Korea Kaskazini imezindua vichwa vidogo vya nyuklia ambavyo imesema vinaweza kuwekwa kwenye makombora ya masafa mafupi.
Korea Kaskazini kwa muda mrefu imekuwa ikidai kuwa na silaha za nyuklia...
Watu waandamana nje ya kituo cha wahamiaji cha Mexico baada ya moto kuzuka katika kituo hicho, Machi 28, 2023
Takriban watu 40 wamefariki na wengine 29 kujeruhiwa baada ya moto kuzuka katika...
Ulaya na Marekani, Serikali inawajibika kwa wananchi ila Uarabuni na Urusi wananchi ndiyo wanawajibika kwa serikali. Matokeo yake Marekani na Ulaya inawezekana wananchi kuandamana kwa maelfu...
Baada ya Bunge la Congo kujiandaa kupitisha sheria itakayomfanya Moise Katumbi asigombee urais
huku kundi la watoto Wakatanga nao wakijindaa kupitisha saini ya kuwasilisha maombi yao ya kujitenaga...
Tanzania tuna kheri sana
Nawatazama Wafaransa na Waisrael kupigia BBC hakika Maandamano siyo mchezo
Watu hawaandamani kutetea ulaji wa wanasiasa kama Sisi waafrika
Watu wanaandamana bila...
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ana nia ya kutembelea nyumba ambayo aliwahi kuishi na babu yake miaka ya 1960, jambo ambalo imesababisha msako wa nyumba hiyo kuanza, gazeti la Times la...
Jaribio lolote la kumkamata Rais Putin nje ya mipaka ya Urusi litakuwa Sawa na tangazo rasmi la Vita, tutatumia kila Silaha tuliyonayo kutoa majibu ya uhakika na Dunia itashuhudia kile ambacho...
Wajumbe wawili wa Bunge la Israel(Knesset) wametambulisha muswada ambao ukiidhinishwa itakuwa ni kinyume cha sheria kuwaambia watu habari za Yesu kwenye Taifa la Israel na hukumu itakuwa kifungo...
Kwa mara nyingine tena Baraza la usalama la Umoja wa mataifa limepitisha azimio la kurefusha vikwazo dhidi ya Sudan. Azimio hilo nambari 2676 la mwaka 2023 lililotolewa na Marekani, limepitishwa...
Vladimir Zhirinovsky, the leader of the Liberal Democratic Party of Russia.
The head of the populist-nationalist Russian LDPR party has warned that the Kiev regime is repeating Serbia's steps of...
Kabila alifanya makosa mengi ndani ya nchi yetu nillimsamehe lakini ili la kuwaachia Wakasai (Waluba) madaraka siwezi kumsamehe kabisa. Najua alifanya yote haya kwa lengo la kukomoa Moise Katumbi...
1.Dollar ya Marekani: 58% ya hifadhi ya akiba ya fedha yote ya kigeni kwa nchi mbalimbali duniani iko katika USD.
2.Euro ya Umoja wa Ulaya(EU): 20%.
3.Deutsche mark ya Ujerumani: 6%.
4.Yen ya...
Hakika ni miaka mingi mabeberu wa magharibi wametuaminisha kuwa kila kitu kizuri kinatoka kwao.
Tumewasoma sana akina Newton, Einstein kama wanasayansi nguli duniani. Hata wanauchumi bora...
Na JumaKilumbi,
Septemba 22, 2022.
Ujerumani ni moja ya mataifa yanayofanania na harakati za ‘hustler’ yameanza tokea chini kabisa kwenye hadhi ya udhalili na ufakiri mpaka kufikia utajiri na...
Wanaojua Mamluki wanavyotengenezwa watajua namaanisha nini.
Mtu alikuwa kifungoni na amekata tamaa ya kutoka, ghafla anaambiwa kuwa akipigana upande wa Urusi kifungo kitapunguzwa kwa nusu na...
Wale wanapropoganda local anti-west mnaopiga yowe kulazimisha kufananisha maandamano yanayoendelea Ufaransa na Israel na yale ya Iran au Arab spring ni vyema mkaelewa tofauti hizi.
1. Mpaka sasa...
Usalama wa raia katika mitaa mbalimbali ya mataifa ya Ulaya yanaoizunguka Ukraine pamoja na Urusi yenyewe inaweza kuwa katika hali mbaya baada ya maelfu ya wafungwa waliojiandikisha katika mpango...
Mamilioni ya wasafiri nchini Ujerumani leo Jumatatu wanalazimika kutafuta njia mbadala ya usafiri baada ya kushuhudiwa kwa mgomo katika sekta ya uchukuzi.
Viwanja vya ndege,vituo vya mabasi na...
Irani imefanya mashambulizi ya Drone na Rocket kwenye Kambi za Jeshi la Marekani Usiku wakuamkia leo. Taarifa zinasema Ile mifumo ya Ulinzi wa Anga Ulilala Fofofo.
Dunia Inako Elekea Nipatamu...
Marekani na Ulaya huwa wanapeleka misaada ya kibinadamu katika sehemu zinazokumbwa na majanga duniani.
Mfano Uturuki ilipopatwa na tetemeko, Haiti, msaada wa Chanjo za COVID kwa nchi masikini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.