Mwezi uliopita, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara rasmi nchini Marekani, ambako pia alihudhuria mkutano wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasifiki (APEC) uliofanyika mjini San Fransisco...
Waziri mkuu wa Palestina katika serikali ya Mahmoud Abbas ameweka wazi kuwa Israel inajidanganya kusema inataka kuwamaliza Hamas. Hiyo haitatokea.
Akizungumza na CNN, Mohammad Shtayyeh amesema...
Kwa muda sasa kumekuwa na kashikashi kati ya Rais Trump na viongozi wa chama cha Democratic juu ya kutaka kujenga Ukuta katika mpaka wa Marekani na Mexico, Democratic ni wazi hawataki ukuta...
Inakadiriwa wahamiaji haramu takribani 60,000 kutoka nchi mbalimbali wapo katika mpaka wa Mexico na Marekani tayari kuzamia Marekani wiki hii pale sheria ngumu ya kuwaondoa wakimbizi ya Title 42...
The number of unauthorized immigrants in the U.S. has stabilized in recent years after decades of rapid growth. But the origin countries of unauthorized immigrants have shifted, with the number...
Idara ya forodha na uhamiaji ya Marekani(ICE), imezindua ukaguzi wa kushtukiza unaowalenga wahamiaji 2,000 wasio na vibali nchini humo.
Kwa mujibu wa Rais wa nchi hiyo Donald Trump, mpango huo...
RAIS Donald Trump amekuwa akiongea kwa nguvu kuliko kawaida kutokana na tishio jipya dhidi ya utawala wake: afanye nini pale maelfu kadhaa ya wakimbizi kutoka nchi tatu au nne za Amerika ya Kusini...
Kwa nini kuna mgogoro mkubwa sana wa wahamiaji Marekani na Ulaya hadi unakuwa mjadala na ajenda muhimu za kisiasa huko za kuchagua viongozi katika chaguzi?
Maelfu ya Waafrika kila mwaka wanafia...
Kwa kifupi ni kwamba Waarabu hawana Ushirikiano wowote na nadhani ni Watu wanaoombeana Njaa
Wapalestina waliojazana mji wa Khan Younis wameamriwa kuondoka haraka waelekee usawa wa Bahari...
Utaratibu ni ule ule, lazima wavue nguo zote (kasoro boxer) kabla ya kuomba kujisalimisha, Ni hatua za kiusalama kwa tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.
They...
Wanaukumbi.
The Biden administration has
used an emergency authority to allow the sale of about 14,000 tank shells to Israel without congressional review, the Pentagon said on Saturday.
The state...
Ndio imekua sharti sasa, kama hautaki kuuawa wakati unajisalimisha, lazima uvue nguo kisha unyanyue bunduki yako.....
An apparent Hamas member with his hands up hands over an assault rifle...
Mpaka kati ya Gaza na Israel ndio mpaka unaolindwa kwa nguvu zote kuliko mipaka yote duniani.
Kuna camera na teknolojia za kisasa za ulinzi, kuna patrol za mara kwa mara za wanajeshi wenye vifaa...
Kama Yeye ni Super Power kwani asiende peke yake, au amwambie shoga yake Israel apigane na Yemen si kila kukicha Yemen anampiga Israel na kuteka Meli zake, kwanini anafata Gulf Country, Kwa nini...
Ile dilomasia ya kinafiki ya Marekani kuwazuga waarabu inazidi kukwama.
Mawaziri wa nchi za nje wa jumuiya ya nchi za kiarabu wamemkatalia waziri wa masuala ya ulinzi wa Marekani kujadiliana nao...
Hali imekua mbaya, Wapelestina na magaidi ya HAMAS waanza kugombea chakula cha misaada, kwenye hii video jameni maskini Wapalestina wanatumia mawe kupambana na magaidi yaliyojihami kwa bunduki...
Ilikua kosa kubwa sana kuua Wayahudi, jamaa wameamua hamna kinachosalia...
Damage to al-Omari Mosque in Gaza City from Israel-Hamas war, on December 8, 2023. (Screen capture/X)
New footage shows...
Kama Tanzania tungekubali Mawazo ya Mzee Lowassa alipokuwa Waziri mkuu sasa hivi tungekuwa tunaongoza kwa Kilimo duniani
Cha ajabu mh Bashe ndio sasa anayafanyia Kazi maono yale ya Mzee Wetu...
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa na mashirika mengine ya misaada wamekuwa ni wenye huruma zaidi kwa kutoa tahadhari ya vifo vinavyoendelea Gaza kutokana na njaa na kiu.
Huruma zao zimekuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.