Ni kwa mujibu wa Rais wa taifa hilo bwana Alexander Vucic.
Serbia tangu mwanzo ilikwenda kinyume na nchi za ulaya kwa kugoma kuwawekea vikwazo Urusi kutokana na uvamizi wake huko Ukraine.
Lakini...
Wakati zoezi la uokoaji likiingia siku ya 7, idadi ya vifo inazidi kuongezeka, kwa upande Syria kuna vifo 3,575 na Uturuki pekee kuna vifo 24,617
-
Madhara mengine ni zaidi ya watu Milioni 13.5...
Wanajeshi wa Kenya wamewasili Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa ajili ya kupambana na makundi ya waasi ambayo yamesababisha ukosefu wa usalama katika eneo hilo kwa miongo kadhaa...
I wasn’t sure where to file this under. So I just filed it under the most popular sub-forum of Politics.
The JF powers that be can re-file it where it’s more appropriate, if they see fit.
But...
Tetemeko jipya la ardhi lenye nguvu limeripotiwa katikati mwa Uturuki.
Utafiti wa Jiolojia kutoka Marekani unasema tetemeko lenye ukubwa wa 5.5 lilikuwa katika kina cha kilomita 10 (maili 6)...
Jeshi la Congo limekimbia kuelekea Goma baanda ya kusikia M23 inakalibia ku kamata mji wa Sake km chache kuelekea Goma,walipo fika Goma Miltary Police(MP) waka wakimbiza na viboko warudi...
Nimeshangaa sana hawa Waisrael ambao hatuishi kuwasema kwa ubaya wamekuwa mstari wa mbele kwenda kuokoa Waarabu wa Uturuki. Pamoja na Ukafir wao.
But nashangaa Iran huyu ambaye nampenda sababu...
February 8, 2023
On February 16, 2022, a full week before Putin sent combat troops into Ukraine, the Ukrainian Army began the heavy bombardment of the area east Ukraine occupied by mainly ethnic...
Taasisi inayofuatilia Uhuru wa Upatikanaji wa Intaneti (Netblocks) imeripoti kuwa Mitandao ya TikTok, Facebook na Telegram imefungiwa ili kudhibiti Maandamano ya kupinga jaribio la Serikali...
Mwaka 2018 Marekani walirusha chombo kuelekea anga za mbali katika harakati za kwenda karibu zaidi na jua , umbali ambao haukuwahi kufikiwa na chombo chochote kile duniani
Umbali wa miles...
Serikali ya India inapanga kuyapiga Marufuku Makampuni ya Simu ya China ambayo yanauza simu za Bei Rahisi ili kuruhusu Makampuni ya ndani kuweza kufanya vizuri.
Makampuni yatakayoathirika na...
Preamble:
I thought it important to bring this paper to the attention of the doubting Thomases and sleeping masses.Most people still believe that what we used to call natural disasters are "still...
Akiwa Gavana wa Katanga
Muda mfupi baada ya kuchukua madaraka akiwa Gavana wa Katanga, Moïse Katumbi alipiga marufuku uhamishaji wa madini ghafi, hivyo kulazimisha kampuni kubwa za kuchimba...
Tume ya Vyuo Vikuu vya Kitaifa ya Nigeria (NUC) imetangaza maamuzi hayo ya kufungwa kuanzia Februari 22 hadi Machi 14, 2023 wakati Uchaguzi Mkuu ukitarajiwa kufanyika Februari 25, 2023.
Wamesema...
Barabara ya mwendo kasi ya Nairobi yenye urefu wa kilomita 27.1, iliyojengwa na kampuni ya China kwa ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi, Jumanne iliwatambua madereva milioni kumi ambao...
Rais wa Afrika ya Kusini ameshalitangazia Taifa hilo kubwa kuwa sasa Umeme umekuwa janga la Taifa na Mamlaka za kushughulikia majanga zimeanza kufanyia kazi hali hiyo ili kulinusuru Taifa hilo...
Nimekuzwa nikimfatilia baba mtakatifu DRC mpaka South Sudan sijaona au kusikia mahala popote aliposema waache kupigana Bali kuwaombea amani tu.
Sasa sijui amani kama inaweza kupatikana kweli bila...
Anaitwa Fortunat Biselele
Alikuwa ni mshauri wa Rais wa Congo bwana Felix.
Fortunat Biselele alikuwa inner circle ndani ya serikali ya Congo.
Alikuwa anamshauri wa rais Felix kwa mambo MENGI...
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha BCC wamarekani walikuwa wakingojea lifike eneo la bahari ili kuepusha madhara wa waliko chini ikibukwe puto hilo lilikuwa juu ya eneo la nuclear plant hivyo mabaki...
WAZAZI na walezi jijini Mbeya, wamepokea kwa mikono miwili, maamuzi yaliyotolewa na serikali, kwamba wanafunzi wa shule za umma, wasichana na wavulana waanze kuvaa suruali, kutokana na mazingira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.