International Forum

News and Stories from rest of the World
Taliban huko Kandahar Afghanistan wamefanya gwaride la aina ya kipekee duniani, haijawahi kutokea. Gwaride la kijeshi ambalo. Limehusisha vifaa walivyoviteka tu. Taliban walivamiwa na majeshi ya...
29 Reactions
204 Replies
11K Views
Source: RwandAir- Ndege hiyo mpya ikiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kigali. Shirika la ndege la Rwanda Rwandair Ijumaa ilopita ilipokea ndege ingine mpya kubwa ya Airbus A330-200 kutoka...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Wanaukumbi. https://x.com/qudsnen/status/1734635313849397334?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw Mambo yameanza kuwa magumu kwa Israel na Marekani hali tete baada ya Marekani kumtekeza Israel...
2 Reactions
6 Replies
668 Views
[emoji1267][emoji599][emoji845] Houthi’s warn a ship heading to Israel to stop and after hit it after it ignored the warning calls! ToI: A missile fired by Yemen’s Houthi rebels struck a...
7 Reactions
63 Replies
3K Views
Kwa sasa kila mtu anatambua kuwa kadiri siku zinavyokwenda mbele ndio viwango vya joto duniani vinaendelea kuongezeka, dhana ambayo watu wengi walianza kuwa nayo akilini mwao miongo kadhaa...
2 Reactions
0 Replies
404 Views
Sote tukae mkao wa kusubiri halwa ya sinia za harusini iliyopikwa ikapikika na Gidemi. Wengi wakazi wa jiji la Dar, wa zamani wenzangu, nikiitaja halwa ya Gidemi ya sinia wanaielewa utamu wake...
7 Reactions
65 Replies
6K Views
Kabla ya shambulio la kigaidi la Hamas, kulikuwa na wafanyakazi 21,000 toka Gaza waliokuwa wakifanya kazi Israel. Baada ya shambulio hilo la Oktoba, na vita vinavyoendelea, Waziri wa usalama wa...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Kwa kile kinachoonekana ni mgomo dhidi ya ununuzi wa bidhaa kutoka makampuni makubwa duniani kama vile Macdonald's, Starbucks na Disney, Mauzo na Hisa za makampuni hayo yenye majina zinazidi...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakati Marekani ikidai imesikitishwa na Taarifa Kuwa Israel inatumia white phosphorus Wenyewe Wayahudi wametamba malengo yao huko North Gaza yatatimia soon Waziri wa ulinzi wa Israel amesema...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
President's brother passes away: Sheikh Mohammed bin Rashid, prominent Emiratis mourn death of Sheikh Saeed The Arabic hashtag for 'Saeed bin Zayed' and other related keywords were on the trending...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Japo mashabiki wa Urusi mlikimbilia kwa Wapalestina ambao huwa mnalazimisha undugu nao ila mara moja moja huwa naendelea kuwakumbushia masaibu ya supapawa wenu Mrusi mliyemtegemea ila...
0 Reactions
4 Replies
679 Views
Mzuka Wanajamvi, Jeshi teule tukufu na takatifu la Israel IDF toka mwanzo imewasihi wapalestina Kaskazini Gaza kuhama kwenda kusini kwa matangazo, vipeperushi na ujumbe wa SMS ukiwaonesha ramani...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Gharama ya vita vya Gaza inazidi faida ya malengo Israel iliyojiwekea. Wapiganaji wa Hamas jana waliwazingira askari wa miguu walioingia maeneo yao na kuwaua zaidi ya 100 kwa mpigo. Vita...
18 Reactions
160 Replies
7K Views
Mpaka muifute jamii ya Wayahudi mbona shughuli...temaneni na hayo mawazo muishi nao kwa amani, hayo maagizo ya kwenye vitabu vyenu vya kidini kwamba muue Wayahudi wote yanawachoganisha tu na...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Zilianza mbwembwe za kupewa patriots ambazo mrusi aliziwasha kiberiti mara vifaru vya ujerumani mara gari za kivita za marekani na wakaenda mbele zaidi kuhakikisha wanajeshi wa NATO wanasaidiana...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Mtu mmoja huko Orlando anashikiliwa na polisi baada ya kuendesha gari la wafungwa kwenye njia isiyo sahihi na kukataa kusimama mamlaka zilipojaribu kumsimamisha. Maafisa wa sheria walipokea simu...
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Chama cha CDU cha nchini Ujerumani kinataka hatua za haraka zichukuliwe ili kudhibiti wahamiaji wanaoishi nchini humo wanaotaka utamaduni wao na imani zao za kidini ndizo ziwe juu ya zile za...
0 Reactions
2 Replies
520 Views
Ikumbukwe kuna kipindi Putin alikua kiboko cha haya magaidi, kayalipua sana ila hivi majuzi haeleweki eleweki, ila inawezekana kutoeleweka kwake kunatokana na aibu anayofanyiwa kule na kataifa...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Kwa ilipofikia inahitajika Kiranja wa pili tu kutia neno na mzani ukae sawa vita iishe. Israel na kichaa chake chote kinachompa Guard mpaka sasa ni Kiranja wa kwanza. As for now kuna mataifa...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Picha Military spokesman for the Al-Qassam Brigades, Abu Ubaida: “During the last 72 hours, the Qassam Mujahideen were able to completely or partially destroy 135 military vehicles on all fronts...
8 Reactions
83 Replies
6K Views
Back
Top Bottom