Wanaukumbi.
Hamas ilitoa video ya wanajeshi wa kike wa Israel waliokamatwa kwenye uwanja wa mapambano Gaza.
Walisimamia machapisho ya uchunguzi ambapo waliendesha bunduki za mashine...
Baada Marekani baada ya kuona Israeli anafaidi kula kichapo toka kwa Hamas sasa na yeye kajiingiza mzima mzima huko Yemen na ameshaanza kulia lia kabla hata hajaanza kushulikiwa na Wapiganaji wa...
1. Mambo yenda yakiongezwa, si white house, mabakabaka, tiss ya huko, nk wataonyesha hadharani kutoridhika kwao na mambo yalivyo.
2. Hii sasa ni serikalini, kwamba mambo lukumba lukumba!
3...
Katika hali ambayo hakuitegemea, bwana Joe Biden kajikuta akibananishwa na wapenda haki kanisani:
https://www.bbc.com/news/av/world-us-canada-67886694
Kwamba kalazimika kukiri kuwa hata yeye...
1. Nani anataka vita mashariki ya kati?
2. Kwa hakika si Houthi, Marekani, wala washirika wake; achilia mbali makapuku wengine sisi "Chole Samvula" huku.
3. Nani asiyezijua athari za vita...
Ikiwa mawakili wanaoitetea Israel wataiuliza Africa Kusini tu kama watatekeleza waranti ya ICC ya kukamatwa kwa Putin endapo atatembelea nchi yao wanaweza kuuharibu kabisa kesi hiyo kwani Africa...
Kibri cha Marekani na Uiengereza kuyaona mataifa mengine duniani hasa mashariki ya kati yanakaliwa na watu wajinga kinazidi kupata vikwazo katika awamu hizi.
Juhudi za kuwashawishi viongozi wa...
In this article, we take a look at cities with the highest female to male ratio in the world. You can skip our detailed analysis on migration, economy and gender ratio and go directly to the 5...
Habari wanajamvi.
Kama kichwa Cha habari kinavyotanabaisha. Nikiwa Kama mtanzania mpenda haki na ambaye nachukia ubaguzi wa rangi na mauaji ya watu wengine Tena wasiokuwa na hatia, ninafikiria...
1. Kimeumana mahakamani "koleo" laitwa kwa jina lake:
2. Kuna wale wenye mahaba uchwara ya dini.
3. Kwamba hawawezi kujiuliza katika nchi zote, kwanini HAMAS wana taabu na Israel si Kenya...
Wanaukumbi.
Kundi la wanaume wa jamii ya Wayahudi wa Hasidi huko New York walikamatwa Jumatatu huku kukiwa na mzozo juu ya handaki haramu lililochimbwa kwa siri kando ya sinagogi la kihistoria...
Mwanadamu hajawahi taka kutumia akili ndiyo maana ya matatizo yanayoikumba Dunia .
Vita Kati ya Israel na hamas (Palestina) ni Moja wapo ya matatizo ya kutotaka kutumia akili.nitatoa sababu za...
Serikali ya Nigeria imeharibu Tani 2.5 za Meno ya Tembo zenye thamani ya zaidi ya Dola Milioni 11.2 (Tsh. Bilioni 28) ikiwa ni sehemu ya harakati za kulinda idadi ya Tembo inayopungua dhidi ya...
Mzuka Wanajamvi.
Wasomali Mogadishu waogopa kuandamana mitaani kuiunga mkono Hamas na Palestina na kuwalaani wateule na taifa teule la Israel.
Hofu hiyo ya maandamano ni kuogopa kulipuliwa na...
Hivi karibuni Ethiopia imeanza kufanya hujuma Kwa Somalia Kwa kuingia makubaliano haramu ya kuimega Somalia ilimradi wapate Bandari.
Suala la Bandari ni kisingizio tuu ila lengo kubwa ni kuizuia...
Naipongeza sana uk,na usa ,kwa uamuzi sahihi wa kuidhibu Yemen kwa sababu ya upuuzi wanaoufanya red sea ! Yemen inaweza kuwa imejificha nyuma ya hili kundi la houth! Yemen ndio imetoa baraka zote...
Cardinal Fridolin Ambongo, president of the Symposium of Episcopal Conferences of Africa and Madagascar (SECAM), receiving some advice from his boss, Pope Francis
1. Abstract
On 18 December...
ivi kwa yaliyotokea IRAQ,AFGHANISTAN,SYRIA NA LIBYA kwa taifa la marekani kuuwa maelfu ya watu nakinachoendelea GAZA kwa ISRAEL kuua maelfu ya watu, watoto wafanyakazi wa Umoja wa Kimataifa na...
iran imeendelea kurekeleza sera ya jino kwa jino dhidi ya Marekani kwa kuiteka meli iitwayo St Nicholas wakati ikiwa na shehena ya mafuta iliyopakia kwenye bandari ya Iraq kuelekea Ururuki.
Meli...
Asilimia kubwa ya wananchi wa South Africa wanapinga kitendo cha serikali kujihusisha na migogoro ya israeli na Palestine
Viongozi mbalimbali wa kiraia,kidini wameilamu serikali kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.