Ikiwa ni chini ya mieze sita tangu kijana mwenye asili ya Tanzania aitwaye Rishi Sunak kushika uwazir mkuu wa Uiengereza.Kijana mwengine mwenye umri wa miaka 37 aitwaye Humza Yousaf wa chama cha...
BRICS imekua ni gumzo huko MAREKANI. Huku kukiwa na hofu ya MAREKANI kupoteza ushawishi Duniani.
Inatarajiwa nchi nyingi za Asia zinazo zalisha mafuta zimeomba kujiunga na BRICS. Pia nchi zote za...
Watu kadhaa wanahofiwa kufa baada ya helikopta ya Jeshi la Marekani kuanguka katika Kaunti ya Trigg, Kentucky. Gavana wa jimbo hilo Andy Beshear alisema ni "habari mbay" na "ripoti za mapema za...
Katika hali isiyotegemewa na wengi rafiki mkubwa wa marekani katika eneo la mashariki ya kati Israel imeionya marekani kukaa mbali na isithubutu kuingilia masuala ya ndani ya taifa hilo rafiki...
Mchina amefikia hatua ya kutishia uchumi wa Marekani kwa jambo dogo sana la kutumia akili ambalo wazungu wanashindwa kulifanya
Mchina kitu kilichomtajirisha kwa Haraka ni mfumo wake na ajenda...
Jeshi la Ulinzi la #Botswana (BDF) limesema taarifa hizo zilizoripotiwa na Magazeti kuhusu Wanajeshi kukabiliwa na njaa kutokana na kutokana na kukosa chakula ni za uzushi na hazina msingi...
Wakati Mabara na nchi toka kwenye mabara mengine zinawekeza kwenye mbongo za watu wao, Afrika bado watu wake wanatangatanga kwenye lindi la ujinga na udumavu wa akili unaosababisha umaskini wao...
Russia’s private military group Wagner has taken “full control” of the AZOM metallurgical plant in the north of the city of Bakhmut, according to video posted by Russian state media and verified...
Kabla ya kupitsha sheria hii ya kuwa mkongomani halisi ni lazima uwe mkongo wa baba na mama
Ebu tufikirie mara pili au mara tatu
Tusipende kutumia nguvu zetu kuzuia mtu fulani kumbe tumekwenda...
Taarifa kutoka Vatican zimeeleza kuwa Papa alianza kupata shida ya kupumua na kukimbizwa Hospitali kwaajili ya vipimo lakini Madaktari wameshauri abaki kwa uangalizi zaidi.
Kwa mujibuwa taarifa...
Tamko hilo linafuatia mahojiano ya Khama kueleza kuwa ana taarifa Serikali ya Rais Mokgweetsi Masisi inapanga kumkamata na kumuwekea Sumu atakaporejea Nchini humo kutoka Afrika Kusini anakoishi...
Both CNN and FOX News Do Stories about "De-Dollarization." If MSM is covering this, it's because Fedgovernor knows what's coming.
27 MARCH 2023
For literally decades, people scoffed at the so...
Msitunge sheria zenu kutaka kuzuia Moise Katumbi kugombea Urais
Siku zote mlikuwa kimya baada ya kusikia Moise Katumbi anataka kugombea Urais ndipo wanajifanya kulalamika na sheria zao za kibaguzi...
Dunia inazidi kushuhudia mabadiliko taratibu huku macho ya wengi yakielekezwa Ufaransa ambapo waandamanaji wakizidi kuongezeka kwa kasi.
Baada ya Macron kupandisha umri wa kustafu kutoka 62-64...
Serikali ya Armenia iko katika mpango wa kusaini rasmi mkataba wa Rome wa kujiunga na mahakama ya ICC. Hata hivyo wakati mchakato huo ukiendelea Mahakama kuu ya katiba nchini Armenia tayari imetoa...
Si rahisi kama weng wanavyofikiria, ICC haina ubavu wa kumshika Putin huyu jamaa ana uwezo wa kwenda Le Poisson Rouge night club, Manhattan Club Marekani na akala bata na hakuna wa kimshika...
Hizi aina mpya za drones ni muziki tofauti.
Ukrainian forces just destroyed two expensive Russian air defense systems using one of their new loitering attack drones according to a video released...
OPERATION SANDMAN now activated. Saudi Arabia announces END of dollar dominance in global oil trade. The dominoes are beginning to fall on the US evil empire
Wednesday, January 18, 2023
As we...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.