Chama tawala cha South Africa cha ANC kimesema kuwa kimewatuma maafisa wake kwenda Russia ku-discuss na chamade tawala cha Urusi juu ya kurekebisha 'global order' ili mataifa yawe huru kufuata...
Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Bi. Nikki Haley amejiuzulu wadhifa wake hivi punde.
Taarifa rasmi kutoka Ikulu ya White House zinatabanisha hapa katika viunga vya UN, kuwa Rais Donald...
Takriban watu sita wamefariki dunia, na wengine kadhaa hawajulikani walipo, baada ya boti kuzama katika upepo mkali Ziwa Kivu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Boti hiyo ilikuwa...
Pamoja na madhaifu ya Trump yaliyokuwa yakishindiliwa na hata kuongeza chumvi lakini vyombo vya habari vilikuwa havitipoti mazuri aliyokuwa akiyafanya, hii ilifanya watu wengi sana hasa walio nje...
Muungano huo ukiongozwa na Saudi Arabia utapunguza kiasi cha Mapipa Milioni 1.5 kila siku kuanzia Mei 2023 huku ukiita hatua hiyo ni ya tahadhari na inayolenga utulivu wa soko.
Saudi Arabia...
Maafisa wa eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamesema maporomoko ya ardhi ya Aprili 2, 2012 asubuhi yamesababisha takriban vifo 19, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka...
Supapawa anatapatapa, kalemazwa na kainchi kadogo.
"We have new information that Russia is actively seeking to acquire additional munitions from North Korea," said White House national security...
Kitendo cha Wanahabari hao wawili wanaoripoti katika magazeti ya Ufaransa ni mwendelezo mbovu wa uhusiano kati ya Serikali za mataifa hayo.
Waandishi hao ni Sophie Douce na Agnes Faivre ambao...
Rais wa Madagascar amemfukuza kazi waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo kwa sababu alipiga kura kuunga mkono azimio la Umoja wa Mataifa linalolaani kura za maoni za Urusi kuchukua sehemu za ardhi...
Karibu tujifunze siasa za China katika hii thread.
Upi utofauti wake katika kuingia katika mfumo wa siasa zao, muundo wa siasa zao, namna viongozi wanavyo patikana katika mfumo wao.
Thread hii...
Uhuru foiled two assassinations in his tenure blamed on UDA.
The yester attempt on Raila is the 7th in his political career. Nkrumah cheated 5. Raila leads the planet with such big number of...
WHO declares that healthy children and teenagers do NOT need covid vaccines
Friday, March 31, 2023
Now that the world is waking up to the dangers and uselessness of Wuhan coronavirus...
Basi usijali ilinichukua mda sana kujifunza na nkafanya uchunguzi ni sehemu gani sahihi ambayo mtu anaweza kununua na kuuza cryptocurrency.
Basi jawabu lenyewe ni coinsmart. Hili ni kampuni...
Wanajukwaa habarini, bila kupoteza muda nijikite kwenye mada, nimekua nikitega sikio kidogo kuhusu diplomasia za kimataifa na nimegundua markani ni moja ya mataifa sio tu yenye nguvu bali yenye...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema atajadiliana na Rais wa China, Xi Jinping kuhusu kuumaliza mgogoro unaoendelea katika ya Urusi na Ukraine.
Rais Putin amesema "Tupo tayari kwa mazungumzo ya...
Rais wa Benki ya Dunia (WB), David Malpass, amesema ana wasiwasi kuhusu baadhi ya Mikopo inayochukuliwa na Mataifa yanayoendelea Kiuchumi Barani #Afrika kwa maelezo kuwa Masharti yake mengi hayana...
Kiongozi wa wapiganaji wa Chechnya (kundi la waislamu) ambao wanampigania Putin na ambao wanafahamika kwa ukatili uliokithiri, amelia lia kutiliwa sumu nusra afe...
Kuna kipindi aliomba kama vipi...
Ukraine anatembeza show ya kibabe, si ya nchi hii dhidi ya majeshi ya Urusi, ukweli ni kwamba Urusi imeshindwa vibaya kwenye ground war against a well organized Ukrainian defenders!
Vifaru vya...
Ukraine kama Nchi ilotokana na USSR, Hawa Hadi Leo hii Asilimia kubwa ya Silaha zao ni za Kisovieti .
Ukraine hapumui Kwa Sasa, Silaha Mpya za wa Magharibi zinawahitaji wapate muda mwingi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.