International Forum

News and Stories from rest of the World
Sikiliza huu wimbo huu wa Mbaraka Mwinshehe, ambao ni ujumbe murua kwa Putin katika hili suala la vita na Ukraine Hiloo oooh, Ulijidai wewe mbabe sana aah, Leo umepigwa na kijana mdogo Aibu...
11 Reactions
81 Replies
4K Views
Russia invaded Ukraine's Crimean Peninsula in February 2014 amid the deadliest days of the EuroMaidan Revolution that eventually ousted pro-Russian ex-President Viktor Yanukovych. While...
0 Reactions
3 Replies
749 Views
Rais Putin wa Urusi ameuponda mfumo wa ulinzi wa anga wa marekani ambao utapelekwa ukraine. Amesema ni mfumo wa kizamani na mwarobaini wake upo. Asema hauwezi hata kuufikia mfumo wa S300 wa Urusi...
12 Reactions
78 Replies
5K Views
Bunge la seneti la Marekani limepitisha sheria kwa kauli moja kutoka vyama vyote viwili vya Democrats na Republicans kuruhusu mali za matajiri mabwenyenye wa Russia maarufu kama "Oligarchs"...
16 Reactions
44 Replies
3K Views
Uongozi huo wa Afghanistan umedai kuwa sababu za kufanya hivyo ni kutokana na mavazi wanayovaa katika taasisi hizo kutozingatia maadili yao. Katazo hilo ambalo limekuja siku chache baada ya...
0 Reactions
4 Replies
851 Views
Utawala wa Taliban Nchini Afghanistan umeamuru kupiga marufuku kwa muda usiojulikana elimu ya chuo kikuu kwa wanawake wa nchi hiyo. Taarifa Iliyo Tolewa na wizara ya elimu ya juu ilisema katika...
3 Reactions
117 Replies
5K Views
Merry Christmas Ukraine!
6 Reactions
25 Replies
997 Views
Mtu aliyejihami kwa bunduki amefyatua risasi katikati mwa Paris na kuwauwa watu wawili na kuwajeruhi wengine wanne. Shambulio hilo lilifanyika karibu na kituo cha Gare de l'Est kituo cha...
0 Reactions
11 Replies
808 Views
Bunge la Wawakilishi la Marekani limeidhinisha kiasi Cha $45B kwa Msaada wa kijeshi na kiutu kwa Ukraine ili kuendelea kupambana na uvamizi wa Urusi. Fedha hizo zinaanza kutumika mwezi November...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Mpishi maarufu kutoka Uturuki Nusret Gokce amewatia kizunguzungu viongozi wa FIFA kwa kumkuta katika ya uwanja huko LUSAIL siku ya mechi ya finali wiki iliyopita.. Hatimae wakati wa kutangzwa...
2 Reactions
9 Replies
978 Views
Mimi niliacha kufungulia kusikiliza redio takribani miaka minne iliyopita. Mara nyingi huwa nasikiliza redio mahali ambapo imefunguliwa na sina uwezo wa kutosikiliza, mfano kwenye usafiri wa umma...
1 Reactions
9 Replies
562 Views
Elon Musk amesema atajiuzulu kama Afisa Mtendaji Mkuu wa Twitter atakapompata mtu "Mpuuzi" anayetosha kuchukua kazi hiyo. Bilionea huyo aliahidi mapema kutii matokeo ya kura ya maoni ya Twitter...
0 Reactions
1 Replies
594 Views
Akitoa salamu zake wakati wa kusherekea Sikukuu ya Krisimasi amesema hali hiyo ndiyo inachafua Dunia, kicha ya kutotaja kwa majina lakini inaaminika alikuwa akizungumia vita inayoendelea kati ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Johari Mugisha, amejifungua watoto sita nchini Burundi leo baada ya kufanyiwa upasuaji(c-section). Watatu wa kiume na watatu wa kike. Wote mama na watoto wanaendelea vizuri. Ijumaa iliyopita...
5 Reactions
11 Replies
760 Views
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema raia milioni 10 wa Ukraine hawana umeme baada ya mashambulio mapya ya makombora yaliyofanywa na Urusi. Takriban watu saba waliuawa katika mashambulizi...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Mrusi bao anajaribisha bahati, hizi drones zimeishiwa umuhimu wake, wataalam walishazisoma na kuja na mbinu za kuzishusha....zimepigwa tisa...takbir Nine Iranian-made Shahed drones were shot down...
8 Reactions
63 Replies
3K Views
  • Closed
Zipo taarifa za chini chini kwamba Rwanda imewataka mabalozi wa USA,UK, Belgium & France kuondoka Kigali ndani ya masaa 72. Kama Rwanda imefikia hatua ya kuwatimua wafadhili Wakuu wa budget yake...
10 Reactions
119 Replies
10K Views
Serikali ya Kijeshi ya Nchi hiyo imemtaja kiongozi huyo wa Umoja wa Mataifa, Barbara Manzi kuwa ni mtu ambaye hatakiwi kubaki Nchini humo Waziri wa Mambo ya Nje, Olivia Rouamba amesema tamko la...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Hatimaye Marekani imeamua kuipa Ukraine ulinzi wa anga "Patriot Missile Defense System". Kwa wasiojua wanaweza kudhani kuwa hizi ni silaha za ajabu sana na ulinzi wake dhidi ya mashambulizi ya...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom