International Forum

News and Stories from rest of the World
Raia wa Iran hawaruhusiwi kwenda kuhiji Saudi, hawatapata fursa ya kwenda kupiga shetani mawe...... Flights to Saudi for Iranian pilgrims traveling to Umrah have been canceled amid ‘technical...
4 Reactions
130 Replies
10K Views
Katika majibizano makali mnamo Machi 23, 2023, Congressman Matt Gaetz alimuhoji kiundani Kamanda wa Kamandi ya U.S. Afrika, Jenerali Michael Langley kuhusu Dola za Walipa Kodi wa Marekani...
1 Reactions
0 Replies
406 Views
Baada ya South Africa kujenga Hoja zao kwa umahiri mkubwa sana Jaji amesema Kesho 12/1/2024 ni zamu ya kusikiliza upande wa Israel ukijitetea Yaani Taifa Takatifu Katika Utetezi Tuwaombee!
10 Reactions
237 Replies
25K Views
10 Januari 2024 Na Charlie Northcott, Helen Spooner & Tamasin Ford BBC Africa Eye BBC inafichua jinsi kiongozi wa kanisa kuu marehemu TB Joshua, ambaye anatuhumiwa kwa uhalifu wa kingono kwa...
3 Reactions
34 Replies
7K Views
Kumekucha. Kuna habari nimeipata kutoka chanzo nyeti kuwa Congo DRC na Burundi zinajipanga kuishambulia Rwanda. Haijabainika tarehe halisi ya mashambulizi na uvamizi ila chanzo hicho kimedai ni...
18 Reactions
152 Replies
12K Views
Kundi la Al-Shabab limeikamata Helikopta ya Umoja wa Mataifa (UN) ikiwa na Watu Wanane wakati ilipotua kwa dharura katika eneo linaloshikiliwa na kundi hilo katikati mwa Somalia. Kituo cha Habari...
3 Reactions
63 Replies
4K Views
Wanaume waliojifunika sura zao wamevamua Studio ya TV (TC Television) ya Umma katika Mji wa Guayaquil wakiwa na silaha za moto na marungu wakati wa matangazo yakiwa mubashara kisha kuwateka...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Meli inayoitwa Mt/Stindra inaendelea kuwaka moto na karibu ya kuzama baada ya makombora ya Houth kuishambulia katikati ya meli kadhaa za kivita za Marekani na Ufaransa. Kwa mujibu wa wasemaji wa...
12 Reactions
52 Replies
4K Views
Wanaukumbi. https://x.com/qudsnen/status/1745379031334437068?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw 🇿🇦🇮🇱 KESI YA ICJ - NCHI ZINAZOUNGA MKONO KUWAFIKISHA ISRAEL Leo, Afrika Kusini inawasilisha madai ya...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Kiongozi mkuu wa Houthi amesema kila shambulio litakalofanywa na Marekani na Washirika wake litajibiwa kwa Uzito Uliopitiliza Mkuu huyo wa Houthi amesema kuanzia sasa hawatakuwa na Uvumilivu...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Taarifa hii nimeipata 6 Days ago Mashahidi wanarudishwa katika makaburi yao baada ya kufukuliwa na Mazayuni na kuiba viungo vyao. Huu ni unyama na ukatili wa hali ya juu kwa Wapalestina. Nsoji...
1 Reactions
0 Replies
309 Views
Wanamgambo wa Houthi wa Yemen ambao wamekuwa wakishambulia meli katika bahari nyekundu wamezidi kuliweka taifa lenye idadi kubwa zaidi ya Waarabu duniani la Misri katika ukata wa mkubwa kifedha...
9 Reactions
47 Replies
2K Views
Habari wakuu. Kulingana na ukweli kuwa Demokrasia ya Marekani ni tofauti sana na yetu ambapo matokeo ya Urais yanaamuliwa na Electoral college votes, kwenye majimbo 50 kila jimbo linakuwa na...
6 Reactions
157 Replies
17K Views
Katika Jiji la New York na jiji la Washington, makumi ya watu waandamana kupinga mashambulizi yanayofanyika huko Yemen. Marekani na Uingereza wamefanya mashambulizi makubwa katika kambi za...
1 Reactions
12 Replies
768 Views
Tunisia ni nchi iliyoendelea zaidi Afrika in terms of economic competivenes, na kama hilo halitoshi Tunisia ni majority waislamu hivyo unaweza hata kuuita an islamic republic kama uwingi wa...
26 Reactions
167 Replies
7K Views
1. Ama kweli za mwizi zinahesabika na jana ilikuwa ya 39. 2. Kimeumana mahakamani; kwamba aliyoyanena msauzi Jana, ati kuwa ndiyo haswa ushahidi wake? 3. Ati kuwa yeye ndiye amekuwa akitaka...
2 Reactions
14 Replies
746 Views
Janjaweed ni kundi la wanamgambo Waarabu lililoundwa kwa msaada wa serikali ya Sudan ya wakati huo ya Omar Al-Bashir kupambana na uasi wa kujitenga wa Darfur, inayokaliwa na watu weusi. Janjaweed...
15 Reactions
58 Replies
2K Views
Hakuna kama Yehova, 1. Nimefanya utafiti wa kina na nimebaini BBC sio chombo Cha habari tena Cha kuaminika duniani, 2. Katika utafiti wangu pia nimegundua BBC ni chombo Cha habari...
27 Reactions
149 Replies
25K Views
Huku kesi dhidi ya Israel iliyofunguliwa ICJ na Afrika kusini ikinguruma kule Gaza ya kaskazini wananchi wameanza kurudi majumbani mwao kutoka kila upande walikokimbilia Hayo yanatokea wakati...
3 Reactions
42 Replies
20K Views
Back
Top Bottom