International Forum

News and Stories from rest of the World
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, hataki kubadili msimamo wake hata nukta moja juu ya vita vya Ukraine. Hii inafuatia kukataa ushawishi kutoka kwa mawaziri waandamizi wa serikali ya Cuba, ambayo ni...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Salaam! Kupitia ukarasa wake wa Twitter, Makamu Mwenyekiti wa baraza la Usalama la Urusi na aliyepata kuwa Rais mwaka 2008 hadi 2012 na Waziri mkuu wa Urusi mwaka 2012 hadi 2020, Dimitri...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Rais wa Taifa la Marekani Joe Biden ametangaza Msamaha wa kiasi cha dolla 10,000 za kimarekani kwa wadaiwa wa mikopo ya elimu ya juu wenye kipato cha chini na cha Kati. Uamuzi huo unalenga kutoa...
1 Reactions
5 Replies
550 Views
Natarajia Melitopol itakuwa sehemu kuu ya vita katika miezi ijayo (labda wiki). Baada ya kuchukua Melitopol, Waukraine watahamia kwa urahisi Bahari ya Azov, wakikata kwa ufanisi njia za usambazaji...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Baraza la usalama la Umoja wa mataifa Jumanne limeomba wanawake na wasichana nchini Afghanistan washirikishwe kikamilifu na kwa usawa, likilaani marufuku kwa wanawake kusoma kwenye vyuo vikuu au...
1 Reactions
3 Replies
396 Views
imeripoti baadhi ya Benki za Urusi hazina pesa taslimu za kukidhi utoaji wa malipo ya pensheni na ATMs nyingi hazina pesa. Hili limetokea kwenye mikoa amabayo haijaendelea na midogo. Ila Bado...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Nionavyo mimi 1: Kwa hatua ya sasa, anaweza kushambulia popote na chochote ndani ya Russia kupitia mgongo wa Ukraine bila Russia kumjibu moja kwa moja. Mfano Mashambulizi na milipuko ya kigaidi...
9 Reactions
58 Replies
3K Views
Wizara ya Ulinzi ya Taiwan imesema jeshi la China limetuma ndege 71 za kivita na meli saba katika kile ilichokiita "maonesho ya saa 24 ya uchokozi" dhidi ya kisiwa hicho. Taiwan imesema...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Sherehe ya Uvuvi wa Majira ya Baridi katika Ziwa Jingbo imefanyika tarehe 27 mkoani Heilongjiang, China, ambapo takriban kilo laki 1.2 za samaki zilipatikana kwa kutumia wavu wenye urefu wa mita...
0 Reactions
1 Replies
375 Views
Kanali katika jeshi la zamani la Rwanda aliyepatikana na hatia kutokana na nafasi yake katika mauaji ya kimbali ya mwaka 1994 ambapo watu zaidi ya 800,000 waliuawa, amefariki gerezani nchini Mali...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Maonyesho ya Sanaa ya madini ya fuwele (crystal) ya Njia ya Hariri yamefanyika mjini Zhuhai, mkoani Guangdong, nchini China. Maonyesho hayo yamekusanya zaidi ya vito 30 vya fuwele kutoka maeneo...
0 Reactions
0 Replies
419 Views
Wanajeshi wanane na raia moja katika eneo la Kaskazini Mashariki mwa DRC wamehukumiwa kifo kwa mauaji na ubadhirifu. Kati ya waliopatikana na hatia kati yao kuna Kanali Mukalenga Tendeko na...
0 Reactions
1 Replies
709 Views
Rais wa zamani wa Korea Kusini, Lee Myung-bak amepata msamaha wa Rais na kukatiza kifungo chake cha miaka 17 jela kwa ufisadi. Rais wa Korea Kusini, Yoon Seok-yeol ametoa msamaha huo kwa Lee, leo...
1 Reactions
1 Replies
661 Views
Mahakama ya Juu (ASC) imetoa agizo la kuzuiwa kwa Mali za Isabel dos Santos kama ilivyoombwa na Wizara ya Umma baada ya kudaiwa kuwa zimetokana na #Ubadhirifu na #Ufisadi wa Mali za Umma. Taarifa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari, Kiukweli bado nashindwa kuelewa nchi marafiki wa DRC? Ni nchi gani za kibeberu, Asia, au zilizoendelea ambazo ni marafiki wa DRC? Nadhani hazipo kama zipo pasi imapact yake ndogo. Aidha...
0 Reactions
2 Replies
427 Views
Guys, Tulinde amani yetu jaman wengine sisi hatuwezi kukimbia wala kushika bunduki nimeingia telegram now baada ya kuona notification nyingi ndipo nikakuta nimeungwa kwenye group la watu wa iran...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Je, mizozo inayo endelea katika mataifa mbalimbali kama Russia na Ukraine, China na Taiwan inaweza pelekea vita ya tatu ya dunia?
0 Reactions
8 Replies
783 Views
Usajili wa wapiga kura ulianza nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwishoni mwa juma, wakati nchi hiyo inapotayarisha uchaguzi mkuu wa Disemba 2023. Rais Felix Tshisekedi anatarajiwa kugombea...
0 Reactions
2 Replies
362 Views
Umuofia kwenu, Kwa nje utasikia waRwanda wakijisifia kua wako wamoja hawana tena ukabila, wanapendana, wanashirikiamda bla bla bla ila maajabu wote wanaoimba hizi ngonjera 10 out of 10 hua ni...
13 Reactions
181 Replies
10K Views
Takriban vifo 38 vimehusishwa na baridi kali ya Arctic ambayo inakumba Marekani na Canada. Maafisa wanasema watu 34 walikufa kote Marekani, huku eneo lililoathirika zaidi likiwa ni jiji la...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom