Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Niende kwenye Hoja, 1) Nina laini ya simu niliyosajilia Sim Banking, kwanini nikiweka hela kwenda Benki nakatwa, nikirudisha kwenye laini ileile toka Bank, nakatwa Tena! Kwanini mfumo...
6 Reactions
11 Replies
435 Views
Mkuu Wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi ametoa saa 48 kwa watu wote walioshiriki kumuuzia kiwanja mwanamuziki wa Bongo Fleva, Joseph Francis (Mandojo) kujisalimisha kwake. Pia amelitaka Jeshi la...
0 Reactions
50 Replies
11K Views
Nchi hii kuna mambo ambayo bila kuongelewa na wanasiassa au watu maarufu, mambo hayo huendelea kufanyika hata kama yako kinyume cha sheria na yanaumiza wananchi. Mojawapo na hili la mikopo ya...
4 Reactions
64 Replies
3K Views
Salaam wakuu; Kwa siku za karibuni naona kipindi cha KASRI cha salim kikeke ndio imekuwa Drive show nzuri zaidi, ukizingatia maudhui yake na watu anao wahoji. Jamaa naona ana bonge moja la idea...
4 Reactions
7 Replies
639 Views
Wanajamvi mm si mwenyeji sana humu japo huwa nasoma sana humu jamvini na kujifunza kutokana na mijadala mbalimbali inayotolewa humu ndani, Leo nimejitokeza kwenu kutaka msaada wa kimawazo Kuna...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Muammar Gaddafi hakuuwawa eti sababu ya utajiri wake. Kilichomuua Gaddafi ni dini. Ukweli ni kwamba nyuma ya misaada mingi aliokuwa anaitowa Gaddafi kulikuwa na agenda ya siri ya kueneza dini ya...
8 Reactions
45 Replies
1K Views
Katika karne hii ya 21, bado watu wa Dar wanapambana na changamoto za maji, wakihifadhi madumu na mandoo katika hofu ya kukatika kwa huduma hiyo muhimu. Hali hii inatia huzuni, kwani hata mvua...
5 Reactions
8 Replies
410 Views
Guys, mimi ni mwandishi wa Novel (riwaya), nataka kuwekeza kwenye Amazon Kdp. Lakini naona ni kama changamoto kwangu kama beginner. Maana hapa ntatakiwa kulipa some amount for ads, pia kupata...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Mmomonyoko wa maadili tunaoushuhudia hivi sasa katika jamii na taifa kwa ujumla ni matokeo ya kukiuka asili yetu kama "WANA WA TANZANIA NA WAAFRIKA". Mfano, kwa wale wazaliwa wa miaka ya nyuma...
1 Reactions
0 Replies
258 Views
Kwamba Mwanaume hupaswi Kuchelewa kuwa na Mtoto na kwamba unatakiwa kuwa na Mtoto kuanzia Umri wa Ujana na kwamba ukiwa na Miaka kuanzia 45 kwenda mbele hadi 50 au 55 hapo ukipata Mtoto wako wa...
7 Reactions
12 Replies
577 Views
Salaam, Shalom!! Usishangazwe na salamu, Kuna Wana wa Mungu wamenitoroka, nawatafuta niwarudishe nyumbani. Turudi kwenye mada. Katika kuishi kwangu nimewahi kuona aina mbalimbali za walevi, Kwa...
4 Reactions
44 Replies
1K Views
Mwaka jana rafiki yangu akiwa amepakiza familia yake kwenye gari binafsi alipata ajali ba kufariki hapohapo. Kwa ufupi ni kwamba kuna lori lilifeli break likawa linakuja kasi upande wake yeye...
32 Reactions
122 Replies
5K Views
Hii pesa sasaivi mtu yupo tayari akupe hata milioni ili umpatie hii pesa. Ina kitu gani cha ziada wenye kuelewa nasi watujuze.
4 Reactions
40 Replies
14K Views
Kuna mambo ambayo yapo nje ya uwezo wetu na Katu hatuwezi kuyabadilisha hata kidogo, huenda yanatukosesha Raha au kutufanya tusijiamini mbele za watu. Fuatana nami ule Asali! Kuna msemo unasema...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi sumu ya panya inaweza muua kenge, nimepaka sumu vipande vitatu vya nyama halafu ni kamuwekea pale anapo pitaga nje ya shimo lake na inavoonekana kala sasa sijui kama atakufa au la vipi sumu...
2 Reactions
20 Replies
941 Views
Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro leo Agosti 13, 2024 umempokea Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhandisi Hamad Masauni ambaye alitembelea Ubalozini na...
1 Reactions
3 Replies
304 Views
Salaam WanaJF! Binafsi ni msomaji sana wa Vitabu. Kupitia vitabu nimejifunza mengi, nimesafiri kwenda kwingi na nimekutana na wengi. Katika Usomaji wa vitabu, kila mtu anavyo vitabu ambavyo kwake...
38 Reactions
182 Replies
29K Views
Kama angewahishwa kaburini angeshasahaulika. Lakini wakati ndugu zake walipokuwa wakiendelea kuomboleza, huku mipango ya mazishi ikiendelea, aliamka akiwa mochwari na kuanza kuita kwa lengo la...
2 Reactions
11 Replies
616 Views
Waungwana naomba kujuzwa kama hapa Tanzania kuna Ubalozi wa Israel Ni hilo tu
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Hivi mliwahi kufanya tukio gani shuleni mpaka mwalimu/waalimu wakabaki wanashangaa na kusema iv kumbe na wewe umo? na tokea hapo wakaanza kukuchulia walewale tu? Mimi nakumbuka tulikuwa kidato...
0 Reactions
8 Replies
580 Views
Back
Top Bottom