International Forum

News and Stories from rest of the World
Wanaukumbi. 🇺🇸 BIDEN WARNS: WE HAVE TO FIGHT RUSSIAN TROOPS IF UKRAINE FALLS In what appears to be a form of blackmailing to an entire nation, Biden ties the confrontation with Russian troops...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Dec 06, 2023 12:21 UTC Afisa wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (muqawama) ya Palestina, Hamas, amesema harakati hiyo ya kupigania ukombozi wa Palestina yenye makao yake Gaza...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Illustration: Stephanie Davidson Business A New Front Is Opening Up in the US-China Conflict Over Chips The emerging field of advanced packaging is being hailed as an inflection point for the...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Wapumbavu wengi huko nje’ – Musk.[emoji41] Wakati Serikali inashinikiza Marekani kutuma pesa Ukraine na Bunge likikataa, Bilionea huyo aliunga mkono maoni kwamba nyongeza ya dola bilioni 60...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Mwandaa filamu maaraufu bwana Oliver Stone alimfanyia Interview Putin kwenye Documentary yake mpya inayoitwa THE PUTIN INTERVIEWS. Akamuuliza kwamba inasemekana amenusurika kuuwawa kama mara tano...
17 Reactions
40 Replies
6K Views
Dec 07, 2023 05:01 UTC Wizara ya Vita ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel imekiri katika taarifa kwamba utawala huo umepokea tani 10,000 za zana za kivita kutoka Marekani tangu ulipoanzisha...
2 Reactions
7 Replies
752 Views
Ama kweli la kuvunda halina ubani. Yamesikika mengi kuhusu ugaidi na ufwedhuli wa wapalestina na HAMAS. Kwamba HAMAS ni wauaji, wabakaji, magaidi, wenye kutumia mahospitali kama vituo vya...
10 Reactions
58 Replies
3K Views
Dec 07, 2023 07:06 UTC Televisheni ya Al Jazeera ya Qatar imelaani mauaji ya familia ya mmoja wa waandishi wake wa habari katika mashambulizi yaliyofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa...
1 Reactions
13 Replies
680 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Rais wa Jumuiya ya Waturuki waishio Ughaibuni, Abdullah Eren na ujumbe wake Ikulu Zanzibar tarehe 7...
1 Reactions
6 Replies
762 Views
Mashirika ya kutetea Haki za binadamu yamekosoa kiyendo Cha Rais wa Malawi bwana Lazarus Chakwera kuamua kuwauza Wananchi wake takribani Vijana 221 kuwa Manamba wa kufanya kazi kwenye mashamba...
2 Reactions
78 Replies
4K Views
Huku upepo tufani la Al Aqsa ukizidi kupiga kote kote.Saudi Arabia imeionya Marekani juu ya kihere here chake cha kuwatibua wapganji wa Houth kwenye bahari nyekundu. Wakati huo huo taifa hilo...
10 Reactions
53 Replies
3K Views
Kaeleza kama ilivyo tena bila chenga, muda umefika waarabu wajiulize maswali mengi sana. Kuna video yake hapa chini. ila kiukweli bado wamepofushwa na maupuzi ya karne za kitambo. Nafikiri...
20 Reactions
126 Replies
8K Views
Rais Wavel Ramkalawan wa Ushelsheli ametangaza hali ya tahadhari Alhamisi, akiwaamuru raia wote isipokuwa wafanyakazi muhimu kubaki nyumbani, baada ya mlipuko katika duka moja la vilipuzi na...
1 Reactions
0 Replies
629 Views
Askofu Prof Gamanywa amesema kimsingi Marekani wanaitegemea Israel Kijeshi na Siyo kinyume chake Na NDIYO Sababu wawe Republican au Democrats ni Wajibu wa lazima kuiunga mkono Israel na Wana...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Karibu mwezi sasa unakatika marekani hajatangaza kiasi cha dollars kama msaada wa kijeshi kwa nchi za Ukraine na Israel je kuna Tatizo pahala au salio linakaribia kukata? Hii tabia ya kupenda...
18 Reactions
65 Replies
3K Views
Ni Kwa mujibu -S&P Global Ratings BENGALURU, Desemba 5 (Reuters) INDIA itasalia kuwa nchi yenye uchumi mkubwa unaokua kwa kasi zaidi kwa angalau miaka mitatu ijayo, na itaiweka nchi hiyo kwenye...
0 Reactions
2 Replies
469 Views
1. Alianza vizuri HAMAS kuwapigania wapalestina na waarabu kwa ujumla vita vyao dhidi ya mvamuzi wao sugu 7 Oct 2023. 2. Bahati mbaya waarabu hadi wapalestina wa West Bank wameufyata na kumwachia...
8 Reactions
260 Replies
8K Views
Baada ya kumalizika kwa usitishaji wa vita kwa muda wa wiki moja na ubadilishanaji wa mateka vita vimeanza upya kati ya Israel na wanamgambo wa Hamas. Katika ngwe hii mpya na katika hai ya...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Israel umesema Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar ameongea na Mateka kwenye Mahandaki na kuwaambia Wako salama Yahya Sinwar amewaambia Mateka wasiwe na hofu kwa sababu ya kuwa kwenye Mahandaki kwani...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kumekuwepo na upotoshaji kwamba Marekani imesitisha au imekosa pesa za kuendelea kuifadhili Ukraine katika vita yake dhidi ya uvamizi wa Urusi. Ukweli ni kwamba Marekani haijakosa pesa za kuipa...
4 Reactions
10 Replies
598 Views
Back
Top Bottom