International Forum

News and Stories from rest of the World
Iran imeonyesha pic picha za Uwanja wa ndege wa chini ya ardhi .
14 Reactions
64 Replies
5K Views
Mahakama nchini humo imemtoza faini ya Dola 900 za Marekani, Mwanaume mmoja kwa kukiri kumuua bila kukusudia Mwandishi wa Habari, John Williams Ntwali, baada ya kugonga kwa gari Pikipiki ambayo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mamlaka zimesema watu wengine 28 wamejeruhiwa baada ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa (UN) kurusha risasi wakati wakijihami wakati wakishambuliwa na waandamanaji katika eneo la Jimbo la Kivu...
0 Reactions
5 Replies
906 Views
Serikali yasitisha shughuli za Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu (OHCHR) nchini Uganda OHCHR, idara ya Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa, imepewa mamlaka ya kukuza na...
0 Reactions
7 Replies
759 Views
Inavunja moyo na kuumiza kusikia na kuona Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Marekani (Evangelical Lutheran Church of America) limemsimika rasmi Askofu wa kwanza anayejihusisha hadharani na mapenzi...
3 Reactions
123 Replies
14K Views
Anauliza, "Una uhakika?" Nikasema, "100%, hatakuua." Bennett alisema wakati wa upatanishi wake, Putin alikaidi ahadi yake ya kutaka kuipokonya silaha Ukraine, huku Zelensky akiahidi kutojiunga na...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Mauaji yametokea Kaskazini mwa Nigeria ikielezwa watu wenye silaha ambao ni Wanamgambo pamoja na vikundi vya kigaidi kuvamia vijiji na kuanza kushambulia kwa risasi na kuchoma moto nyumba...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Februari 7, 2023, Kaunti ya Rongshui ya kabila la Wamiao, mjini Liuzhou, mkoani Guangxi, China ulikaribisha tamasha la kila mwaka la "Manghao." Mang Hao ni mungu wa milima katika hadithi ya kabila...
0 Reactions
2 Replies
409 Views
Habarini Wadau, Leo hii Nchi ya Israel kupitia Msemaji wake wa jeshi (IDF) imetuma rasmi jeshi lake la Uwokozi msaada kwa Binadamu nchini Uturuki Akiongea Msemaji huyo amesema kwamba...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
BONNE TERRE-MISSOUR, USA. Missour on Tuesday executed 58-year-old Leonard Taylor, who was convicted of killing his girlfriend and her three children at their home in Jennings nearly two decades...
1 Reactions
0 Replies
429 Views
Kituo cha huduma za kidijitali za uchumi na biashara kati ya China na Afrika cha mkoa wa Hunan kimezinduliwa jana Jumatatu mjini Changsha. Kituo hicho kinatarajiwa kuunga mkono ujenzi wa uwezo wa...
0 Reactions
1 Replies
344 Views
Ni uchokozi ama ni nini?! ============= Habari za puto la kijasusi la China kuelea juu ya Marekani zimewaacha wengi wakishangaa kwa nini Beijing ingetaka kutumia chombo kisichokuwa cha kisasa...
6 Reactions
39 Replies
4K Views
Wabana pua na mdomo wa Urusi, ikumbukwe tarari walishatia pini kwenye bei ya mafuta ghafi ya Urusi.... Mrusi mpaka aite maji ma... The price cap on diesel follows on from a price cap on Russian...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Pope Francis has kissed the feet of South Sudan's previously warring leaders during a two-day spiritual retreat at the Vatican. "I am asking you as a brother to stay in peace. I am asking you with...
9 Reactions
148 Replies
16K Views
Juzi kwenye Uwanja wa Taifa (Stade des Martyrs) Kinshasa wananchi walimzomea Rais Felix Tshisekedi mbele ya Papa Francis wakiimba nyimbo ambazo zinasema (Fetshi oyebela mandat eseli) wakiwa na...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Maisha ya nchi nyingine magumu sana!!!!!Hii sijui imekaaje? ========= Iran jails couple for 10 years over viral dancing video: activists Iran has handed jail sentences for over 10 years to a...
7 Reactions
110 Replies
3K Views
Musharraf ambaye alishiriki katika mapinduzi ya kijeshi kwenye Taifa lake Mwaka 1999 amefariki akiwa na umri wa miaka 79, Dubai alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Mara nyingi nchi za Magharibi zimekuwa zikitoa kauli ambazo haziendani na ukweli kuhusiana na ushirikiano na uhusiano kati ya China na nchi za Afrika. Nchi hizo zimekuwa zikidai kuwa, China...
1 Reactions
0 Replies
420 Views
Wiki chache baada ya Rais wa Marekani kutuma onyo kwa China kuhusu Taiwan, serikali ya Beijing ilitoa jibu kali zaidi kuwahi kutokea. Taarifa iliyotolewa na serikali ya China ilisema kwamba...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Ukraine kupewa makombora yenye uwezo wa kupiga kwa shabaha kali sana, likatumwa ndipo linapiga... Kipindi hiki Urusi imelemazwa na Ukraine ndio muda muafaka wa kuwezeza Ukraine pakubwa, zege...
9 Reactions
40 Replies
2K Views
Back
Top Bottom