International Forum

News and Stories from rest of the World
Nyakati zimebadirika sana , kwa wale wanaojua siri za ndani ni uongo kuwa Marekani kwa sasa ina chochote kwa ajili ya Afrika, kama ilikuwa inachukua kwa kunyonya namna ile miaka yote wakati bado...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Urusi imechukua kiti cha urais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa licha ya Ukraine kuwataka wanachama kuzuia hatua hiyo. Kila baraza la wajumbe 15 huchukua nafasi ya urais kwa mwezi mmoja...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Baada ya Vita vya pili vya dunia, Marekani ikawa nchi yenye uwezo mkubwa wa kiuchumi ulimwenguni, na nchi hiyo iliamini kwamba jeshi lake pia lilikuwa na nguvu zote. Lakini baada ya kutumia pesa...
6 Reactions
60 Replies
4K Views
WASHINGTON, US — It is increasingly difficult for Kyiv to counter Russian fighter jets in the sky. The new generation of Russian fighters, especially the Su-35 makes a huge difference in air...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Welcome today’s release of Paul Rusesabagina. Thankful to know Paul will be rejoining his family soon. Grateful to the Rwandan Government for making reunion possible. Also appreciate assistance by...
5 Reactions
47 Replies
5K Views
Wakati wa mkutano wa Kamati ya Seneti ya Huduma za Silaha, Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin kwa mara nyingine alisema kwamba katika hatua hii ya vita vya Ukraine, ndege za kivita za F-16...
7 Reactions
49 Replies
3K Views
3 Februari 2023, 06:08 EAT Vladimir Putin amelinganisha uvamizi wa Urusi nchini Ukraine na mapambano dhidi ya Ujerumani ya Wanazi, katika hotuba yake ya kuadhimisha miaka 80 ya kumalizika kwa Vita...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Mwanamuziki wa Uholanzi mwenye makazi yake nchini Kenya, ambaye ni muuzaji mkubwa wa mbegu za kiume, pia mwenye watoto takriban watoto 550 duniani kote anakabiliwa na mashtaka ya kuongeza athari...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Onyo limetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje, Antony J. Blinken, muda mfupi baada ya #Russia kumshikilia Mwandishi wa Habari wa #WallStreetJournal ambaye ni raia wa Marekani akidaiwa kuwa ni Jasusi...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Marekani imeendelea kudhalilika tena kwenye kuisaka teknolojia ya makombora ya Hypersonic. Jana Jumanne jeshi la anga la nchi hiyo ambayo imekuwa ikijigamba na kupaishwa kuwa iko mbele ya Urusi...
9 Reactions
33 Replies
3K Views
Polisi wa New York (NYPD) wametakiwa kuwa tayari kwa lolote linaloweza kutokea kutokana na taarifa za Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump kushtakiwa. Kwa siku kadhaa zilizopita kumekuwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Kisumu, Alphonse Wambua amesema Koplo Ben Oduor, alikimbizwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Aga Khan saa 10 jioni na kufariki wakati...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Why Is China Growing So Fast? In 1978, after years of state control of all productive assets, the government of China embarked on a major program of economic reform. In an effort to awaken a...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ripoti ya Polisi imeeleza watu wengi wamepotea kwenye matope baada ya Dhoruba ya kimbunga, licha ya kutumia mbwa katika msako wa kuwatafuta bado imekuwa ngumu, hivyo wanaamini inawezekana...
0 Reactions
4 Replies
881 Views
Vifari vya Chalelenger vya Uiengereza inasemekana vimeanza kuwasili nchini Ukraine. Makamanda wa Uiengereza wameonesha wasi wasi wa askari wa Ukraine kutokuvimudu kuvitumia vifaru hivyo japo...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
India became fifth largest economy last year and today its economy expected to grow at 6.9 for 2023 fiscal year according to the IMF economic review. India's status as the fifth largest economy...
3 Reactions
9 Replies
798 Views
Hii ni baada ya China kukatalia mbali ombi la kuipa Urusi msaada wa silaha, ombi lilikataliwa juzi pale rais wa Uchina alitembelea Urusi. --- Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said on...
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Vita vya Vietnam vilikuwa vita vya muda mrefu, vya gharama kubwa na vya mgawanyiko vilivyoikutanisha serikali ya kikomunisti ya Vietnam Kaskazini dhidi ya Vietnam Kusini na mshirika wake mkuu...
0 Reactions
2 Replies
854 Views
Idara ya usalama na ujasusi ya Urusi imepata mafanikio makubwa zaidi nchini Ukraine kuliko jeshi lake, imesema taasisi ya wataalam ya ulinzi ya Uingereza. Mashirika ya kijasusi ya Urusi yalianza...
9 Reactions
48 Replies
3K Views
Watupe raia kiongozi wetu tunayemtaka asilimia kubwa ya wakongo wanampenda Moise Katumbi maana waliona mambo makubwa ambayo alifanya kipindi akiwa Gavana wa Katanga wanataka afanye na hiyvo...
1 Reactions
2 Replies
401 Views
Back
Top Bottom