International Forum

News and Stories from rest of the World
VITA VYA PILI VYA DUNIA. Wakati Ujerumani iliposhambulia Poland, nchi hiyo ilikuwa na mikataba ya kulindana na Uingereza na Ufaransa. Hivyo ilibidi Uingereza na Ufaransa zitangaze hali ya vita...
1 Reactions
3 Replies
901 Views
Licha ya mataifa makubwa kama Canada, Uingereza, Australia, Ujerumani na mataifa mengine ya ulaya hayakupiga kura lakini Marekani ilipiga kura wazi wazi kuisapoti Israel kuendeleza operesheni za...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wanachama wawili kati ya kumi na tano wamepiga kura ya hapana kusitishwa kwa mapigano huko gaza, israeli ikiwa kwenye operation ya kuyaua magaidi ya Hamas I Balozi wa USA katika baraza hilo...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Picha hiyo ilizinduliwa rasmi kwenye misa ya Jumapili iliyopita mjjini Jerusalem alipozaliwa nabii Issa a.s (Yesu) ambapo padri Munther Isaac alisema huo ni ubunifu wa wanafamilia wa kikristo...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Kiubinadamu wakati umefika wa kuacha kufikiria waisrael wangapi walikufa wakati wa shambulio la Hamas na wapalestina wangapi wameshakufa tangu Israel ianze kulipiza kisasi. Au majengo mangapi...
6 Reactions
89 Replies
4K Views
Kiongozi huyo aliyetawala tangu mwaka 2000 akichukua madaraka kutoka kwa Boris Yeltsin ametangaza nia yake leo Desemba 8, 2023 huku akidai ana uhakika wa kushinda Urais kwa zaidi ya 80% ya Kura...
6 Reactions
66 Replies
5K Views
Mapema jana Ijumaa jumla ya Makombora saba yalirushwa na kufanikiwa kuingia ndani ya ubalozi wa Marekani nchini Iraq. Ubalozi huo daima huwa unalindwa na mifumo mbali mbali ya ulinzi ambayo...
9 Reactions
73 Replies
3K Views
Japo wameshaua wapalestina zaidi 20 ukiunganisha na wale walio chini ya kifusi hata hivyo kifo cha askari mmoja wa cheo cha juu kumewahuzunisha sana viongozi wa Israel akiwemo kamanda mkuu wa vita...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Kura moja ya Marekani imetosha kuharibu mpango wa Umoja wa Mtaifa kutaka vita visitishwe..... Kwa kifupi HAMAS wakubali yaishe kwa kuachia mateka, na wenyewe kama vipi waihame Gaza, la sivyo...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Ni Heri kutumia common sense kama yule Rais fulani wa Africa aliyesimama Imara na kuiponya Jamii yake Johnson alikuwa akijibu Swali la Jaji huko UK Sijajua huyo Rais wa Africa anayempongeza ni...
4 Reactions
45 Replies
3K Views
Waandishi wengi wa habari pamoja na wa BBC wameripoti kuwa vita vikali sana vinapiganwa baina ya majeshi ya Israel na Hamas na kwa mshangao mkubwa vita hivyo viko pande zote mbili za Gaza, kusini...
14 Reactions
60 Replies
5K Views
Umoja wa falme za kiarabu UAE umeitisha kikao cha dharura cha umoja wa mataifa kutaka lipitishwa azimio la kusitishwa vita haraka na bila masharti yoyote. Wajumbe wote wanatarajiwa kuunga mkono...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
'America is in serious trouble': Robert Kiyosaki warns the US is broke, bankrupt, and our dollar is 'trash' — says that printing money to solve problems can't go on much longer. Is he right...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Gaza haitokuja iamke tena, tunaipoteza tukiiona hivi hivi, Israel ni hatari, wale watu ni makatili, jameni raisi wangu asiwahi kujichanganya na kuleta shobo kwa Wayahudi, wanapaswa kuogopwa sana...
4 Reactions
66 Replies
4K Views
Sauti za mamia ya maroketi kutoka Gaza kila siku na miripuko angani ya Iron dome zinazojaribu kuyaharibu angani zimewakera sana wakazi wa miji ya Ashkelon na Sderot ambayo iko jirani na Gaza...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Israel imeshaonya Hezbolla, wakiendelea na uchokozi watasababisha huko walipo pia kufanywe shamba.... Three Lebanese soldiers were lightly injured Friday by Israeli shelling in southern Lebanon...
2 Reactions
8 Replies
637 Views
Mcdonald ni mgahawa wa fast food mkubwa zaidi duniani Katika mashambulizi ya October 7 Israel ilipovamiwa na Hamas, Mcdonald walitoa vyakula bure kwa wahanga. Hali hii ilipelekea magaidi...
3 Reactions
9 Replies
744 Views
Some Tanzanians have expressed concern over the whereabouts of Vice-President Philip Mpango, who has not been seen in public for over a month. He was due at a science conference on Wednesday in...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Kiongozi muandamizi wa Hamas, Ismail Haniyeh amesema vikosi vya kivita vya kundi hilo vimejitayarisha vya kutosha kuendeleza vita na Israel kwa muda wowote vita hivyo inakavyochukua. Katika tamko...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Video inayoonesha Silaha mbalimbali za HAMAS ambazo zimekamatwa na wanajeshi wa Israel zikiwa zimefichwa kwenye shule za UM na Hospitali Kusini mwa mji wa GAZA. Video hiyo inaonesha makombora ya...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Back
Top Bottom