International Forum

News and Stories from rest of the World
Nilikua najiuliza kwanini HAMAS wafanye kitu ambacho kimekuja kuwaletea hasara mara mia na kusababisha wafutwe Gaza..... Aisei hiki kilikua kiama kwa Israel, hawa jamaa walijiandaa kwa muda mrefu...
12 Reactions
110 Replies
5K Views
Kama inavyofahamika, karibia makundi yote ya kigaidi Duniani huanzishwa na husaidiwa na Iran. Siku chache zilizopita, kundi la kigaidi la Houthi, ambalo hufanya maangamizi zaidi huko Yemen, na...
9 Reactions
47 Replies
2K Views
Ukitizama mauaji, hasa ya watoto huko Gaza inasikitisha sana. Ukitafakari ule ugaidi wa Hamas dhidi ya yeyote aliyekuwepo Israel, unapata hasira. Tangu mwaka 1948, Taifa la Israel lilipotangazwa...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Wanaukumbi. BREAKING - OFFICIAL STATEMENT BY YEMEN'S HOUTHIS: BALLISTIC MISSILES LAUNCHED AT ISRAEL "With the help of God Almighty, the missile force of the Yemeni Armed Forces launched a batch...
2 Reactions
2 Replies
797 Views
Kwanza kabisa, uzi huu hauna lengo la kukashifu imani au itikadi yoyote na msimamo wa mwandishi haufungamani na upande wowote! ASILI YA ISRAEL, SAUDI ARABIA na PALESTINE, katika dini kuu tatu...
1 Reactions
53 Replies
3K Views
Huyu jamaa na makombora yake sikujua naye anaweza kufikwa na huzuni mpaka abubujikwe machozi, akina mama pia nao wajiunga kwenye kulia machozi maana mkuu analia, hii ilikua baada ya kusoma taarifa...
6 Reactions
51 Replies
5K Views
Hili ni somo kwa wote wanaodhani Marekani ni kiota cha freedom of speech! Iko hivi baada ya serikali za Magaharibi kuona kuwa public opinion inashift kwa kasi, ambapo raia wengi waliokuwa gizani...
3 Reactions
54 Replies
2K Views
Kwa roho na Damu Tunakufidia Palestina (Mashabiki wa Timu ya Al Ahly ya Misri) Watu wenye huruma na utu, ningefurahi sana kuona pia timu zetu zikifanya kama ilivyo kwa al ahly, Allah awajaze...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
US Commerce chief warns against China 'threat' In October, US Commerce Secretary Gina Raimondo unveiled a series of restrictions on the export of advanced chips to China. (Photo: AFP/Carlos...
2 Reactions
1 Replies
413 Views
Wanaukumbi. Netanyahu to the Israeli prisoners’ families: I will not be able to return them all, and the families left the meeting angry. Sources: Hebrew Channel 12, Al Jazeera. 🚨🇵🇸 Hamas...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Wanaukumbi. 🚨 Kura ya Kura ya Kushtua: 75% ya Wapalestina Wanaunga mkono Shambulio la Oktoba 7 dhidi ya Israeli Ni asilimia 13 pekee ya Wapalestina wanaopinga mgomo wa Oktoba 7 dhidi ya Israel...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Mamilioni ya waafrika bado kwao umeme ni anasa ambayo hawawezi kumudu na hivyo bado wanaishi tu gizani sawa na wanyamapori ktk dunia hii ya sayansi na teknolojia. --- Access to electricity remains...
1 Reactions
0 Replies
335 Views
US-China 'tech war': AI sparks first battle in Middle East Cathrin Schaer 10/02/2023October 2, 2023 The US has restricted exports of some computer chips to the Middle East, to stop AI-enabling...
1 Reactions
1 Replies
463 Views
Inashangaza sana kuwa binadamu sasa wamekuwa na roho za kinyama sana kwa sababu wanyama ndio ambao mwenzao akiliwa wanakuwa na msaada mdogo sana japokuwa kwa umoja wao wangeamua wangeweza...
3 Reactions
114 Replies
4K Views
Jeshi la kigaidi la Marekani limeamua kuinyang'anya Ukraine Vifaru vyake alivyompa chapa M1 Abrams baada yakuona Makomando wa Russia Spetnaz wanaviwinda kama Simba wenye njaa Kali ili wavibebe...
12 Reactions
30 Replies
2K Views
Miongoni mwa mataifa muhimu katika ushirika wa kuiadhibu Israel ni Syria ambayo tangu vita vianze hapo Oktoba 7 walikuwa wako kimya. Kwa mara ya mwanzo leo wanamgambo walioko mashariki ya Israel...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Hamasa miongoni mwa nchi za kiislamu kuhusu vita vinavyoendelea Gaza zimepanda zaidi. Viongozi watatu ndio waliozungumza kwa hasira kwenye mkutano wa mazingira unaoendelea huko Dubai. Raisi...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Jamani ni tetesi naendelea kusaka taarifa za uhakika. Inasemekana Baada ya Russia kuona Marekani anasaidia Ukraine na Ukraine anakuwa mgumu kumshinda sababu anapata support ya Marekani kijeshi...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kikosi kidogo cha askari wa Ukraine hivi karibuni kilifanikiwa kuvuka mto Dnipro oblast ya Kherson kutoka upande wa Magharibi na kuingia Mashariki ambako ndiko ziliko ngome za jeshi la Urusi tangu...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Najua kuna Watanzania wengi walijipanga kwenda Mjini mwake Daudi Bethlehem kusherehekea sikukuu ya Christmas. Niwajulishe tu Serikali ya Israel imesema hakutakuwa na Sherehe hizo mwaka huu, yaani...
9 Reactions
57 Replies
3K Views
Back
Top Bottom