Ile mizimu anayoiwahisha kusamehewa kwa Mola ingali ina muandama:
Lile mwamba jembe la Buza Kwa mara nyingine litaendelea kufichama Kremlin.
"Kwamba, hatoki mtu Moscow!"
Hakutokea BRICS Sauzi...
Jitahidi usome mwanzo mwisho.
Mlipuko wa vita ya Russo-Ukrainian War umeiweka dunia njiapanda katikati ya chagizo linaloendelea la Uviko.
Tayari dunia imegawanyika ambapo NATO chini ya US ina...
Kumalizika kwa mkutano wa G20 kumeshuhudia mataifa kadhaa makubwa ya kiuchumi duniani yakijadiliana na kuwekeana makubaliano ya kuunda mpango wa pamoja wa uchumi kati yao walioupa jina la...
Je, ni kweli Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga alikuwa mtu mbaya kama tulivyoaminishwa ?
Tuone kauli ya Mobutu ambayo aliongea
"APRES MOI C'EST LE DÉLUGE ". Après MOBUTU c'est de la mort...
Mpaka supapawa anakiri kupoteza na kufukuziwa nje nje ujue kweli hali mbaya.....ukizingatia anapambana na kainchi kadogo hapo kwake, wala hata sio vita vya mbali kama ilivyokua kwa Marekani na...
Duniani kuna vifaru vitatu hatarishi kwa mapigano katika uwanja wa vita.
Vifaru hivyo ni Abraham's cha Marekani, The challenger (Uingereza) na Leopord (Ujerumani)
Hata hivyo waswahili wanausemi...
Sasa hivi madogo wanao endesha hizi drones wanachagua pakupiga ndani ya Urusi bila shida yoyote.....
A RUSSIAN plant that makes crucial parts for missiles has gone up in flames after being...
Ndege ya kivita ya Russia iliruka umbali wa mita chache kutoka katika ndege ya Marekani isiyokuwa na rubani kwenye anga ya Syria na kupiga baruti.
Ndege hiyo iliipiga ndege ya Marekani na...
Na Jumaa Kilumbi
10.11.2022
KaskazIni Magharibi mwa Afrika kuna mzozo kati ya nchi ya Morocco na nchi ya Jamhuri ya Waarabu ya Kidemokrasia ya Sahara (Sahrawi Arab Democratic Republic, SADR...
MORE THAN 1,600 SCIENTISTS SIGN A DECLARATION WHICH CONFIRMS THAT “NO CLIMATE EMERGENCY” EXISISTS AT ALL.
02 September,2023
Not everyone in the field of science has abandoned the truth that...
Ndege isiyo na rubani ya Iran yazifukuza ndege za Marekani katika anga ya Iran
Naibu Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Iran amesema ndege isiyo na rubani ya Karrar imezionya mara kadhaa...
Mwendo wa mpwito mpwito...
Ukrainian troops continued their offensive actions near the city of Bakhmut and in the western part of Zaporizhzhia Oblast on 7 September and they had gains on both...
"Bosi wa sarafu ya Kidijitali (cryptocurrency) nchini Uturuki na ndugu zake wawili wamefungwa kifungo cha miaka 11,196 kila mmoja kwa udanganyifu dhidi ya wawekezaji ambao walipoteza mamilioni ya...
Hawa majenerali wanasakwa kote, manyumbani hadi ofisini, yaani wawe waangalifu na muda wote kugeuza geuza kichwa huku na kule, maisha ya wasiwasi kama digidigi.
Huyu kapokezwa simu ya mkononi...
Katika Nchi ndogo iliyopo Ulaya iitwayo Montenegro, mashindano ya kumtafuta Mtu mvivu zaidi hufanyika kila mwaka na mwaka huu washindani saba wamejilaza kwenye mikeka wakipambania kombe hilo...
Chifu Mangosuthu Buthelezi, Muanzilishi na kiongozi wa muda mrefu wa chama cha Inkatha Freedom Party(IFP) amefariki dunia Jumamosi ya leo, Septemba 09, 2023.
Buthelezi alianzisha IFP na baadae...
Hivi karibuni, Japan ilianza kumwaga maji taka ya nyuklia baharini kutokea kituo cha nyuklia cha Fukushima. Hatua hii ya Japan imelalamikiwa sana na Wajapan wenyewe pamoja na jamii ya kimataifa...
Ni kauli ya Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye amesema ukaguzi huo ulioanza Machi 2021, lazima ukamilishwe hivi karibuni ingawa hajaweka wazi tarehe kamili ya utekelezaji wake.
Kwa...
Wizara ya Elimu imetangaza kuwa Kanuni hiyo inatarajiwa kuanza kutumika Mwaka mpya wa masomo unaoanza Septemba 4, 2023 katika shule zote za Serikali.
Waziri wa Elimu, Gabriel Attal amesema...
Putin alipowaambia waingereza walipokuwa wanajidai kupeleka vifaru vyao wanavyoviamini nchini ukraine kuwa na vyenyewe vitaungua hakua anatania. Kilipopelekwa tu kimoja uwanja wa mbele kupima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.