujumbe wako, kutoka Kwa Aristotle.
1 Reactions
7 Replies
257 Views
Vijana waendesha boda boda na bajaj wana matatizo gani hawa watoto? Matukio wanayo fanya na kuwatukia barabarani ni ya kusikitisha sana. Hawa watoto wanafanya michezo ya hatari barabarani na...
9 Reactions
45 Replies
2K Views
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amewataka wafanyakazi wa wizara hiyo kuhakikisha huduma za kibingwa za matibabu ya magonjwa mbalimbali zinawafikia wananchi wa hali ya chini bila ya kuwa na vikwazo...
0 Reactions
6 Replies
504 Views
Kabla ya mapendekezo haya sheria ilikuwa inasema atakayekutwa na hatia ya kuomba rushwa ya ngono atakuwa ametenda kosa ambapo adhabu yake ni faini isiyopungua milioni 2 na isiyozidi milioni 10...
1 Reactions
1 Replies
354 Views
Kila nikikuangalia ulivyo, nilivyokuzoea, taaluma yako na mienendo yako ( hasa katika Utendaji wako Serikakini ) sioni kabisa Competency yako katika hiyo Docket uliyoko sasa na najua hata uombe...
10 Reactions
50 Replies
3K Views
Nyumba zaidi ya 500 zinadaiwa kubomolewa kwenye Kijiji cha Tondoroni Kata ya Kiluvya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani na maafisa wa Jeshi la Wananchi kufuatia uwepo wa mgogoro wa aridhi baina ya...
0 Reactions
6 Replies
583 Views
Madereva wa Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara hii ya usafiri na endapo kampuni hizi hazitachukua hatua basi zitakufa hivi karibuni -Madereva hawa huwa wanachelewa sana kumfwata mteja...
19 Reactions
59 Replies
5K Views
Asubuhi mpya ni nafasi mpya ya kuandika ukurasa mwingine wa maisha yako. Jipe moyo, ongeza bidii, na uamini uwezo wako. Hakuna kinachoweza kusimama mbele yako ikiwa una nia thabiti na moyo wa...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Nimuda sasa umepita na niwakati wa kuamua na kuifata ndoto yangu ya kuikomboa tanzania kutoka kwenye matatizo zungu nzima Sasa nimeamua rasmi nitatafuta kadi ya CHADEMA na kuanza kupaza sauti si...
12 Reactions
33 Replies
528 Views
Back
Top Bottom