International Forum

News and Stories from rest of the World
Nchi changa ya Sudan Kusini imelalamika kwamba Egypt inailetea Chokochoko na Figisu ili ikwame kuanza Ujenzi wa Mabwawa kadhaa ya Kuzalisha umeme mgwt 2,000 hususani bwawa la Wau ambalo...
1 Reactions
4 Replies
914 Views
Jana Netanyahu aliongea na Putin kuhusu hali ya Gaza na akawa mkali kwa Putin kwa namna anavyotetereka kwenye hili suala. Leo naibu waziri wa masuala ya kigeni wa Urusi ameongea na wakuu wa HAMAS...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Gaza inaendelea kusambaratishwa huku HAMAS wakiliwa, kuna huyu Mohammed Abu Shamala kawahishwa kule kwa mabikira..... The Israeli military has reported that it has attacked several operative...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Now, this is an old article but I've had it on my computer since it was first published. I just wanted to share it with you all, especially as Obama is prepared to make a decision on Afghanistan...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Marekani imesema mpka kufikia mwishoni mwa mwaka 2023 haitakuwa na fedha tena za kuisaidia Ukraine. Hata misaada ya silaha nayo itasitishwa. Chanzo: Swahili times
11 Reactions
80 Replies
4K Views
Uchokozi wa HAMAS kwa Wayahudi ulikua na ulazima wowote? Hivi vifo vingeepukika, na bado wanaendelea kufa... The Palestinian death toll from the ongoing Israeli attacks on the Gaza Strip has...
1 Reactions
31 Replies
1K Views
Maandamano ya kuunga mkono Palestine yametapakaa Iran, Iraq, Yemen nk Blinken wa US yuko Doha Qatar katika kutafuta usuluhishi Uturuki yuko Israel akijaribu kusuluhisha Hata Hapa Tanzania...
13 Reactions
134 Replies
7K Views
Habari ndio hiyo jamani mjadala wa Ukraine na urusi naomba ufungwe hali halisi ndio hiyo. Ukraine ameshindwa vita kinachoendelea ni kupoteza wanajeshi waliobakia na fedha.
19 Reactions
112 Replies
5K Views
Brigedia ya Qassam, kitengo cha makomandoo wa Ghaza walioongoza mashambulizi ya kipekee kuwahi kutokea israel na kuchukuwa mateka kutokea ndani ya Israel na kuja nao Ghaza kibabe. Pia ndiyo...
15 Reactions
185 Replies
8K Views
Sidhani kama kunataifa haliijui nguvu ya kijeshi na uchumi ya urusi. Zidhani kama kunataifa Dunia haliijui nguvu ya china kiuchumi na technology. Sidhani kama Kuna Taifa halijui uovu wa mataifa...
19 Reactions
106 Replies
5K Views
Israel imechagua kupigana na kundi ambalo lina hamas za vita hawajapata kufikiria. Kundi la Hamas limetoa ahadhi kuwa katika juhudi za Israel kutaka kuwaokoa mateka waliobaki basi ijue kuwa...
3 Reactions
3 Replies
628 Views
Huyu Bilal, dogo muarabu ambaye alikua mateka wa HAMAS, anaeleza jinsi walikamatwa mateka na namna walijaribu kujitetea kuwa wao ni waarabu, ila HAMAS hawakujali, walimkamata yeye na dadake Aisha...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Hii ndio habari iliyotangazwa hivi punde na Jeshi la Yemen. Kwa sasa hakuna meli yeyote itakayoweza kuruhusiwa kupita kuelekea Israel. Itakumbukwa hapo mwanzo Jeshi la Yemen lililenga meli...
16 Reactions
168 Replies
9K Views
Kitu ambacho sielewi, hawa HAMAS wanapata faida gani kwa Gaza kufutwa kisa tu wapewe wafungwa wao huku hao HAMAS wakiachia mateka. Mpaka sasa vifo vya Wapalestina vinaelekea kugonga 20,000. Sasa...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Hapo jana Hamas ilirusha mvua ya makombora kutokea Gaza kuulenga uwanja wa kimataifa wa Ben Gurion na kuasababisha taharuki kubwa. Taarifa ya kijeshi ya Israel imesema Iron Dome zilifanya kazi...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Poleni mashabiki wa HAMAS humu, kamanda kawahishwa kwa mabikira, sijui kama yeye atapewa zaidi ya 72 au kwa vile yeye kamanda anaweza akapewa 200 hivi, dah raha sana nyie watu, ila mabikira wana...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Asema Gaza imefutwa, imerudishwa nyuma miaka 200, hamna kitu pale hata watu wakirudi, amekiri lilikua kosa kubwa sana na kwamba uongozi wa HAMAS ni machizi wasiojielewa wala kuelewa chochote...
6 Reactions
161 Replies
4K Views
Wapewe chakula kwanza maana hapo najua wanakua njaa, wameogopa kuwahishwa kwa mabikira kule akhera... Dozens of Hamas terrorists lost contact with the terror group's leadership, leaving them...
7 Reactions
58 Replies
2K Views
Kuna wale watu wa upinde walisema Putin akitoka nje ya Urusi atakamatwa, sasa nashindwa kuelewa jamaa katoka je atakamatwa lini? Russian President Vladimir Putin, staking out a more influential...
18 Reactions
83 Replies
9K Views
Mwelekeo wa uhusiano kati ya China na Marekani umewekwa wazi katika masuala ya kulegeza, kutuliza na kurejesha uhusiano huo. Jamii ya kimataifa ina matumaini kuwa, uhusiano kati ya nchi hizi mbili...
0 Reactions
1 Replies
378 Views
Back
Top Bottom