Mwizi, Mwizi, Mwizi... Kusikia hii Yowe kwa watanzania wengi ni kibali cha kuanza kumfukuzia mlengwa na kujichukulia sheria kwa kumshushia kumpiga, kumponda mawe na hata kumchoma bila kumpa nafasi...
Hata hivyo haijajulikana mara moja kama alimaanisha au alitaka kusema Tumaini lipo ndani ya CCM. bado hakuweza kupataikana kutoa ufafanuzi juu ya kauli yake hiyo
Alikuwa akiongea katika mkutano...
unaweza kuchukulia poa ila ukweli ni kwamba bwana na mke wake wanaweza panga njama za kula pesa zako.
Hizi ishu zimeishafanyika sana sema tu huwa ni chini chini mtaani.
Bwana anajua unatembea na...
Nawasalimu kwa Jina la Muungano wa Tanzania!
Samahani, naomba kuwasilisha MAONI kutokana na kuwepo kwa changamoto ya kimtandao kuanzia tarehe 11.05.2024 hadi hivi sasa. Hali ambayo inazua...
Hongereni kwa shughuli za ujenzi wa Taifa!
Awali ya yote nataka kuangazia maada tajwa ,"cashless economy" inahusu matumizi ya teknolojia na mifumo ya kidijitali na kurahisisha shughuli za kifedha...
Unakutana na mtu anakuwa na hamasa ya kujua Uko wapi siku hizi.
Unapouliza hili swali lengo huwa UNATAKA kujua nini na ili iweje?
Unapojobu swali hili huwa unazingatia nini?
Wakuu habari,
Nawakumbusha Kwa wale wanao tumia mkono wa kushoto kuwa Leo ni siku yetu 13.Aug . 2024 (Left handers day)
Naomba tujuane left-handers, alafu tupe experience kuhusu mkono wako wa...
Hongera bwana Tony Chaula muunda magari.
Kutana na Eston Chaula, maarufu kama Tony, kijana aliyeishia darasa la saba lakini anauwezo wa kufikiri muundo wa gari analolitaka na kuliunda kwa...
Ni Jumanne saa 4 asubuhi unahitaji kusafiri siku inayofuata ya Jumatano August 14,2024, ķutoka Mwanza kwenda Kigoma! Unaingia katika mtandao kutafuta usafiri.
Jina la kampuni maarufu inayofanya...
Hivi ni kwanini siku hizi watu wengi hawapendi mafanikio ya MTU?
Hivi jirani au ndugu na rafiki wanachukiaje mafanikio yako na wakati mtoa riziki ni Mungu.
Hizi tabia zimekidhili sana katika...
Pombe na sigara ni kati ya bidhaa zinazoingizia nchi hela nyingi kwa njia ya kodi. Ingawa ni bidhaa iileteayo Serikali ukwasi mkubwa, ina madharabhasi kwa baadhi ya watu hasa masikini.
Ilishawahi...
Hivi ile falsafa ya no fear no hate ilikuaga ni scam ee? Iliishiaga wapi kwanza..
Au ilibadilika ikawa ni hate kwendra mbele?
Na mbona viongozi na wanachama ni waoga mno saivi, hadi wanaogopana...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua kituo cha kupokea na kupoza umeme katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) chenye uwezo wa megawati 34 ambacho sasa...
Kipindi cha Kamanda Tossi Lucas alikuwa bado yuko shule ya vidudu
Yule Mwamba aliwadhibiti Wapinzani kisawasawa na Amani ikadumu sijajua yuko wapi zama hizi!
Kamanda Tossi 😃
Kama taifa tumetoka mbali aiseee na bado tuna safari ndefu sana
Yaani kutoka Mchele Kitumbo kutoka Japan ambao Wananchi walidai ni wa plastic hauna Lishe hadi mchele wa Wamarekani wenye Lishe...
Wadau zaidi ya 1000 kutokea mataifa takribani 40 hususani ya Afrika wanatarajiwa kukutanishwa Zanzibar na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), April 2025 katika mkutano wa tatu ambao utalenga...
Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Kampuni mbalimbali za uchimbaji na uchakataji madini inatarajia kuanzisha miradi mikubwa ya kimkakati itakayohusisha mnyororo mzima katika Sekta ya Madini...
Ninapozungumzia uwezo ni ule wa kufanya kazi kwa ubunifu na kipekee ukilinganisha na watu wengine.
Iwe ofisini, au Nyumbani kuna watu hawaamini kuwa mtu fulani anaweza kufanya kitu fulani na hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.