International Forum

News and Stories from rest of the World
Naangalia matangazo mubashara ya mazishi ya shujaa wa kupambana na utawala wa ubaguzi wa rangiu, mtu aliyetumia Maisha yake yote kupigania haki za wananchi wake, Askofu Desmond Tutu, unaoonyeshwa...
11 Reactions
55 Replies
7K Views
Katanga ni Provence kutoka DRC ambalo lina area ya 497000 km2, Population ya milioni 7, capital city Lubumbashi, lugha yao Kiswahili na Kifaransa. Hii katanga ndo kumetokea viongozi wengi wa DRC...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wiki mbili zilizopita, ghafla nilipata homa kali na maumivu makali mwili mzima. Mke wangu alikwenda katika maduka mbalimbali ya dawa karibu na nyumbani kwetu ili kutafuta dawa, lakini alirudi...
1 Reactions
4 Replies
593 Views
Wakati dunia na hasa mataifa ya magharibi yakiendelea kulaani utekelezwaji wa hukumu ya kifo kwa waandamanaji 2 walionyongwa na serikali ya Irani hivi majuzi, Taarifa iliyochapishwa na vyombo vya...
2 Reactions
8 Replies
564 Views
Mashirika Matano yamechukua uamuzi huo kutokana na mfululizo wa makatazo mapya yanayowekwa dhidi ya Wanawaka Nchini humo chini ya utawala wa Taliban. Baadhi ya mashirika hayo ni Care...
0 Reactions
16 Replies
858 Views
Kambi ya kijeshi iliyo ndani ya Urusi, kama kilomita 600km kutoka Ukraine leo imetaharuki kwa kushambuliwa na drone ya Ukraine, japo wameiangusha kwa kuishambulia ila wamekufa watatu, huu ni...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani, Mike Pence hajawasilisha ombi la kugombea urais mwaka 2024 kwa mujibu wa mshauri wake, Devin O’Malley alisema kupitia Twitter, baada ya taarifa inayodaiwa...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Serikali ya Rwanda inaendelea kukabiliwa na shinkizo la kimataifa, kwa shutuma za kutoa msaada wa kijeshi kwa kundi la waasi la M23 linalopigana na wanajeshi wa Serikali mashariki mwa Jamhuri ya...
10 Reactions
77 Replies
3K Views
Mpambano mkali baina ya wanajeshi wa SADC na wapiganaji wa kiislamu ambao humpigania 'mungu' wao umeshuhudiwa Msumbiji na hatimaye wapiganaji 30 wakawahishwa kule peponi..... The mission sent by...
6 Reactions
68 Replies
4K Views
Watu wawili wameuawa kwenye kijiji cha Taa kilichopo kaunti ya Lamu nchini Kenya kwenye siku ya sikukuu ya Krismasi. Eneo hilo la Taa liko jirani na msitu wa Boni ambapo vikosi vya ulinzi...
0 Reactions
4 Replies
520 Views
Russian President Vladimir Putin joins President Biden in sounding the alarm about the threat of nuclear war - here's what Warren Buffett says about the "greatest danger" facing the world More...
0 Reactions
0 Replies
540 Views
Baada ya kufunga Mipaka yake kwa miaka mitatu ili kupambana na Maambukizi ya #UVIKO19, China itafungua tena Nchi kwa wenye Visa ya Ukaazi, Masomo na wanaotaka kutembelea familia. Pia, Taarifa...
0 Reactions
1 Replies
608 Views
Hii Corona ya China ni aina gani? Kwa nini sehemu nyingine duniani hali imetulia kwa kiasi kikubwa katika Corona ila China inazidi kuchachamaa?! Sasa hivi wameamua kuacha kutoa taarifa za Coron...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Wizara ya Ulinzi ya Urusi: Ndege isiyo na rubani ya Ukraine yadunguliwa ikikaribia uwanja wa ndege huko Engels Wizara ya Ulinzi ya Urusi inadai kuwa mifumo ya ulinzi wa anga imedungua ndege isiyo...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wavuvi 14 wa Iran wamerejea makwao baada ya kufungwa kwa miaka mingi na wanamgambo wa al-Shabab nchini Somalia. Waliachiliwa baada ya "mazungumzo marefu na maafisa wa serikali, machifu wa...
2 Reactions
7 Replies
700 Views
#JFDATA: Kati ya mwaka 2015 hadi Desemba 2021, Watu 28,670 Walihukumiwa Kifo duniani kote kwa njia ya Kunyongwa, Kupigwa Risasi, Kukatwa Kichwa na Kuchomwa Sindano ya Sumu. Mwaka 2021 pekee Watu...
2 Reactions
8 Replies
988 Views
hakuna kulala hadi kuchele. Bundi sasa anaelekea mashariki ya kati. jini la Damu sasa litawaelemea waarabu marabara habari kamili: Waziri mkuu mteule wa Israel Benjamin Netanyahu amefanikiwa...
5 Reactions
53 Replies
3K Views
Serikali ya Taliban inayoongozwa kwa kutumia sheria za waislamu, imeamuru wanawake wote wanaofanya kazi kwenye taasisi za kijamii waache kufanya kazi mara moja. Juzi waliamuru wanawake...
0 Reactions
6 Replies
596 Views
Pape Ale Niang, ambaye anajulikana kwa kuandika maandiko yanayoikosoa Serikali amekimbizwa hospili kutokana na kuweka mgomo wa kula akipiga mashtaka dhidi yake. Niang alikamatwa Novemba 6, 2022...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Kundi la Wanawake hao wanaopinga uamuzi wa Serikali kuwazuia Wanawake kutosoma Chuo Kikuu wameingia matatizoni baada ya video zilizosambaa mitandaoni zinaonesha waandamanaji wakijikinga na wengine...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom