Kwa jinsi huyu jamaa wanavyozidi kumlea ni aibu sana na huyu jamaa anapaswa wamuue haraka ili vita iishe
Zelensky kwa ujinga wake ameamua kuwatoa maelfu ya raia wake kafara kwa kiburi cha...
Miaka karibu 50 tangu kile kilichoelezwa kusitishwa kwa safari za kwenda mwezini mwaka 1972,sasa kituo cha anga cha NASA kimesema kinataraji kurejea safari hizo hivi punde.
Hapo Jumatatu chombo...
Sep 06, 2023 06:32 UTC
Kansela wa Austria amesema kuwa kuendelea kununua gesi kutoka Russia hakufurahishi, lakini gesi ya Russia ni muhimu kwa usalama wa nishati wa nchi za Ulaya.
Shirika la...
Rais wa Egypt Abdel Fattah Al Sisi amewataka Raia wa Nchi hiyo Kupunguza Kasi ya kuzaana Ili Kuepuka Janga la Nchi yake Kushindwa kuwapa Huduma stahiki.
Rais Al Sisi amekosoa mtizamo wa Waziri wa...
Idara ya ulinzi ya Marekani mapema wiki hii wameweka wazi tovuti mpya ambayo itakwenda kuonyesha videos na maelezo ya ukweli kuhusu vyombo vya angani vinavyosadikika kutoka Nj'e ya sayari ya Dunia...
Polisi nchini Uingereza wamezuru kwenye darasa la yoga katikati ya jiji baada ya raia mmoja kutoa taarifa ya mauaji ya halaiki.
Maafisa walikimbilia mahali hapo huku ving’ora vya gari vikilia na...
Hakuna aliye salama......
SCREENSHOT
A car carrying two Russian FSB employees and military personnel has been blown up in the temporarily occupied town of Oleshky, Kherson Oblast.
Source: UP...
Ni baada ya Mwanajeshi wa Ufaransa kumuua Raia wa Chad hali iliyopelekea maandamano makubwa hivi sasa hali inayoendelea ni mbaya sana.
Tayari watu wameanza kuingia barabarani na baadhi ya Wabunge...
Katika miaka ya hivi karibuni hali ya usalama katika baadhi ya maeneo ya Afrika imekuwa na utatanishi, na utulivu uliokuwepo kwa miongo miwili au mitatu iliyopita, sasa unaonekana kuwa mashakani...
Hicho ndicho kinachotokea katika Jimbo la Gilgit-Baltistan la Pakistan ambalo ndiyo Jimbo pekee nchini pakistan lenye raia wengi ambao ni Washia. Kwa kifupi nchi ya Pakistan Raia wake wengi ni...
Ebwanaeeeee hata kama maisha ni magumu ngoja twendeleeee...
Nchi za afica magharibi, NIGERIA, GHANA, TOGO, IVORY COAST, SENEGAL nk..nk.
Sasa nimekumbuka mwanzoni mwa mwezi wa pili kuna mjomba...
Zote, hasa Ethiopia na Iran, ni nchi kongwe. Zimekuwepo tokea kipindi Biblia inaandikwa.
Nchi zote tatu hazikuwahi kutawaliwa na Wazungu.
Lakini Iran imezipita zote kwa mambo mengi.
Kwa ubabe...
New Delhi [India], Septemba 5 (ANI)
Wakati India inapojiandaa kuandaa na Mkutano wa Viongozi wa G20, dhana ya maendeleo ya 'kuongozwa na wanawake' imekuwa katikati ya ajenda ya New Delhi katika...
Mwanamume mmoja (34) amekamatwa nchini humo baada ya kupatikana kwa zaidi ya miili 10 ya watu iliyozikwa kwenye shimo Jikoni, katika nyumba yake aliyepanga Mjini Kigali
Vyombo vya Habari nchini...
Watu wanafia kwenye nchi ya watu, ukiwauliza wanachopigania, hawana cha kujibu.....
PHOTO: DKULKO/TELEGRAM
Yevgeny Pisarenko, the commander of Akhmat, a Chechen armed formation that is fighting...
Hendrietta Bogopane-Zulu ambaye ni Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii wa Afrika Kusini, amesema unywaji Pombe husababisha Madhara kwenye Ubongo wa Watoto na hivyo Wanaokunywa wakati wa Ujauzito...
“By studying the triumvirate Chinese elite and their intimate ties to the Illuminati, it is clear that modern China is an Illuminati creation.”
September 3, 2023
The Chinese elite is a merger...
Baada ya hukumu ya takriban saa 10, Majaji wa Mahakama ya Rufaa nchini Nigeria, waliamua kuwa madai ya Wapinzani Atiku Abubakar wa Peoples Democratic Party na Peter Obi wa Labour Party kuwa...
Egypt President Calls For Measures To Slow Birthrate
Egyptian President Abdel Fattah al-Sisi called Tuesday for measures to slow the birthrate in the Arab world's most populous country, citing...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.