International Forum

News and Stories from rest of the World
Baada ya mauaji ya mwanapropaganda mmojwapo wa Kremlin kwa shambulizi bomu juzi huko Saint Petersburg, Dmitry Medvedev ambaye ni makamu mwenyekiti wa baraza la usalama Urusi ameitisha mauaji ya...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwaka ule ambao JK alipeleka vikosi ktk misheni Kwenda kuwashughulikia ndipo yule Jamaa wa jirani akageuka mkali sana Na Mahusiano yetu na hiyo nchi yakalegalega. Sasa hivi Rais wa Congo kaanza...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Donald Trump has been placed under arrest at a courthouse in Lower Manhattan. The former US president is not wearing handcuffs but will have his fingerprints taken. After processing, Trump will...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Urusi imeutaja uanachama wa Finland katika jumuiya ya Kujihami ya NATO kuwa ni uvamizi dhidi ya usalama wake na kusema itachukua hatua za kiufundi na kimkakati Urusi imeutaja uanachama wa Finland...
25 Reactions
76 Replies
5K Views
Ndege aina ya Su-24M bomber imepigwa chini na jeshi la Ukraine kwenye mji ambao Putin ameamua uwe kichinjio cha wanajeshi wake, yaani ameamua kuuteka hata kama atapoteza kila kitu..... Here's...
7 Reactions
45 Replies
4K Views
Kwenye Mtandao wake wa Truth Social, Donald Trump kapost hii habari. Wakati huoo huko Twitter, Elon Musk katoa neno. Democrats hawana Tofauti na Msoga Gang kabisa.
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Umoja wa Mataifa umesema Jumanne kwamba utawala wa Taliban nchini Afghanistan umewaarifu kwamba umepiga marufuku wanawake kufanya kazi katika taasisi hiyo, ikiwa hatua ya karibuni zaidi ya kuweka...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Mexico ambyo ni jirani wa karibu zaidi na marekani inafikiria kujiunga na muungano wa BRICS (Brazil, Russia, India, China, na Afrika Kusini) huku uhusiano wao na marekani ukiendelea kudhoofika...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Baada ya uvamizi wa urusi ndani ardhi ya jirani yake ukraine kumetokea hali tofauti ya namna vikosi vinaweza kupata umiliki ndani na nje ya uwanja wa medani. Matumizi ya silaha kubwa kama vifaru...
15 Reactions
105 Replies
7K Views
Ripoti ya Shirika la Watetezi wa Haki za Waandishi la Reporters Without Borders imebainisha kuwa vitisho, hatari ya utekaji nyara, hata mauaji, vimekuwa sehemu ya maisha ya kila siku ya Waandishi...
1 Reactions
6 Replies
550 Views
Na Caroline Nassoro Mkutano mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC utafanyika tarehe 16 Oktoba hapa Beijing. Lakini kabla ya kufanyika kwa Mkutano huo, ikiwa sasa watu wa China...
1 Reactions
9 Replies
944 Views
Donald Trump anakuwa rais mstaafu wa kwanza wa Marekani kushitakiwa, baada wazee wa mahakama ya Manhattan jijini New York kupiga kura ya kumshitaki Trump Trump anatuhumiwa kumlipa hela, Stormy...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Mzee Kenneth Kaunda ndiye Rais wa kwanza wa Zambia baada ya kupata Uhuru kutoka kwa Waingereza. Aprili 28,2021 Kiongozi huyo mstaafu na Mzalendo wa hali ya juu Afrika atatimiza umri wa miaka 97...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Finland officially joins NATO, as Russia says it may have to respond Finland shares a 1,340km (832-mile) border with Russia, so its entry will more than double the size of NATO's border with the...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Mkuu wa kampuni binafsi ya ulinzi nchini Urusi, Wagner yenye vikosi vya mamluki vinavyopambana dhidi ya Ukraine, ametahadharisha kwamba Urusi iko katika nafasi mbaya kwenye eneo la mji wa...
1 Reactions
15 Replies
975 Views
Serikali ya Australia imebainisha kuwa itachukua maamuzi hayo kwa sababu za kiusalama, ikiunga na Marekani, Ufaransa na Uingereza ambazo nazo zimechukua maamuzi kama hayo. Katazo hilo linatokana...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump (76) atasafiri kutoka Florida kwa ndege yake binafsi kuelekea New York kisha kujisalimisha kwa mamlaka za Usalama ambapo anatarajiwa kufikishwa Mahakamani...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama huamini kwamba Kiongozi anatakiwa kuabudiwa, hauwezi kuishadadia Urusi. Kama wewe unaamini kila mtu ana haki ya kuelezea hisia zake bila ya kutishwa na dola, huwezi kuishabikia Urusi. Kama...
18 Reactions
105 Replies
2K Views
Greatest Threat to the USA is Peace. By: Chua Chin Leng Date: 24-March-2023 The greatest threat to the USA is not China, but Peace. Peace in the world would bring an end to the evil American...
12 Reactions
17 Replies
1K Views
China ni nchi inayo ongozwa na chama cha kikomunisti. Chama cha kikomunisti sio chama pekee kilichopo katika nchi ya China bali kuna vyama vingine nane ukiondoa chama cha kikomunisti. Vyama hivi...
2 Reactions
133 Replies
4K Views
Back
Top Bottom